Sio Lissu wala Nyalandu mwenye uwezo wa kushindana na Magufuli 2020

either huna clue kabisa ya “sihasa” au unajitoa ufahamu!
 
Huyo boss wenu bila majeshi ni mwepesi kuliko pamba
 
Mmejaa hofu hofu na mashaka ndio yamewatawala tume ipo huru na uchaguzi upo huru ila hamuuziki kwa wananchi!
Uhuru wa polisi kukimbia na sanduku la kura baadae wanalirudisha na kumtangaza mtu wenu kashinda kwa kishindo?
 
Issue ni kupambana na Magu au kupambana na PoliCCM na Tume? Labda tuanzie hapo kwanza
 
Uhuru wa polisi kukimbia na sanduku la kura baadae wanalirudisha na kumtangaza mtu wenu kashinda kwa kishindo?
CCM bila Polisi ni weupe hakuna mwananchi huwachagua CCM bali hupora ushindi kibabe tu
 
Ufipa wameanza wana mgombea wao anaitwa membe!
Acha ushamba wako huko Lumumba mna njaa pesa zenu zote kala Le mutuz mmeshuka moyo wa kuitetea CCM mitandaoni mpaka Le mutuz awalipe madai yenu, mtangoja milele hiku yeye akiponda pesa zenu na michepuko ndiyo maana mnakuja na hoja za kizuzu.
 
[emoji90]
 
Poverty background and mentality ni mbaya sana ona sasa umeuza akili zako kwaajiri ya njaa.
 
u umebaki pekeyako ndie unayemwamini Baba J, wenzako Kinana, Makamba Nape n.k, wameshaona viatu havimtoshi, wapo mstuni wanapanga kuondokana na hii aibu ya kiwango cha kimataifa
 
MBONA Mrema,Cheyo,Rungwe na Faham Dovutwa huwataji???

tunaojua LOGIC unatuambia kitu ambacho imejificha ambacho wewe mwenyewe umekiweka wazi kwetu bila kujua .

Umeweka wazi= kwamba ulowataja wana nguvu hasa lissu.UKIJUA LOGIC NI RAHA SANA.
 
Acha ushamba wako huko Lumumba mna njaa pesa zenu zote kala Le mutuz mmeshuka moyo wa kuitetea CCM mitandaoni mpaka Le mutuz awalipe madai yenu, mtangoja milele hiku yeye akiponda pesa zenu na michepuko ndiyo maana mnakuja na hoja za kizuzu.
Tunasonga chama kinazidi kujichimbia mizizi!
 
u
umebaki pekeyako ndie unayemwamini Baba J, wenzako Kinana, Makamba Nape n.k, wameshaona viatu havimtoshi, wapo mstuni wanapanga kuondokana na hii aibu ya kiwango cha kimataifa
Propaganda mfu!
 
MBONA Mrema,Cheyo,Rungwe na Faham Dovutwa huwataji???

tunaojua LOGIC unatuambia kitu ambacho imejificha ambacho wewe mwenyewe umekiweka wazi kwetu bila kujua .

Umeweka wazi= kwamba ulowataja wana nguvu hasa lissu.UKIJUA LOGIC NI RAHA SANA.
Amini hivyo hivyo hivi sasa sio chadema ila kinatambaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…