masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,576
- 20,183
huwajui vijana weweSio lazima uwepo wako uwe wa moja kwa moja.
Usimamizi wa karibu ndio unatakiwa. Na hili unaweza kufanya hata usipokuwepo 24 hrs.
Kwa private sector ni sahihi nilitaka niseme hiyo mishahara ni ya private sector.Private sector mkuu
Kima Cha chini Cha Mwajiriwa wa Serikali ni Laki 3 ,hiyo kazi Yako ni kada gani? Ofisini kwetu Office Assistant ambae ni kibarua analipwa Laki 3 iweje wewe Mwajiriwa ulipwe Laki 2?
huwajui vijana wewe
kama una mastore ukategemea camera tu
kimekulamba vibaya mno
dearSio kutegemea camera peke yake. Unatakiwa ukague phyisical ila sio kushinda pale masaa yote.
Kuna namna nying tu ya kufanya hivyo.
utafeli vibaya sana. Hzo tech unazosemea zmetengenezwa na binadamu, udhaifu kibao. Umeme tu ukikatika watu wanakupga kama ngoma.Sasa hivi technologia imekua sana, Mifumo mingi ipo ya kusimamia biashara, CCTV camera zipo.
Huwezi kushindwa kufanya biashara kisa tu umeajiliwa.
Shida wizi kwa watanzania ni kama upo kwenye DNA. Sasa kwa mfano mafisadi wana njaa Gani? Mbona hawaachi kuiba??Fanya biashara ambayo inahitaji simu tu na si uwepo wako ,kama ukipata mtu wa kusimamia jitahidi umlipe vizuri ili asiingie na tamaa ya kukuibia.
Hapo ndipo shida ilipo maana hawa mafisadi pesa walizonazo wanaweza kutumia miaka 100 kisha kuwaachia wajukuu ,vitukuu hadi vilembwe lakini hawatosheki.Shida wizi kwa watanzania ni kama upo kwenye DNA. Sasa kwa mfano mafisadi wana njaa Gani? Mbona hawaachi kuiba??
Vijana wa siku hizi mkabidhi Milioni Moja akanunue mzigo, siku hiyo hiyo anakaza Laki kwanza naweka pembeni mengine ndio wanaendelea. Ni vijana wa hivyo san
Sasa hao mafisadi wanaaksi tabia za watanzania, Tamaa, uchu na kutaka mafanikio ya haraka haraka. Mtu anaajiliwa serikalini mwaka mmoja tu anataka awe na nyumba Kali, gari Kali pisi Kali, avimbe Kila kiwanja wamjueHapo ndipo shida ilipo maana hawa mafisadi pesa walizonazo wanaweza kutumia miaka 100 kisha kuwaachia wajukuu ,vitukuu hadi vilembwe lakini hawatosheki.