Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Mimi swali langu kwani mtazamo wa Tundu Lissu ndio ukweli? Kwa nini uniambie mtazamo wa Tundu Lissu wakati mimi sikumzungumzia huyo Lissu?Labda hukunielewa tu toka mwanzo, ni kwamba mie naelezea mitazamo ya Tundu Lissu pamoja na wanachadema kuhusu vyama vyengine vya upinzani.
Kwenye mtazamo wa Lissu pamoja na wanachadema wengine kuna hoja kuhusu hivyo vyengine vya upinzani kwamba ni kwanini wanaona kuwa ni matawi ya ccm.Mimi swali langu kwani mtazamo wa Tundu Lissu ndio ukweli? Kwa nini uniambie mtazamo wa Tundu Lissu wakati mimi sikumzungumzia huyo Lissu?
Kwa nini mtazamo wa Chadema au Lissu uwe hoja hapa?Kwenye mtazamo wa Lissu pamoja na wanachadema wengine kuna hoja kuhusu hivyo vyengine vya upinzani kwamba ni kwanini wanaona kuwa ni matawi ya ccm.
Muhimu hapo ni hoja zao kwahiyo kama hoja zao hazina ukweli basi unasema.Kwa nini mtazamo wa Chadema au Lissu uwe hoja hapa?
Kuunga chama cha siasa mkono ni lazima tuangalie kwanza Chadema wanasemaje?
Nimesema hoja zao sio za kweli, kuna vyama makini kama TLP, kama Chadema haifai, kwa nini wasiunge mkono vyama kama TLP,?Muhimu hapo ni hoja zao kwahiyo kama hoja zao hazina ukweli basi unasema.
Umakini upi sasa uliyopo kwenye hivyo vyama kama hicho TLP?Nimesema hoja zao sio za kweli, kuna vyama makini kama TLP, kama Chadema haifai, kwa nini wasiunge mkono vyama kama TLP,?
Kilimuunga mkono Magufuli,Umakini upi sasa uliyopo kwenye hivyo vyama kama hicho TLP?
tushakwambia mibange ya Mzakwe wanachanganya na vinyesi vya watoto - mbishi haya sasa.Hali ni mbaya sana kwa wananchi wa kawaida.
Watu hawana hata uhakika wa kula.
Leo hii nafaka zimepaa. Wananchi wanakosa hata pesa ya kupeleka shule na kununua sare.
Maji mijini na vijijini yanapatikana kwa shida. CcM imefeli.
Imefanikiwa kupandikiza mamluki ACT Wazalendo na CHADEMA.
Mbona mama yako navuta naetushakwambia mibange ya Mzakwe wanachanganya na vinyesi vya watoto - mbishi haya sasa.