Wewe ni wa kupuuzwa. Kipi usichokielewa? Tunaandamana kwa ajili ya kulinda rasilimali zetu. Huo upumbavu na propaganda zetu hatununui tena
Hakuna Diaspora ambaye aliyekuwa anainfluence maandamano naye akaja kuungana na watanzania wenzake front line isipokuwa Mwarabu fighter pekeeHukuwaona walioingia barabarani? Au unamaanisha kitu kingine ambacho sikijui?
Wewe utakuwa target yetuHakuna Diaspora ambaye aliyekuwa anainfluence maandamano naye akaja kuungana na watanzania wenzake front line isipokuwa Mwarabu fighter pekee
Roma alisema atakuwepo lakini hakukanyaga huku kina Maria wapo Kenya tu hapo lakini hawajasogea
Wewe umeuliza nani wa kuandamana kama wote tutaishia kuhamasisha. Au una tatizo jingine na sio kuhusu hilo swali ulilouliza? Kwa mara ya mwisho nakuuliza tena “hukuona walioandamana?”Hakuna Diaspora ambaye aliyekuwa anainfluence maandamano naye akaja kuungana na watanzania wenzake front line isipokuwa Mwarabu fighter pekee
Roma alisema atakuwepo lakini hakukanyaga huku kina Maria wapo Kenya tu hapo lakini hawajasogea
Njoo tuungane uexperience joto lake kidogo mkuu ukombozi hauwezi kuupata ukiwa USATutakufata
Anha hilo swali nimekuuliza baada ya wewe kusema kwamba Diaspora kazi yao ni kuhamasisha na sio kuja frontWewe umeuliza nani wa kuandamana kama wote tutaishia kuhamasisha. Au una tatizo jingine na sio kuhusu hilo swali ulilouliza? Kwa mara ya mwisho nakuuliza tena “hukuona walioandamana?”
Whatever it's okey ni lazima kinukishwe ili nchi ipone.. wasichojua ccm na viongozi wao hawapo smart kabisa maana siku zinavyozidi kwenda wanazidi kuingia kwenye Trapp ambayo kwao wao itakuwa ni kaburi ila kwa nchi itakuwa ni mwanzo mpya.Mimi silipwi hata sh. Mia kwa KAZI ya uchawa . Sijulikani na kiongozi yeyote mkubwa.
Ni mtumishi wa umma, na ofisi yetu haihusiani na siasa au jamii moja kwa moja.
Ukisoma nyuzi zangu huko nyuma nadhani kuanzia Juni mimi nilikuwa mpinzani kabisa ila kitendo cha wapinzani kuwaunga mkono Gwajima na Polepole kilinikera sana.
Kila mtu mwenye akili timamu anajua 2015 ndio ilikuwa penalty ya wazi upinzani kuingia Ikulu. Gwajima alihusika kufuta ile penalty.
Polepole ndo muhuni kabisa, alishirikiana na Jiwe kuua upinzani, ndipo uhuni wa kila namna na rafu kuu kwa upinzani zilianza rasmi kipindi cha Magufuli. Polepole kawa mwiba kwa CCM kwa maslahi yake. Imagine akiwa mwenezi aliwezaje kununua nyumba ya mabilioni Masaki kwa mshahara wa laki 8?
Wale walikuwa wanajichotea tu mihela. Samia kammwagia ugali wake ndo kaanza kuwa against. Ubalozi kwa mtu aliyezoea kujizolea ma takrima ni kama pigo.
Nazungumza kama Mtanzania mzalendo na mwenye utu.
Nalipwa mshahara na posho mbili mpaka 3 kwa mwezi.
Nina biashara zangu.
Kwahiyo nikiongea kitu au kuandika mjue kuwa siko kazini. Tofauti na wengine humu hulipwa kwa hizi propaganda za mitandaoni.
Siwezi kuzima nia ya watu kuandamana ila ninaweza kumshawishi mtu mmoja mmoja asiandamane au aandamane kwa faida yake na Taifa.
MAANDAMANO ya tarehe 9 ni ngumu kufanyika ila kwa akili za Watanzania ni rahisi sana kufanyika. Maana MANGE akisema kitu hapingwi.
