Sio nzur maana anaefua kwa mikono ni rahis kuchubukaFriction si ndio nzuri kuzifanya nguo zitakate vizuri zaidi?
Kwani lengo La kufua ni kutakatisha nguo peke yake?Povu lina umuhimu gani katika kutakatisha nguo?
ya kweli aya mkuu au unatumia maji ya chumvi?Sabuni nyingi za unga povu lake linaisha mapema wakati mwingine inabidi kutumia na sabuni ya kipande.
Haujawahi kukutana na maji magumu mpaka ukiweka mkono hivi unahisi kabisa hapa sabuni ya kipande inagonga mwamba , sasa kulainisha ndo unaweka ya unga yakishakuwa soft unapiga na ya kipande .Huwa naona watu wanatumia sabuni za aina mbili katika kufua, mtu analoweka nguo kwa sabuni ya unga kisha baadaye anatumia sabuni ya kipande wakati anazifua!
Sasa hii maana yake huwa ni nini? Kwamba sabuni ya unga haitoshi kutakatisha nguo wakati wa kufua? Sijawahi kuolewa mantiki ya hili jambo.
Kuondoa ukunguLengo lingine la kufua ni lipi?
Hapana sijapata kitu, sijaelewa hii concept, ninachofamu maji magumu wengi huwa wanatumia sabuni za magadi mengi.Haujawahi kukutana na maji magumu mpaka ukiweka mkono hivi unahisi kabisa hapa sabuni ya kipande inagonga mwamba , sasa kulainisha ndo unaweka ya unga yakishakuwa soft unapiga na ya kipande .
Hope umepata kitu.
Nadhani,, Tuishie Hapa.Kwa ufupi ni ujinga.
Walio wengi hatupendi na hatuna muda wa kujua ndiyo maana tunapata madhara, why?.
Sabuni ya unga inapaswa kuwekwa kwenye maji kwa kipimo kulingana na wingi wa nguo, kisha fikicha kuunda povu hadi zile chenga ziyeyuke, povu litapanda ndiposa unaweka nguo.
Kila sabuni ya unga ina maelekezo yake ila nyingi zinakutaka uache nguo kwa 30dkk ni hadi povu liishe, ndipo unaanza kufua.
Ipo hivi, kuungua/kuchubuka kwa viganja kunatokana na kuweka sabuni ya unga na muda huo huo unaanza kufua, sabuni ya unga siyo maalum kwa matumizi hayo.
Hivyo basi ukiona mtu anatumia sabuni ya unga na kipande ni MJINGA, hajui na analazimisha kutoa uchafu kwenye nguo badala ya kutakatisha.
Mwisho, ukiloweka nguo na sabuni ya unga kwa muda huo hapo juu, hutotumia nguvu kufua nguo zako sababu tayari sabuni inakuwa imenyonya uchafu na inasuburi kuufikicha na kuukamua.
ONYO: Unapoloweka nguo zako usichanganye na zinazotoa rangi.
Asante.