Kama wale waliokuwa kibanda umiza wanaangalia movie,wakashindiliwa wote risasi humo humo!Mama au baba yako angepigwa risasi usingeandika huu ujinga wako. Kwa sababu kuna ushahidi uliotolewa wa kuonesha wazi siyo watu wote walio uwawa walikuwa ni waandamanaji.
Unapotumwa kwenda kuzuia vurugu za watu ambao miongoni mwao wana silaha na wamevaa sare za polisi hiyo ni vita ya silaha kaka. Bahati mbaya sana inafahamika tangu kale kuwa vita haina macho. Waliosema vita haina macho walikuwa watu wenye akili zilizokomaa.Mama au baba yako angepigwa risasi usingeandika huu ujinga wako. Kwa sababu kuna ushahidi uliotolewa wa kuonesha wazi siyo watu wote walio uwawa walikuwa ni waandamanaji.
Kwa akili hizi CCM watatawala mpaka ufe.Askari wanapopewa ripoti ya uhakika kuwa wafanyavurugu wamevamia vituo vya polisi kuua polisi na kupora silaha na sare za jeshi la polisi unadhani anaepewa ripoti hiyo atatuma kwenye tukio la kuzima vurugu askari waliobeba virungu tu? Hapohapo kumbuka askari wengi walikuwa wamesambazwa kwenye zoezi la kupiga kura. Hivyo unatuma askari wachache kwenda kuzuia vurugu za watu wengi sana waliotawanyika pia sehemu kubwa.
https://www.facebook.com/Askari wanapopewa ripoti ya uhakika kuwa wafanyavurugu wamevamia vituo vya polisi kuua polisi na kupora silaha na sare za jeshi la polisi unadhani anaepewa ripoti hiyo atatuma kwenye tukio la kuzima vurugu askari waliobeba virungu tu? Hapohapo kumbuka askari wengi walikuwa wamesambazwa kwenye zoezi la kupiga kura. Hivyo unatuma askari wachache kwenda kuzuia vurugu za watu wengi sana waliotawanyika pia sehemu kubwa.
A single condom would have saved us from this idiotAskari wanapopewa ripoti ya uhakika kuwa wafanyavurugu wamevamia vituo vya polisi kuua polisi na kupora silaha na sare za jeshi la polisi unadhani anaepewa ripoti hiyo atatuma kwenye tukio la kuzima vurugu askari waliobeba virungu tu? Hapohapo kumbuka askari wengi walikuwa wamesambazwa kwenye zoezi la kupiga kura. Hivyo unatuma askari wachache kwenda kuzuia vurugu za watu wengi sana waliotawanyika pia sehemu kubwa.
Hakuna askari fala wewe!! Wewe umelala na mkeo ndani unakoroma wakati yeye yuko nje anakimbizana na majambazi wenye silaha. kama wangekuwa mafala wangeuliwa kila siku. Unamkimbiza mtu aliyemuua askari mwenzako halafu mtu huyo anakimbilia kibanda umiza na watu wa kibanda umiza wanamcover na kumuona shujaa, hapo lazima mtasema tu. Watu wakishapora silaha za kijeshi zoezi zima linageuka la kijeshi hadi hapo silaha zote zitakapopatikana zote kwa 100% na adui ku retreat.Kama wale waliokuwa kibanda umiza wanaangalia movie,wakashindiliwa wote risasi humo humo!
Huyo mtu ananufaika na Nini hasa mpaka umwagaji damu holela wa wa Tanzania wenzake aone ni jambo la haki na walistahili?
Huenda ni mzanzibar ndio maana anaona safi tu!
Unachotetea ni hichi:Lakini kuna adui kugeuza ngao watu wema, na kuna adui kukimbilia majumbani na sehemu za mikusanyiko.
I insist, a single condom would have prevented us from this idiot.Sijui wewe ulinusurika vipi mtu wa hovyo kama wewe. Umetuma watoto wa watu wakapambane na makomandoo wanaoilinda nchi, raia na mali zao halafu wewe ukajificha na wanao. Pumbavu
Ndio maana kundi Moja linatumia nguvu ya Kila namna kuendelea kubaki madarakani!Hofu ni kuwa Kuna watu watawajibishwa kwa maisha ya watu yaliyodhulumiwa!Uzuri Jinai Haina ukomo,siku Moja damu iliyomwagika itakuja kulipwa,sio tu ya 0ct 29 bali hata kabla ya hapo!Hakuna askari fala wewe!! Wewe umelala na mkeo ndani unakoroma wakati yeye yuko nje anakimbizana na majambazi wenye silaha. kama wangekuwa mafala wangeuliwa kila siku. Unamkimbiza mtu aliyemuua askari mwenzako halafu mtu huyo anakimbilia kibanda umiza na watu wa kibanda umiza wanamcover na kumuona shujaa, hapo lazima mtasema tu. Watu wakishapora silaha za kijeshi zoezi zima linageuka la kijeshi hadi hapo silaha zote zitakapopatikana zote kwa 100% na adui ku retreat.
