Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
Kazini kuangia saa Moja na nusu kutoka saa kumi kamili.
Je unaweza kufanya vipi kitu nje na KAZI yako
Ahsante
Je unaweza kufanya vipi kitu nje na KAZI yako
Ahsante
Kazini kuangia saa Moja na nusu kutoka saa kumi kamili.
Je unaweza kufanya vipi kitu nje na KAZI yako
Ahsante
Hakika ni Changamoto sana.Njia rahisi Kwa Mwajiriwa ni kuwekeza kwenye hisa ,bonds na biashara zingine zisizo na usimamizi mkubwa kama hizo vinginevyo u have a big change ya kufeli.Kazini kuangia saa Moja na nusu kutoka saa kumi kamili.
Je unaweza kufanya vipi kitu nje na KAZI yako
Ahsante
Amlipe vizuri? HeheheFanya biashara ambayo inahitaji simu tu na si uwepo wako ,kama ukipata mtu wa kusimamia jitahidi umlipe vizuri ili asiingie na tamaa ya kukuibia.
Vijana wa siku hizi mkabidhi Milioni Moja akanunue mzigo, siku hiyo hiyo anakaza Laki kwanza naweka pembeni mengine ndio wanaendelea. Ni vijana wa hivyo sanaKazini kuangia saa Moja na nusu kutoka saa kumi kamili.
Je unaweza kufanya vipi kitu nje na KAZI yako
Ahsante
Mshahara wenyewe kaka laki mbili tena mkoani unawezaje kuwekeza kwenye Hisa Hati Fungani nk,?Hakika ni Changamoto sana.Njia rahisi Kwa Mwajiriwa ni kuwekeza kwenye hisa ,bonds na biashara zingine zisizo na usimamizi mkubwa kama hizo vinginevyo u have a big change ya kufeli.
Kwanga hakuna kazi ya serikali unalipwa hiyo hela ,Hilo la kwanzaMshahara wenyewe kaka laki mbili tena mkoani unawezaje kuwekeza kwenye Hisa Hati Fungani nk,?
Hapana binafsi mimi nalipwa laki mbili ndio maanaKwanga hakuna kazi ya serikali unalipwa hiyo hela ,Hilo la kwanza
Pili hisa zinanunuliwa bei ya chini tuu Wala sijazungumzia bonds lakini pia unaweza kuwa unaweza hata elfu 50 Kwa kununua vipande.
Anza Biashara ukiwa na Lengo la kuacha KAZI?? Naomba ufafanuzi mkuuanza biashara ukiwa na lengo la kuacha kazi
vyote kwa pamoja haviend
yaaaniAnza Biashara ukiwa na Lengo la kuacha KAZI?? Naomba ufafanuzi mkuu
Kima Cha chini Cha Mwajiriwa wa Serikali ni Laki 3 ,hiyo kazi Yako ni kada gani? Ofisini kwetu Office Assistant ambae ni kibarua analipwa Laki 3 iweje wewe Mwajiriwa ulipwe Laki 2?Hapana binafsi mimi nalipwa laki mbili ndio maana
kusimamia biashara na kufanya biashara ni vitu viwil tofautiSasa hivi technologia imekua sana, Mifumo mingi ipo ya kusimamia biashara, CCTV camera zipo.
Huwezi kushindwa kufanya biashara kisa tu umeajiliwa.
Nashukuru sana ahsanteyaaani
ukianza biashara unaicheki ukuaji wake
ukiwa mzuri
unaongeza mtaji mdogo mdogo
then acha kazi endesha biashara
lakin aina nyingi za biashara haziwezi kwenda pamoja na kazi
Private sector mkuuKima Cha chini Cha Mwajiriwa wa Serikali ni Laki 3 ,hiyo kazi Yako ni kada gani? Ofisini kwetu Office Assistant ambae ni kibarua analipwa Laki 3 iweje wewe Mwajiriwa ulipwe Laki 2?
kusimamia biashara na kufanya biashara ni vitu viwil tofauti
biashara inahitaji uwepo wako