Sioni haja ya kwenda chuo

Hata mambo ya psychology ambayo hayana soko?

Mimi naishi umo saikolojia
Ndo maana nilisisitiza kuhusu kada nyingi kukosa soko.

Kuhusu psychology lazima iwe na soko due to the rise of depression, anxiety and mental issues because of life struggles. Sijui mengi kuhusu kazi zenu, ila najua world wide kuna ongezeko la matatizo ya kisaikolojia.

Sikubahatika kupenda masomo hayo, ila baada ya kupitia mengi nime kuja kudive sana kwenye such things. Najua umuhimu wake hasa kwenye ustawi wa afya na maendeleo yangu. Mental health is a priority
 
Tatizo elimu zetu zinatufundisha kukariri notes, na si kutenda, ndio maana tunaona ajira zinakuwa ngumu, kwa sababu ni elimu tuliyopata haitusaidii kutengeneza kitu na kuuza.
Sio hivyo tu unaweza kuwa vizuri ukaelewa na kujua mambo ila ukaja kugundua elimu uliyoipata iko outdated. Point yako inamashiko pia mkuu watu wanaenda vyouni kutafta vyeti tu.
 
da we jamaa umegusa mule mule mi nataka nisomee lile la kuhamisha container yale ya bandari kavu unanishauri vipi chuo nimepata( Ihet) kipo mwenge ..
 


Unajua mkuu haya mambo ni kuwa positive tu.

Ukiwa wewe economist je hauwezi kuanza kujihusisha na maswala ya consultant?
 
Nenda chuo kapate exposure Acha ushamba wa ajita
 
Tatizo mnaangalia results na sio source ya tatizo , nchi isiyokuwa na sekta binafsi inayokua na kuzalisha ajira + kupunguza umasikini kwa wananchi ,ni tatizo .
Hata usomee nini ni kazi bure tu , uende veta ,uende technical college au University ,haita make difference .
Unakuwa na oversupply ya graduates na poor demand ,net result ndio hiyo mass unemployment .
Hata ukisema wajiajiri , net result ni the same ,hizo startups business zitakufa nyingi ,sababu uchumi wa kimaskini ,hamna purchasing power ya kununua bidhaa na huduma zinazozalishwa na hao graduates kwenye hizo startups business zao .
Hili ni tatizo ambalo wengi hawaliangalii
Nchi maskini kama hii ni tatizo kubwa kwa vijana hasa wanaojitafuta
Au mnafikiri wanaokimbilia ughaibuni ni wajinga ?
Mismanagement ya uchumi na mifumo ya uongozi ndio kiini cha tatizo , sera za kishenzi zisizo chochea ukuaji wa private sector
 
Mimi nachojua elimu haijawahi kumtupa mtu sababu huku mtaani pia kunahitaji elimu ya mtaa huwezi toka ulikotoka ukazani unakuja kupata pesa kirahisi

Jambo la msingi ni kuendelea kutatafuta maarifa kila siku Kuna IT wengi wanamaliza vyuoni bila ujuzi wowote ila Kuna Dunia ya sasa Kuna kozi zipo online unaweza kuendelea kujifunza zaidi
 
Mimi naendelea kusoma bana , n Bora kua na cheti ndan huwaga kinatia motisha one day yes if no siwazi naendelea na hio elimu Yako unayotaka utuambie
 
Kinachofelisha Elimu ya bongo kukariri kwingi , hakuna kupata maarifa sahihi yenye manufaa.
 
We somea mambo magum mfano kilimo mifugo uvuvi ili hata usipo ajiriwa unajiajiri fresh tu ss ww sijui unasoma ma arts usipo ajiriwa ndo unakuja kutema shudu humu tangu ln elimu isiwe na umuhim we ndo huna umuhim mana kuna watu kupitia iyo elim wana maisha safi ss ivi na elim zao ss ww unasema haina umuhim ww ndo fala
 
MKuu kwanini umemwambia asichukue uhasibu?
 
Nenda chuo wakati upo chuo endelea kufanya harakati zako mpk una maliza uko mbali na elimu umepata connection umepata za watu
 
Hakika mkuu umegusa mlemle. πŸ’―πŸ’―πŸ“Œ
Pia nakazia kwenye private sector, wanazibana for a reason ili tuendelee kuwa dependant.
 
Uko sahihi kabisa na ninakuunga mkono, kwani hata college tu imekushinda kuandika, umeandika collage.
 
Hapo umenena mkuu, kuna mda tunapaswa kuangalia uhalisia wa mambo. Ila kuna watu wanamaliza vyuo wanasubiri ajira bila kuangalia ushindani. Ndo ivo unemployment gap inazidi kuwa kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…