Sio Uchawi, hii ndio mbinu wanayotumia wakinga kuteka biashara kwa spidi kali na mfanikio makubwa, mbinu rahisi ambayo kabila lolote linaweza kutumia

sasa sipati picha kabila kama wasukuma, wachaga, wanyakyusa, wahaya, hawa wenye idadi ya watu milioni 2 na zaidi wajikusanye wawe na umoja wa watu hata elf 10 tu wawe wanachangiana hata elf 50 kila mwezi,
Wataishia kuuana maana watadhurumiana mpaka basi
 
Ni jamii ambayo ilikuwa haijulikani lakini hivi karibuni kutoitambua ni sawa na kusema hakuna kitu kwenye chumba mlichomo na tembo, hata kwa wanaofunga mizigo yao soko kubwa kuliko yote nchini pale kariakoo ni mashuhuda, hawa watu ni kama wameimeza kariakoo.

Sio mbinu ya wakinga, wao walichofanya ni kuiga tu, mbinu hii hutumika sanasana na wasomali ambao nao waliiga sehemu.

Mbinu ni nyepesi mno na ninahofia endapo kabila kubwa likiiga basi litakuwa mbali sana kimafanikio, mbali sanaaaa!!

Kinachofanyika ni swala la kuwa na umoja unaowaunganisha wakinga waliofanikiwa kuinuana.

Kunakuwa na umoja kwa mfano wanakuwa wakinga 500, kinacofanyika ni kwamba kila mwezi kila mtu awe mfanyabashara au kaajiriwa inabidi atoe elf 50, laki, laki 2, n.k kutokana na status yake, hata ukitoa M ni wewe tu.

Hapo kila mwezi huwa inapatikana takribani milioni 50

sasa kitachofanyika hapo, hio pesa wataikopa bila riba familia ambayo wanaona inaweza kuhimili biashara, huwa wanakopa familia na sio mtu binafsi kwasababu familia ina nguvu kazi na inawajibika zaidi kuliko mtu binafsi.

Katika familia hio kuna mtu moja wao anaenda jiji la Guangzou huko China, huu ni mji mkubwa wa kibiashara wenye bandari na kuna wakinga wengi sana kuliko kabila lolote linalotokea hapa kwetu, hivyo mwenzao akifika huko inakuwa rahisi kuwa na wenyeji, wenzake watampiga shule ayajue machimbo ya huko Guangzhou ya kununua bidha, watamfundisha kujitahadhari na utapeli, watampa connections, watamfundisha jinsi ya kusafirisha bidhaa kwa wenzake wa bongo, n.k.

akimaliza mafunzo atapokea ile hela waliyochangiwa ili anunue mzigo ausafirishe kuja huku bongo, uzuri ni kwamba wana kampuni yao ya kusafiisha inaitwa mapembelo cargo, mzigo ukifika huku bongo basi wenzake wa upande wa huku kwetu ndio watakuwa wanashughulika na kuuza .

Familia hiyo iliyochangiwa nayo itakuwa mwanachama mpya wa umoja wa kuchangiana kila mwezi huku wakiwa wanalipa marejesho ya ule mkopo, ndio maana wengi inabidi wajibane matumizi kisawasawa, si ajabu kukuta mtu ana duka kubwa limejaa ila anagonga kande.

Halafu pia silaha yao kuu huwa ni kuuza kwa faida ndogo, bidhaa aliyoagiza kwa elf 50 yupo radhi auze hata kwa faida ya elf 52, hiki ndio kitu kilichowanya hata wachaga wapungue pale kariakoo maana ukienda duka la mchaga nataka faida kubwa.