Na MANGE mjue yuko kazini lazima atakuja na namna mpya ya kuhamasisha.
Namna hii mpya itawavutia vijana wengi kuingia road.
Pia serikali watatoka si kwa lengo la kutuliza maandamano bali kupambana na waandamanaji ambao MANGE anakwenda kuwavalisha vazi la waasi.
Mange anawavalisha vijana vazi la uasi ingawa si waasi.
Yaani vuta picha JWTZ litakapoingia barabarani kupambana na waasi halafu bahati mbaya waasi wenyewe hawajavaa vazi la uasi.
Order ikiwa tayari imetoka kuna muasi hapo ukimkuta mbele hata kama ana fimbo wewe kijeshi lazima utumie silaha yenye kipimo cha kumdhibiti muasi.
I see rivers of blood.
Kwani mlihitaji LITA ZA DAMU kiasi gani ili tuwapatie hiyo 9D .Bado mna kiu.Mimi silipwi hata sh. Mia kwa KAZI ya uchawa . Sijulikani na kiongozi yeyote mkubwa.

I see rivers of blood
ili ushauri wako uwe na nguvu inabidi uishauri serikali Kwanza kutimiza matakwa ya raia hata hayo machafuko yametokea kutokana na CCM kutosikiliza malalamiko ya raiaMimi silipwi hata sh. Mia kwa KAZI ya uchawa . Sijulikani na kiongozi yeyote mkubwa.
Ni mtumishi wa umma, na ofisi yetu haihusiani na siasa au jamii moja kwa moja.
Ukisoma nyuzi zangu huko nyuma nadhani kuanzia Juni mimi nilikuwa mpinzani kabisa ila kitendo cha wapinzani kuwaunga mkono Gwajima na Polepole kilinikera sana.
Kila mtu mwenye akili timamu anajua 2015 ndio ilikuwa penalty ya wazi upinzani kuingia Ikulu. Gwajima alihusika kufuta ile penalty.
Polepole ndo muhuni kabisa, alishirikiana na Jiwe kuua upinzani, ndipo uhuni wa kila namna na rafu kuu kwa upinzani zilianza rasmi kipindi cha Magufuli. Polepole kawa mwiba kwa CCM kwa maslahi yake. Imagine akiwa mwenezi aliwezaje kununua nyumba ya mabilioni Masaki kwa mshahara wa laki 8?
Wale walikuwa wanajichotea tu mihela. Samia kammwagia ugali wake ndo kaanza kuwa against. Ubalozi kwa mtu aliyezoea kujizolea ma takrima ni kama pigo.
Nazungumza kama Mtanzania mzalendo na mwenye utu.
Nalipwa mshahara na posho mbili mpaka 3 kwa mwezi.
Nina biashara zangu.
Kwahiyo nikiongea kitu au kuandika mjue kuwa siko kazini. Tofauti na wengine humu hulipwa kwa hizi propaganda za mitandaoni.
Siwezi kuzima nia ya watu kuandamana ila ninaweza kumshawishi mtu mmoja mmoja asiandamane au aandamane kwa faida yake na Taifa.
MAANDAMANO ya tarehe 9 ni ngumu kufanyika ila kwa akili za Watanzania ni rahisi sana kufanyika. Maana MANGE akisema kitu hapingwi.
Na MANGE mjue yuko kazini lazima atakuja na namna mpya ya kuhamasisha.
Namna hii mpya itawavutia vijana wengi kuingia road.
Pia serikali watatoka si kwa lengo la kutuliza maandamano bali kupambana na waandamanaji ambao MANGE anakwenda kuwavalisha vazi la waasi.
Mange anawavalisha vijana vazi la uasi ingawa si waasi.
Yaani vuta picha JWTZ litakapoingia barabarani kupambana na waasi halafu bahati mbaya waasi wenyewe hawajavaa vazi la uasi.
Order ikiwa tayari imetoka kuna muasi hapo ukimkuta mbele hata kama ana fimbo wewe kijeshi lazima utumie silaha yenye kipimo cha kumdhibiti muasi.
I see rivers of blood.
Mimi silipwi hata sh. Mia kwa KAZI ya uchawa . Sijulikani na kiongozi yeyote mkubwa.