M Mdaiwa JF-Expert Member Joined Oct 22, 2025 Posts 1,147 Reaction score 2,919 Nov 10, 2025 #61 Foffana said: Anha hilo swali nimekuuliza baada ya wewe kusema kwamba Diaspora kazi yao ni kuhamasisha na sio kuja front Ndo nimekuuliza kama kila mtu akijiweka kwenye fungu la kuhamasisha nani atakuja kuandamana sasa? Click to expand... Kwa heri boss wangu. Nimeshapata majibu. Labda nikuache tu na hili “watanzania sio tena wale wa kununua propaganda zenu”
Foffana said: Anha hilo swali nimekuuliza baada ya wewe kusema kwamba Diaspora kazi yao ni kuhamasisha na sio kuja front Ndo nimekuuliza kama kila mtu akijiweka kwenye fungu la kuhamasisha nani atakuja kuandamana sasa? Click to expand... Kwa heri boss wangu. Nimeshapata majibu. Labda nikuache tu na hili “watanzania sio tena wale wa kununua propaganda zenu”
M Mdaiwa JF-Expert Member Joined Oct 22, 2025 Posts 1,147 Reaction score 2,919 Nov 10, 2025 #62 Hidden Diamond said: Sasa wanaandamana wengine ww unaharisha harisha nini Click to expand... Anajifariji
Hidden Diamond said: Sasa wanaandamana wengine ww unaharisha harisha nini Click to expand... Anajifariji