Sio ujinga kutumia sabuni ya unga na kipande kwa pamoja wakati wa kufua nguo?

Sio ujinga kutumia sabuni ya unga na kipande kwa pamoja wakati wa kufua nguo?

Ya unga inawahi kulainisha nguo na kupenya kwa haraka hivo huondoa uchafu haraka zaidi . Kipande inakazia tu
 
Huwa naona watu wanatumia sabuni za aina mbili katika kufua, mtu analoweka nguo kwa sabuni ya unga kisha baadaye anatumia sabuni ya kipande wakati anazifua!

Sasa hii maana yake huwa ni nini? Kwamba sabuni ya unga haitoshi kutakatisha nguo wakati wa kufua? Sijawahi kuolewa mantiki ya hili jambo.
Utakua wewe ni Me hizi kazi za Ke achana nazo
 
Back
Top Bottom