sasa sipati picha kabila kama wasukuma, wachaga, wanyakyusa, wahaya, hawa wenye idadi ya watu milioni 2 na zaidi wajikusanye wawe na umoja wa watu hata elf 10 tu wawe wanachangiana hata elf 50 kila mwezi,

watu elf 10 x shilingi 50,000 = milioni 500 pesa taslimu

kiasi hicho kwe kinagawanywa shilingi milioni 50 kwa watu 10 kila mwezi sawa na wati 120 kila mwezi, kati ya hao 120 wafanikiwe hata 50 tu kila mwezi.... sijui hata nguvu ya kulinganishana nao mtu ataitoa wapi.
Kafara za wakinga sii za leo, ni za kitambo ila kwa siku za usoni wamezihuisha na kuziboresha zaidi.
Ukienda makambako na mwanjelwa ukapata fursa ya kuingia ktk maduka yao utajifunza kitu.
Mimi niliona kwa macho yangu wakati mwanjelwa ilipoungua yaliyokuwa yanatoka mle madukani Mungu ndoa ajuaye
 
Biashara ni kuwa na mali mkuu siyo uchawi,jua soko linataka nini lete kile soko linataka uza tutakutafuta tu popote ulipo!(sikatai/na siwezi kuthibitisha uwepo wa kafara) ila ukweli wa kwanza ni huo.

Ukitaka kuniamini kauwe nduguyo kisha kafungue biashara usiweke bidhaa zenye tija uone ukweli ulivyo.
Hyo inajulikana ila haiondoi ukweli kuwa wanatumia mikafara
 
Ni jamii ambayo ilikuwa haijulikani lakini hivi karibuni kutoitambua ni sawa na kusema hakuna kitu kwenye chumba mlichomo na tembo, hata kwa wanaofunga mizigo yao soko kubwa kuliko yote nchini pale kariakoo ni mashuhuda, hawa watu ni kama wameimeza kariakoo.

Sio mbinu ya wakinga, wao walichofanya ni kuiga tu, mbinu hii hutumika sanasana na wasomali ambao nao waliiga sehemu.

Mbinu ni nyepesi mno na ninahofia endapo kabila kubwa likiiga basi litakuwa mbali sana kimafanikio, mbali sanaaaa!!

Kinachofanyika ni swala la kuwa na umoja unaowaunganisha wakinga waliofanikiwa kuinuana.

Kunakuwa na umoja kwa mfano wanakuwa wakinga 500, kinacofanyika ni kwamba kila mwezi kila mtu awe mfanyabashara au kaajiriwa inabidi atoe elf 50, laki, laki 2, n.k kutokana na status yake, hata ukitoa M ni wewe tu.

Hapo kila mwezi huwa inapatikana takribani milioni 50

sasa kitachofanyika hapo, hio pesa wataikopa bila riba familia ambayo wanaona inaweza kuhimili biashara, huwa wanakopa familia na sio mtu binafsi kwasababu familia ina nguvu kazi na inawajibika zaidi kuliko mtu binafsi.

Katika familia hio kuna mtu moja wao anaenda jiji la Guangzou huko China, huu ni mji mkubwa wa kibiashara wenye bandari na kuna wakinga wengi sana kuliko kabila lolote linalotokea hapa kwetu, hivyo mwenzao akifika huko inakuwa rahisi kuwa na wenyeji, wenzake watampiga shule ayajue machimbo ya huko Guangzhou ya kununua bidha, watamfundisha kujitahadhari na utapeli, watampa connections, watamfundisha jinsi ya kusafirisha bidhaa kwa wenzake wa bongo, n.k.

akimaliza mafunzo atapokea ile hela waliyochangiwa ili anunue mzigo ausafirishe kuja huku bongo, uzuri ni kwamba wana kampuni yao ya kusafiisha inaitwa mapembelo cargo, mzigo ukifika huku bongo basi wenzake wa upande wa huku kwetu ndio watakuwa wanashughulika na kuuza .

Familia hiyo iliyochangiwa nayo itakuwa mwanachama mpya wa umoja wa kuchangiana kila mwezi huku wakiwa wanalipa marejesho ya ule mkopo, ndio maana wengi inabidi wajibane matumizi kisawasawa, si ajabu kukuta mtu ana duka kubwa limejaa ila anagonga kande.

