Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Kuna mapolisi wengine ni wana hofu na mungu ila ni ngumu kuwaona na wanapigwa vita.
Nakumbuka kuna mkuu wa kituo pale magomeni alikuwa mtu wa swala tano ,yani hataki kuona mtu kaonewa ila walimuondoa.
Kwa mambo ya ajabu yaliopo hapa tanzania mlitakiwa nyie muoneshe mfano sio kuwafurahisha kikundi cha watu ambao leo au kesho nchi ikiingia kwenye vita kumbukeni wale watapanda ndege na familia zao tukibaki mimi na wewe.
Familia zenu sasa zinaogopa kusema kuwa baba,mama,kaka,dada,mjomba,shangazi,rafiki na n.k kuwa ni askari.