Sio Lissu wala Nyalandu mwenye uwezo wa kushindana na Magufuli 2020


Ndio maana kila siku nasema wewe mtoto unakumutwa.
 
Ni kweli mkuu! Mi simuoni wakumshinda Magufuli kwenye kinyanganyilo cha Urais, Hivi Lissu just imagine anasimama jukwaani anaongea nini kwa mfano tukamuelewa..! n Mi sion labda aseme alipigwa risasi dereva wake akazikwepa kama Jet-Lee ila yeye zikampata na ana kesi zaidi ya 50 kortini maana ndicho watakachosema labda!

Mwananchi gani atamchagua Lissu kisa kasema atajenga Fly Over akamuelewa? Yani aseme Magu najenga Fryover na Lissu wananchi wamuone Lissu ndiye atajenga? Imposible Watanzania si wajinga kiasi hicho.
 
One by one mbona mweupe sana ila kama atakuwa na usaidizi hili sipingi mpaka 2070
 
sasa zile risasi zilikuwa za nini wakati ana pHD ya utomvu wa korosho ?
je haikutosha kupambana na yeye ?
CCM bila jeshi la polisi, usalama na jeshi la wananchi ambalo limeshiriki mara kadhaa kuisaidia CCM ishinde kwa kutumia vifaru kuwatisha wananchi, CCM ni laini kama maji ya kunawa..
huyo unayemsifia ukisema tu umaarufu wake umeporomoka ujue huna bahati, huyu hajiamini !
 
Nilitaka kuikubali hoja yako kwa asilimia fulani lakini ulivyoleta mapendekezo ya anaefuatia hoja nzima imeonekana ni boko
 
MEMBE= PRESIDENTIAL MATERIAL.

JIWE=PRESIDENTIAL RUBBISH.

MEMBE > JIWE

Hence MEMBE FOR PRESIDENCY 2020.

#CCMTwendeniNaMEMBE2020
#MEMBEkwaUSHINDIwaUHAKIKA.
 
Ile aliyosema kwamba kazi nikupe, halafu umchague mpinzani unaiyongeleaje hii kwa kiongozi wako?
Katika akili unafikiri atampigia nani kura kama sio kiongozi wake!
 
Hamuishi kulia ila hamtaki kujitathimini nini tatizo miaka nenda kura hazitoshi viongozi wenu wanajua kila kitu ila wameamua kuwatia upofu!
 
Mweeeeeee itakuwa hukuandika kwa hiyari yako
 
Mhhh Wenzio hawajui 2020 wamsimamishe nani!
 
Hamuishi kulia ila hamtaki kujitathimini nini tatizo miaka nenda kura hazitoshi viongozi wenu wanajua kila kitu ila wameamua kuwatia upofu!

Haya tunayaona kwa macho yetu hatusubiri kuambiwa na viongozi.

Nb: kamsikikize Zitto anakuambia watu 100 wameuliwa huko Uvinza na polisi. Hao hao polisi wanaosimamia uchaguzi huru na hili limekaliwa kimya.
 
MEMBE= PRESIDENTIAL MATERIAL.

JIWE=PRESIDENTIAL RUBBISH.

MEMBE > JIWE

Hence MEMBE FOR PRESIDENCY 2020.

#CCMTwendeniNaMEMBE2020
#MEMBEkwaUSHINDIwaUHAKIKA.
Sawa labda kupitia chadema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…