Sio ujinga kutumia sabuni ya unga na kipande kwa pamoja wakati wa kufua nguo?

Kwa nini hamtumii mashine kufua?
 
Watu watajitetea sana ila kutumia sabuni ya unga na kipande kwa wakati mmoja ni matumizi mabaya ya akili.
 
Maamuzi ya mtu jamaa
 
Tumieni sabuni ya maji mi nishasahau kutumia masabuni yanababua ngozi natengeneza mwenyewe sabuni ya maji ila ya unga inaharibu sana ngozi.
 
Sabuni ya kipange inasaidia kutofubaza nguo na kupausha

Haswa jinsi ambazo zinachuja ukifulia sabuni ya unga ni rahis kupauka ndo maana tunatumia sabuni ya kipande na ya unga

Sabuni ya kipande haikupi povu haraka hivyo ukitumia ya unga Ikisha generate povu ndo saa unaanza kutumia ya kipande Kwa sisi tunaovaa nguo za jeans
 
Ndo maana wakati wa kudinya huwa tunaweka na mate ili iteleze vizuri wakati tunajua papuchi inaji rublicate yenyewe.
 
inatosha baba
huu uzi ufungwe
 
Kuna aina ya odor ikiingia kwenye nguo ni ngumu kuiondoa kwa sabuni ya unga.

Pia tukumbuke kwamba nguo hazifuliwi kwa povu moja. Ni muhimu kuanza kufua kwa sabuni ya kipande na kumalizia kwa aina nyingine ya sabuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