Sio kweli kuwa CCM imesimika mizizi kiasi cha kutoachia dola. Bali hakuna upinzani madhubuti Zitto na Mbowe ni waganga njaa

Sio kweli kuwa CCM imesimika mizizi kiasi cha kutoachia dola. Bali hakuna upinzani madhubuti Zitto na Mbowe ni waganga njaa

Labda hukunielewa tu toka mwanzo, ni kwamba mie naelezea mitazamo ya Tundu Lissu pamoja na wanachadema kuhusu vyama vyengine vya upinzani.
Mimi swali langu kwani mtazamo wa Tundu Lissu ndio ukweli? Kwa nini uniambie mtazamo wa Tundu Lissu wakati mimi sikumzungumzia huyo Lissu?
 
Mimi swali langu kwani mtazamo wa Tundu Lissu ndio ukweli? Kwa nini uniambie mtazamo wa Tundu Lissu wakati mimi sikumzungumzia huyo Lissu?
Kwenye mtazamo wa Lissu pamoja na wanachadema wengine kuna hoja kuhusu hivyo vyengine vya upinzani kwamba ni kwanini wanaona kuwa ni matawi ya ccm.
 
Kwenye mtazamo wa Lissu pamoja na wanachadema wengine kuna hoja kuhusu hivyo vyengine vya upinzani kwamba ni kwanini wanaona kuwa ni matawi ya ccm.
Kwa nini mtazamo wa Chadema au Lissu uwe hoja hapa?
Kuunga chama cha siasa mkono ni lazima tuangalie kwanza Chadema wanasemaje?
 
Kwa nini mtazamo wa Chadema au Lissu uwe hoja hapa?
Kuunga chama cha siasa mkono ni lazima tuangalie kwanza Chadema wanasemaje?
Muhimu hapo ni hoja zao kwahiyo kama hoja zao hazina ukweli basi unasema.
 
Mkuu we bisha tu lakini ukweli ndio huo,

Ccm imekita mizizi yake mbali kwanza kwa kutumia mtaala ya elimu mibovu ambayo haitoi Cha maaana zaidi ya kujua kusoma na kuandika, ikawaaminisha kuwa bila ccm eti nchi haitawaliki,

Ikawafukarisha ili Kila siku wawe wanawaza watakula Nini badala ya kuwaza mstakabali wa nchi Yao,

Ikatengeneza vyama vya upinza fake ambavyo vimekuwa kama wake wenza vinashindana kunengua mbele ya bwana wao ccm ili vipendwe na vipate matumizi zaidi kwa ajili kusukuma siku,

Ccm itatoka tu madarakani siku wananchi maumivu ya mateso ya kufukarishwa kwa lazima yakifika mwisho wakashindwa kutofaitisha kuwa hai na kufa. Tofauti na hapo sioni dalili, ni Heri hata suala la viongozi wa kitaifa wangekuwa wanapatikana kama makocha wa timu ya taifa tungeleta kiongozi kutoka hata Croatia huko.
 
Muhimu hapo ni hoja zao kwahiyo kama hoja zao hazina ukweli basi unasema.
Nimesema hoja zao sio za kweli, kuna vyama makini kama TLP, kama Chadema haifai, kwa nini wasiunge mkono vyama kama TLP,?
 
Hali ni mbaya sana kwa wananchi wa kawaida.

Watu hawana hata uhakika wa kula.

Leo hii nafaka zimepaa. Wananchi wanakosa hata pesa ya kupeleka shule na kununua sare.

Maji mijini na vijijini yanapatikana kwa shida. CcM imefeli.

Imefanikiwa kupandikiza mamluki ACT Wazalendo na CHADEMA.
tushakwambia mibange ya Mzakwe wanachanganya na vinyesi vya watoto - mbishi haya sasa.
 
Back
Top Bottom