Halafu pia silaha yao kuu huwa ni kuuza kwa faida ndogo, bidhaa aliyoagiza kwa elf 50 yupo radhi auze hata kwa faida ya elf 52, hiki ndio kitu kilichowanya hata wachaga wapungue pale kariakoo maana ukienda duka la mchaga nataka faida kubwa.

sasa sipati picha kabila kama wasukuma, wachaga, wanyakyusa, wahaya, hawa wenye idadi ya watu milioni 2 na zaidi wajikusanye wawe na umoja wa watu hata elf 10 tu wawe wanachangiana hata elf 50 kila mwezi,

watu elf 10 x shilingi 50,000 = milioni 500 pesa taslimu

kiasi hicho kwe kinagawanywa shilingi milioni 50 kwa watu 10 kila mwezi sawa na wati 120 kila mwezi, kati ya hao 120 wafanikiwe hata 50 tu kila mwezi.... sijui hata nguvu ya kulinganishana nao mtu ataitoa wapi.
Hujui lolote.
 
Kafara za wakinga sii za leo, ni za kitambo ila kwa siku za usoni wamezihuisha na kuziboresha zaidi.
Ukienda makambako na mwanjelwa ukapata fursa ya kuingia ktk maduka yao utajifunza kitu.
Mimi niliona kwa macho yangu wakati mwanjelwa ilipoungua yaliyokuwa yanatoka mle madukani Mungu ndoa ajuaye
Mimi ni mkinga,Uliloliongea kuhusu kafara sio wote,ila ni imani za koo na mambo ya mtu binafsi ambayo hupatikana kila kabila.Binafsi sijawahi shuhudia kafara miaka yangu yote.Ila wengi tunadumisha tu mila za kuwaenzi mababu zetu na asili yetu.Kumbuka tulikuwa na dini zetu kabla ya dini hizi za wazungu na waarabu.
 
Yaani Kuna tabia ya kukopeshana nila liba na wakinga wa kariakoo Wana wakopesha wa uyole,mbeya na tunduma ambao ni fresh toka makete na ambaye ataendelea vizuri anahamia dat
 
Akigundua umechepuka, hutosamehewa hata ufanyeje
Wakati wa kuoa unavyomuona mzuri unaamini kabisa kwamba hutakaa uchepuke. Miezi mitatu ya ndoa mingi ma pisi ya nguvu yanajipitisha pitisha, unajisemea kimoyo moyo, ni leo tu sitotamani Tena.
Safari moja huanzisha nyingine matokeo yake ni password Kali kwenye simu.
 
Kama idadi ya wanachama wanaochangia mfuko ni 10,000 na kama wanaogawiwa fedha ya biashara kwa mwezi ni 10 itachukua miaka mingapi kwa wanachama wote kuwa wamechangiwa?
Nilivyoelewa hao wanachama 10,000 ni wale ambao wameshatoka wanachanga kuwabeba ambao bado hawajatoka ndo maana ya umoja na kubebana
 
Ila biashara ya nguo ibalipa jmn mnk nasikia shat hz tunazonunua elf 15 had 20 kule China imeuzwa kwa yuan 10 sawa na elf 2600 hvyo biashara ya nguo Ni nzuri kwa hao wakinga
 
