Sio siri huyu Mzigua90 ananichanganya sana

Mkorofi huyo Lamomy. Au kanichagua niwe wifi yake na anaona huna nia ndio maana anakupambania? [emoji23][emoji23]
Yani wifi acha tyuuu!! Kaka kila ninavyomsaidia domo zito afu muoga km kunguru 🤣🤣🤣🤣
Nishaona dalili za kukosa kuitwa aunt mimi!!
Kaka mzito kila nikimpigia pasi afunge anabutua mpira juu 😂😂😂
 
Sijui tufanye jambo pale Emily hotel ajue Sina shughul ndogo
Mambo si hayo…!! Uwe unachangamka bana ila ulivyoiomba sasa unaharibu 🤣🤣🤣🤣

Wenzio hawataji hotel moja kwa moja wanaanza na “Mchumba tunaweza kupata dinner Rotana, ule upande wao wa restaurant wana misosi mizuri sana.” Halafu unasikilizia mtoto anasemaje!!

Ww hiyo moja kwa moja hotel mrembo atawaza mashuka na vitanda 🤣🤣🤣🤣
Haji ng’ooo
 
🤣🤣🤣Mama yangu! Kumbe swaga zimekua updated ngoja nijaribu kuaply
 
Yani wifi acha tyuuu!! Kaka kila ninavyomsaidia domo zito afu muoga km kunguru [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nishaona dalili za kukosa kuitwa aunt mimi!!
Kaka mzito kila nikimpigia pasi afunge anabutua mpira juu [emoji23][emoji23][emoji23]

Kashasema lakini ana jambo lake. Kwanza utamuharibia siku akitangaza nia kwenye jambo lake aonekane hayuko serious
 
Mambo si hayo…!! Uwe unachangamka bana ila ulivyoiomba sasa unaharibu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wenzio hawataji hotel moja kwa moja wanaanza na “Mchumba tunaweza kupata dinner Rotana, ule upande wao wa restaurant wana misosi mizuri sana.” Halafu unasikilizia mtoto anasemaje!!

Ww hiyo moja kwa moja hotel mrembo atawaza mashuka na vitanda [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haji ng’ooo

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bora umemfundisha. Yani tukutane chumbani akikutana na kitu asichokitaka je? Aje aseme nilikula basi tu kufidia gharama zangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hajui kabisa kuhamasisha itakuwa kazoea sana wa kimboka 🤣🤣🤣

Maandishi makavu eti, “ Tukutane Emily hotel nikakuonyeshe kazi ww hunijui” khaaaa!! 🤣🤣🤣
Huyu kaka angu kupata chuma classic atasubiri sana kwa aina yake hiyo ya utongozaji.
 
Back
Top Bottom