Sioni ni kwanini askari wasizime vurugu za Oktoba 29, 2025 kwa risasi. Ningewashangaa

Kaka mada yako ni nzuri sana, ila mimi nimekuelezea tu kwa taratibu zao zilivyo sijakueleza kama kuna kitu nasubiri hapana Kaka ila nimekuweka hadharani yaani kama utaratibu ulivyo kama haupo pia watakaa kimya tu muda wote itaisha ila saizi sio wakati sahihi sana kuwazunguzia wao kwa kuwa hawawezi kuingilia ila siku tume zetu zikimaliza bila kwenda kwenye maridhiano na wasipokuja pia tujue kweli hawakuwa na sababu ya kuja, yaani msingi wa kuwapotezea kabisa tukiridhiana basi.

The ICC follows the principle of “complementarity.” Under Article 17 of the Rome Statute.
 
Wazazi tuambiane ukweli: Kama wewe mzazi hujui kama mwanao amealikwa kwenye vurugu za kuichoma TRA na mwendokasi unaopanda kwenda feri kuchukua samaki wa kuuza mtaani kwako utakuwa hufanyi kazi yako sawasawa. TRA, vituo vya polisi na bank ni maeneo ambayo yanalindwa na askari wenye bunduki, kama mwanao alikubali kwenda kuchoma moto vituo hivyo unamlaumu nani akirudi hana jicho?

Silaha na sare za jeshi vikiibiwa lazima zipatikane hata ikibidi kwa kuuchoma mtaa mzima unaohisiwa kumficha mwizi wa silaha na sare hizo.

Kwanini hushangai watoto wa viongozi wa chadema wote hakuna aliyeuawa kwenye vurugu?
uwezo wako wakufikiri unaonekana mdogo unalinganishaje uhai wa mtu na nguo ambazo zinaweza kushonwa
 
Stupidity is repeating doing the same thing the same way while approved total failure.....
Tz is not a failure, we are the Geneva of Africa, a number of countries visit us to learn our ways of doing. Equatably distribution of social services accross the country.

Mapungufu is everywhere na yako kwenye regional clusters. Matatizo ya Afrika ya weusi yanafanana A-Z, matatizo ya Afrika ya waarabu yanafanana A-Z, ya mashaki ya kati yanafanana, ya mashariki ya kati yanafanana, ya Amerika kusini yanafanana, ya ulaya mashariki yanafanana, ya America Kaskazini yanafanana na ya ulaya Magharibi yanafanana.

CHADEMA ije na sera tangible ambazo ni specific, measurable, Attainable, realistic and Time bound badala ya ulaghai na ukuwadi
 
Sasa Kama ni ivo na iko sawa mbona tena mnataka maridhiano?
Tofauti ya CCM na chadema iko hapo.

CCM inawaona watu wote hata wafuasi wa chadema kama raia wa Tanzania wanaostahili kutendewa sawa na raia wengine tu, ndio maana CCM inaonekana kutaka maridhiano na raia wake wote hata kama wako chadema au chama kingine. Lakini chadema inawaona watu wote ambao hawako chadema ni adui, wasiokuwa na akili, wasiojua kitu, wasiostahili kuishi na kustahili matusi na kukatwa vichwa.

CCM kwa nguvu walizonazo na uzoefu walionao wanaweza kuendesha nchk hii kwa miaka 200 bila kujali chadema wana raha au hawana. Iko hivyo China, Urusi, Cuba, North Korea, Uganda, Rwanda na kwingineko. Miundombinu ya kuongoza nchi kama China, Urusi, Uganda, Zimbabwe, Rwanda, South Afrika CCM wanayo pia.
 
Mleta mada jaribu kupunguza kejeli na dharau, hii ni kama unasifia yale mauaji, kumbuka taifa bado halijapona.

Viongozi wakuu nyuma ya pazia bado wanalipambania hili tukio lisitokee tena.Au wewe kwa akili yako ndogo ya kuvukia barabara unahisi ni tukio dogo??

Hapa umejificha, kaongee habari hizi live kwa ndugu na jamaa waliopoteza wapendwa wao kwenye zile vurugu.Wewe huoni reaction ya majibu kwamba umepuyanga??

Kwa kifupi huna:

busara

akili au werevu wa kuweza kufikiria na kuamua kutenda jambo linalofaa

Nimekuelewa sana, na najua unachokisema hapa. Lakini sisi watanzania lazima tujifunze kuvumiliana na kuambiana ukweli. Hili tukio ni kweli sio dogo, lakini nikwambie pamoja na ukubwa na ubaya tuliouona lakini, kama wafanya vurugu watafanya tena kama vile watakufa tena zaidi kuliko vile kwakuwa tayari tushajua nani anapanga na nani mnufaika.
uwezo wako wakufikiri unaonekana mdogo unalinganishaje uhai wa mtu na nguo ambazo zinaweza kushonwa
Ni kweli thamani ya uhai ni kubwa sana kuliko nguo au kitu kingine, sema tu kwa mujibu wa Katiba yetu thamani ya uhai wa mtu mmoja au kikundi ni ndogo kuliko mali ya umma hata iwe ndogo kiasi gani. Yaani uhai wako unaweza kuwa hauna thamani kama ukikutwa unaua tembo katikati ya hifadhi. Uhai wako unaweza kuondolewa na Simba na hakuna fidia kama uliwafuata simba hao kwenye hifadhi yao. Kwa ujumla usicheze na mali ya umma hata kama ni nguo au mkanda wa suruliali tu.
 