We jamaa ni mkabila sana...nimefuatilia post zako nyingi
 
Una rafiki mkinga mfanya biashara? Urafiki ule wa ndani kabisaaa, miaka ya nyuma wakati nafanya biashara rafiki yangu aliniambia ukienda kununua bidhaa dar kuwa makini na matapeli. Ukienda kununua mzigo bidhaaakambako kuwa makini na mambo ya kishirikina pesa yako , kuna rafiki yangu mmoja ni mkinga tulikuaa tunapiga mishe sehemu fulani sasa gari zikija kupakia mzigo za kutoka huko makambako madeleva wengi anafahamiana nao wanasalimiana pale likiondoka anakuambia tajili huyu unatumia uchawi wa hivi , na anasema wengine ni ndugu zake wanamiliki pesa ya namna hiyo ila yeye hataki wamemuita sanaaa. Hivi unajua unaweza kupewa kazi kwa mkinga kwa makubaliano niuzie duka langu baada ya miaka 10 nakufungulia duka lako lenye thamani fulani, alafu muda ule ukifika anakufungulia kama mlivyokubaliana lkn hilo duka hufikishi nalo miaka 5 linakufa na unarudi pale pale kufanya kazi tena, mm nilikuwa na rafiki mkinga, rafiki wa ndani kabisaaa alikuwa anamiliki gali ndogo ya mizigo na deleva mwenyewe hakuwai kuwa na leseni yaaani askali njiani anamuonya tu tafuta leseni haulizwi maswali mengi na hakuna fain , kuna mwanamke mmoja mkinga alikuwa anauza cm kariakoo lkn alikuwa hana mashine ya risiti kipindi hiki cha utawala wa magufuli sio mbani sana sasa nikawa nachati nae nikamuuliza unawezaje kufanya hivyo akasema nawaelewesha wanaelewa , yaani ndioa hivyo japo sio wote lkn wengi hufanya hivyo.
 
hao wangekua wanabebana, huku wengine kufananishana nao ingekuwa ni mbingu na ardhi..
Wakinga bado sana kufikia wachaga, na wakinga wengi wanatumia ndumba mim mamkubwa wangu aliolewa na mkinga anaitwa sanga na anatokea lupalio makete wanapenda sana uchawi
 
Unaongea vitu as if hakunaga makosa, hakunaga biashara kubuma ikakosa wateja...hakunaga kutapeliwa...

Yaan unaongea as if biashara ni rahisi kufanya
 
Una rafiki mkinga mfanya biashara? Urafiki ule wa ndani kabisaaa, miaka ya nyuma wakati nafanya biashara rafiki yangu aliniambia ukienda kununua bidhaa dar kuwa makini na matapeli. Ukienda kununua mzigo bidhaaakambako kuwa makini na mambo ya kishirikina pesa yako , kuna rafiki yangu mmoja ni mkinga tulikuaa tunapiga mishe sehemu fulani sasa gari zikija kupakia mzigo za kutoka huko makambako madeleva wengi anafahamiana nao wanasalimiana pale likiondoka anakuambia tajili huyu unatumia uchawi wa hivi , na anasema wengine ni ndugu zake wanamiliki pesa ya namna hiyo ila yeye hataki wamemuita sanaaa. Hivi unajua unaweza kupewa kazi kwa mkinga kwa makubaliano niuzie duka langu baada ya miaka 10 nakufungulia duka lako lenye thamani fulani, alafu muda ule ukifika anakufungulia kama mlivyokubaliana lkn hilo duka hufikishi nalo miaka 5 linakufa na unarudi pale pale kufanya kazi tena, mm nilikuwa na rafiki mkinga, rafiki wa ndani kabisaaa alikuwa anamiliki gali ndogo ya mizigo na deleva mwenyewe hakuwai kuwa na leseni yaaani askali njiani anamuonya tu tafuta leseni haulizwi maswali mengi na hakuna fain , kuna mwanamke mmoja mkinga alikuwa anauza cm kariakoo lkn alikuwa hana mashine ya risiti kipindi hiki cha utawala wa magufuli sio mbani sana sasa nikawa nachati nae nikamuuliza unawezaje kufanya hivyo akasema nawaelewesha wanaelewa , yaani ndioa hivyo japo sio wote lkn wengi hufanya hivyo.
Huo ndo ukweli wanapenda sana kutumia ndumba
 
Back
Top Bottom