Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli hivi vichekesho, anaacha kuomba namba za kutuma muamala yy kakazana kupiga domo hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hajui wazigua ndiko mapenzi yalikozaliwa
Mpaji Mungu umesikia toto la kitanga linavyosema? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Winga umekosa mali safi toka waja leo waondoka mwakani!!
Ni pisi flan hivi, swagish mautundu kama yote[emoji1787][emoji1787]
Kwahiyo unanishauri na Mimi nianze kutafuta sio?Acha visingizio
Mbali mbinguni kwani hawezi kukufata mkasaidizana kubeba box 😂😂😂
Wewe sio! Una meno ya chocolate mimi sitakiYangu
Anaweza akabahatisha akaenda kukutana nae akakuta ni pisi ya kwenda.
Muache...!
Oyaa unazingua 😂😂😂Ngoja ntafute Uzi wako sasa🤣
Btw ni pisi kali kweli...
Umeona!, li celebrity hilo, kulipata lazima uwe staa[emoji1787] na maokoto ya kutosha
Usiwe hivyo banaWewe sio! Una meno ya chocolate mimi sitaki
Mzee mbona sina mpango na mzigua mm,[emoji1787] mzigua kabisa hapana mkuu!
Naombea hiyo pisi iwe single maza ili nione harakati zako za kuchangia kuwasema zitaishia wapi[emoji23]
Sijui tufanye jambo pale Emily hotel ajue Sina shughul ndogoMkorofi huyo Lamomy. Au kanichagua niwe wifi yake na anaona huna nia ndio maana anakupambania? [emoji23][emoji23]
Simuogopi mbona, hii pisi ni kali ila haipo kwenye bucket list yangu. Au wewe ndo mshenga?
Baada ya kula pilau na kushiba na hakuna tena swaumu umepata nguvu ya kumfikiria Mzigua90 kweli weni Vichekesho
Nitag kwenye uzi wake jifanye unanipa ushauri [emoji12]
Sijui tufanye jambo pale Emily hotel ajue Sina shughul ndogo