Sio kwa ubaya, watakaotoka tarehe 9 Disemba wengi wao watarudi ganda. Tafadhali mwana JF usishindane na serikali

Hukuwaona walioingia barabarani? Au unamaanisha kitu kingine ambacho sikijui?
Hakuna Diaspora ambaye aliyekuwa anainfluence maandamano naye akaja kuungana na watanzania wenzake front line isipokuwa Mwarabu fighter pekee

Roma alisema atakuwepo lakini hakukanyaga huku kina Maria wapo Kenya tu hapo lakini hawajasogea
 
Wewe utakuwa target yetu
 
Hakuna Diaspora ambaye aliyekuwa anainfluence maandamano naye akaja kuungana na watanzania wenzake front line isipokuwa Mwarabu fighter pekee

Roma alisema atakuwepo lakini hakukanyaga huku kina Maria wapo Kenya tu hapo lakini hawajasogea
Wewe umeuliza nani wa kuandamana kama wote tutaishia kuhamasisha. Au una tatizo jingine na sio kuhusu hilo swali ulilouliza? Kwa mara ya mwisho nakuuliza tena “hukuona walioandamana?”
 
Wewe umeuliza nani wa kuandamana kama wote tutaishia kuhamasisha. Au una tatizo jingine na sio kuhusu hilo swali ulilouliza? Kwa mara ya mwisho nakuuliza tena “hukuona walioandamana?”
Anha hilo swali nimekuuliza baada ya wewe kusema kwamba Diaspora kazi yao ni kuhamasisha na sio kuja front

Ndo nimekuuliza kama kila mtu akijiweka kwenye fungu la kuhamasisha nani atakuja kuandamana sasa?
 
Whatever it's okey ni lazima kinukishwe ili nchi ipone.. wasichojua ccm na viongozi wao hawapo smart kabisa maana siku zinavyozidi kwenda wanazidi kuingia kwenye Trapp ambayo kwao wao itakuwa ni kaburi ila kwa nchi itakuwa ni mwanzo mpya.
 
Kwani mlihitaji LITA ZA DAMU kiasi gani ili tuwapatie hiyo 9D .Bado mna kiu.

Nb: Wee uchafu/ takataka hata mamako alipitia machungu akachanika ndiyo ukazaliwa wewe. Japo huna faida duniani na mbinguni.
 
Mtoa uzi wee ni matako acha kutisha watu kwa sasa watanzania wamekua majasiri zaidi baada ya hayo mauaji aliyofanya huyo mamako tar 29 so hakuna wa kumtisha takataka wee
 
Tarehe 09 December inapaswa iwe ni siku ya Taifa kuwekwa nusu mlingoti

Mwendo ni 10 nje 10 ndani

Kama mbaya wacha tu iwe hivyo ,no way out 👺
 
Tuendelee kujifukiza na kuvaa barakoa.

Uviko bado unavuruga akili za watu.
 
ili ushauri wako uwe na nguvu inabidi uishauri serikali Kwanza kutimiza matakwa ya raia hata hayo machafuko yametokea kutokana na CCM kutosikiliza malalamiko ya raia
 
This is rubbish, not worth for discussion.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…