Sio kwa ubaya, watakaotoka tarehe 9 Disemba wengi wao watarudi ganda. Tafadhali mwana JF usishindane na serikali

Diaspora ndo wanaochochea sana sijui wana agenda gani behind
Acha ujuha. Kwani wewe huoni watu kutekwa, kupotezwa, rasilimali za nchi kuuzwa, abdul kuendesha magari ya kifalme, haki mahakamani kupotea, tozo kila mahali. Kwa nini huoni yote hayo hadi useme diaspora wanachochea? Anyway hata kama wanachochea wapo sahihi
 
Ulivyomention vyote naviona

Watakuwa sahihi ikiwa na wao watakuja front barabarani tukiwa wote kama alivyofanya Mwarabu fighter
 
Pia abdul kuwa Cdf kivuli,na kumiliki genge la kijeshi
 
Nyie sisiem ndiyo mnapaswa mjitafakari,siyo mnatisha raia wajitafakari eti "serikali haijaribiwi"

Ukiangalia zile videos;

1. za waliopigwa risasi kwa jicho la intelligence unagundua vijana wa Tz wamevuka ule mstari wa uoga ambao mliuremba remba kwa jina la "TANZANIA NI NCHI YA AMANI".

2. Videos za mazishi ndiyo zimezidisha kuonyesha hiki nilichokiandika(vijana hawaogopi kufa). Kwenye mazishi Watu walikuwa wanaimba na kushangilia nyimbo za ujasiri kama vijana walioenda kuwinda Simba miaka ile ya wahenga badala ya kusikitika.

Maana yake nini?

Serikali ndiyo ijitafakari.

Raia Wana visasi vya kimya kimya.

Ni hivi;

Juzi tu hapo Msumbiji walipokuwa wanashambuliwa na wale waasi,mwanzo serikali ilikuwa kiburi kama nyie. Walikuwa wanatoa kauli za VITISHO na kutoa maonyo "Ole wenu" "serikali inaamuru mijisalimishe ndani ya siku.."

Vijana wakazidi kupeleka moto hadi baadae serikali ikakiri imezidiwa na inaomba msaada kutoka kwa mataifa rafiki.

The rest was history. Hadi Leo Mozambique siyo ile ya zamani.

Sasa nyie sisiem endeleeni na hizo kauli zenu za kipuuzi "serikali Ina mkono mrefu" "usishindane na serikali" badala ya kutatua tatizo Ina soft way.

Ngoja siku vijana ziwafikie hizi silaha kisha muanze kupimana ubavu.
 
Serikali ni Nani? naomba kueleweshwa?
 
Sijasoma hata ulichoaandika, ila sikiliza we endelea tu kuwa pamoja na Samia, haya yaache
 
Ulivyomention vyote naviona

Watakuwa sahihi ikiwa na wao watakuja front barabarani tukiwa wote kama alivyofanya Mwarabu fighter
Tafakari kabla hujaongea. Wote waliokuja front mmewaua. Unataka waje front muwateke. Wale tunawahitaji wawe hai ili kuendelea kutuhamasisha. Hao tutawalinda kama mboni ya macho. Tunawahitaji wawe hai hadi ukombozi upatikane. Kwa taarifa yako sisi tupo tayari kufa ila wao hatupo tayari kuwaona wamekufa
 
"mmewaua" "muwateke" tengua hiyo kauli mkuu

Kila mtu akijifanya mhamasishaji nani ataingia barabarani?

Mfano wa diaspora mwenye uchungu na uzalendo wa nchi yake ni Mwarabu fighter alikuja Tanzania kuungana na Gen Z ndo kitu kinachotakiwa kiigwe na Diaspora wa JF,twitter,Facebook na Insta

Njoo Tz kaa front nani atakufuatilia kuwa wewe ni Diaspora au sio
 
Kuna Serikali hapo ama kikundi cha Ndelahamwe .

We ulishashuhudia Serikali yoyote ile Duniani tangu enzi za Mfalme Daudi ikaua wananchi wake Vijana zaidi ya 10,000 kisa madaraka.
 

Diaspora ndo wanaochochea sana sijui wana agenda gani behind
Tutakuja kama mazombi tukiwa na siraha za Kivita,tutateketeza chochote kinachotuzuia,moto wetu kamwe hautazimika tutageuza chochote kuwa dust,historia ya Tanganyika ipo mikononi na Baraka zetu na ushujaa tuliourithi kutoka kwenye DNA za mababu zetu,waliikomboa Africa, nasisi kwakuwa ni warlords ni simba tusiopigwa ni simba tunaoshinda Tunaikomboa Tanganyika yetu,na mkono wa Mungu uko juu yetu,kwasababu nia,sababu na nguvu tunayo ya kumfurusha dhalimu yeyote anayepola haki ya watanganyika
 
Sawa Mkuu mi nawaombea kila lililo jema
 
Hukuwaona walioingia barabarani? Au unamaanisha kitu kingine ambacho sikijui?
 
Damu nyingi za watu zimepotea. Kutoandamana ni kuwasaliti wote waliomwaga damu tarehe 29 October
 
Aisesee kwahiyo uko tayari kufa ili huyu aishi?
πŸ‘‡πŸ‘‡
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…