Sio siri huyu Mzigua90 ananichanganya sana

Sio siri huyu Mzigua90 ananichanganya sana

Nikikuambia wewe ni mzee usiwe unabisha!

😇

Nina preference ya vitu vya kukumbuka na vya kuerase ephen_

Mambo ni mengi siwezi weka kila kitu kwenye memory...

So, nilikuwa namwambia yule jamaa a-pause kwenye kipengele cha kusema Mnyiha na wewe mnapendana...

Naona kama ananipeperushia njiwa wangu (wewe hapo)

😂😂😂😂😂😂sema basi tu. Ephen na Lucas wanapendana sana. Ila Lucas ninahisi yupo anakimbila 45+ ila ephen akizidi sana ni 25 hata yeye hawez bisha
 
Back
Top Bottom