Hakuna amani wala maelewano wala kuhoji kama nchi uliyoapa kuilinda inawaka moto kila pahali kila kona. Hakuna muda wa kuchambua aina ya adui na sababu zake as long as nchi inateketea. Hakuna raia mwema anaepora sila na sare za jeshi.
sikia wewe jamaa, hata mimi na wanangu tulikuwa mitaa hiyohiyo waliokufa watu, mimi na wanangu tulitii amari ya kubaki ndani ya nyumba hata kama tulikuwa na shida ya kutoka nje. Hii ilinifanya mm na wanangu hakuna aliyeguswa hata mmoja. Kama askari walikuwa wanaingia tu kila nyumba kuua watu basi hata mmi na wanangu tungekufa, maana tulikuwa tunawaona aaskari wakipita mitaani wakikimbizana na wafanya vurugu.Unachotetea ni hichi:
Mhalifu anapokimbilia nyumbani ua familia nzima pamoja na huyo mhalifu Sababu ni vita isiyo na macho.
Sikia kavulata, Watu waliouwawa wakiwa majumbani walinyimwa haki ya kuishi hata kama utatetea kwa maslahi unayoyajua wewe.
Achilia mbali ukatili wa kuua mhalifu aliyejificha kwa woga pia hatupaswi kuua raia wema sababu kuna wahalifu katikati yao wamejificha.
Mimi sijafa, familia yangu haikufa, sisi kuwa hai haimaanishi tusilaani matumizi mabaya ya silaha yaliyotokea. Kufanya hivyo ni kutowatendea haki raia walionyimwa haki ya kuishi sababu sisi hatukufikiwa.sikia wewe jamaa, hata mimi na wanangu tulikuwa mitaa hiyohiyo waliokufa watu, mimi na wanangu tulitii amari ya kubaki ndani ya nyumba hata kama tulikuwa na shida ya kutoka nje. Hii ilinifanya mm na wanangu hakuna aliyeguswa hata mmoja. Kama askari walikuwa wanaingia tu kila nyumba kuua watu basi hata mmi na wanangu tungekufa, maana tulikuwa tunawaona aaskari wakipita mitaani wakikimbizana na wafanya vurugu.
Wazazi wameshindwa malezi ya watoto wao hadi watoto wao ikawa rahisi kudanganywa na akina Mangi Kimambi ambao hawako hapa. Mzazi ukishindwa kumlea mwanao subiri vilio nyumbani kwako. Wewe hushangai watoto wa Lissu, Heche, Mnyika, Lema, Sugu, Mbowe, Mbatia, Mpina, Warioba hakuna hata mmoja aliyeshiriki kwenye vurugu zile. Ni watoto wa wazazi malofa tu.Ndio maana kundi Moja linatumia nguvu ya Kila namna kuendelea kubaki madarakani!Hofu ni kuwa Kuna watu watawajibishwa kwa maisha ya watu yaliyodhulumiwa!Uzuri Jinai Haina ukomo,siku Moja damu iliyomwagika itakuja kulipwa,sio tu ya 0ct 29 bali hata kabla ya hapo!
Utekaji na mauwaji ya watu wanaotofautiana na serikali ya CCM yatafikia tamati,hiyo siku itakuja na mtu haijalishi ni Mzee,magereza au kunyongwa yatamhusu!
Hizo ni kauli za mtu aliyelewa madaraka au mnufaika wa mfumo!Mfumo kandamizi ndio unawafanya kuwa na jeuri ya kuona maisha ya binadamu ni kama ya nzi,tena mnasema hadharani kabisa bila hofu!Wazazi wameshindwa malezi ya watoto wao hadi watoto wao ikawa rahisi kudanganywa na akina Mangi Kimambi ambao hawako hapa. Mzazi ukishindwa kumlea mwanao subiri vilio nyumbani kwako. Wewe hushangai watoto wa Lissu, Heche, Mnyika, Lema, Sugu, Mbowe, Mbatia, Mpina, Warioba hakuna hata mmoja aliyeshiriki kwenye vurugu zile. Ni watoto wa wazazi malofa tu.