Sio siri huyu Mzigua90 ananichanganya sana

Sio siri huyu Mzigua90 ananichanganya sana

Usimsikilize huyo winga Lamomy bn yy akishakosa wateja anaanza kunisakazia kila ID ya kike😁

Ukwel ni kuna ID kitambo nimedata na maandishi yake sema mm nimechagua kuangalia tu
😂😂😂😂 tabu leleh lah!
Ww niambie mimi ntajua huyo ni kweli pisi au tumepigwa!! Winga mzima unakuwa muoga?? Mbona wateja mnawapanga itakuwa demu??
 
Back
Top Bottom