Kama wale waliokuwa kibanda umiza wanaangalia movie,wakashindiliwa wote risasi humo humo!
Huyo mtu ananufaika na Nini hasa mpaka umwagaji damu holela wa wa Tanzania wenzake aone ni jambo la haki na walistahili?
Huenda ni mzanzibar ndio maana anaona safi tu!
Hapa unapuyanga kwa story za kuambiwa mkuu.

Uchaguzi ulienda fresh kata ya Kitangiri ambako ni kata ya jirani na hapo kwenye hilo Banda, ila jioni kukawa na ucheleweshaji wa matokeo na wananchi walikuwa wanamtaka diwani wao aliyehama kutoka ccm kwenda act, vurugu zikaanzia hapo na risasi zikaanza kurushwa.

Hapo tu watu walianza kufunga maduka na biashara zao hata wale walokuwa mbali, fujo zikasogea hadi Kona ya bwiru ambako ni karibu sana na hapo kwenye Banda la video. Watu walifunga biashara zao wakaondoka haraka.

Kwamba Tz hii mtu unaweza kusikia risasi zinarindima karibu hapo na ukaendelea kuangalia movie? Ukaendelea kuangalia mpira? Hilo eneo lina biashara nyingine mbona zilikuwa zimefungwa wakabaki wao? Walikuwa wamebaki kwasababu zipi?

Hapa ndipo panashangaza zaidi.
Kuna mama namfahamu kwake ni jirani na mitaa ya hilo banda alisema mambo mawili baada ya kumuuliza maswali kadhaa.

1. Alikutana na waandamanaji mtaani kwake Ile siku ya 2 akitoka soko la milongo kufanya maemezi ( soko liko mjini halikufungwa) kwasababu yeye amekaa hapo mtaani miaka zaidi ya 30 anasema hakumuona kijana hata mmoja wa pale mtaani, zilikuwa ni sura ngeni kabisa.

2. Watu kwenye banda wamepigwa risasi, alitegemea hapo mtaani kuwa na misiba mingi au taarifa za vijana kupotea, ila hakukuwa na misiba mingi na taarifa za vijana wengi kupotea. So it means sehemu kubwa ya lile kundi hawakuwa wakazi wa yale maeneo. Walitoka wapi? Walikuja kufanya nini? Kwamba Tz hii unaweza kutoka kata moja kwenda kata nyingine kuangalia movie alafu hilo kundi lililotoka sehemu nyingine kuja kuangalia movies/ mpira liwe kubwa kuliko wenyeji wa mtaa husika?

Hapa kulikuwa na kamchezo polisi walikashtukia ndomana waliwafata huko kwenye Banda walikojificha.

Mimi nilikuwa Kirumba karibu na Kituo Cha polisi, walikuja madogo kadhaa wakawasha matairi ya pikipiki barabarani, Kila mmoja aliyekuwa pale anasema wale madogo hawajui. Tulichofanya sisi tukaamua kuwatimua wale madogo kwasababu ingesemekana nisisi wakazi wa yale maeneo tumewasha moto.

Kuna matukio kama ulibahatika kuyaona, unaweza kuwa na hisia kuna makundi yaliandaliwa kuattack maeneo fulani.
 
Wewe pia hapa umeleta hisia,watu walikuwa excuted point blank!Video zipo,picha zipo!Kaangalie hata ile documentary iliyokusanya matukio ya mauaji!
Hakuna excuse yeyote kwa kile kilichotokea!
 
Mimi niliekuwepo karibu na eneo la tukio unadhani unaweza kunihadaa na documentary iliyoandaliwa na mtu amekaa Nairobi ofisini?

Risasi zinaanza kurindima mida ya sa1 jioni mimi nilikimbia Villa karibu na Rock city mall kutafuta chipsi baada ya kukagua maeneo ya kirumba polisi hadi mwaloni maduka na migahwa ilikuwa inafungwa kwa speed ya ajabu.

Huko villa pia ilikuwa ni purukushani watu wanafunga biashara, wao huo ujasiri wa kubaki na kuendelea kuangalia movie/ mpira waliutoa wapi? Mbona biashara za maeneo hayo lilipobanda zilifungwa, wao walibaki kufanya nini?

Achana na documentary, Mwanza sio mbali, funga safari sikumoja pita mtaani pale piga story na bodaboda wa mitaa hiyo ya mji mwema utapata picha nyingine ya hilo tukio
 
Hiyo ni story pia kama ambavyo mtu anaweza kuja na story yake!Kama wewe ulikimbia,unajuaje yaliyotokea nyuma ya pazia?Na unatoa story kama wengine,kikubwa watu waliuwawa!Na ilikuwa shoot to kill maana,hawakuhitaji kukamata watu!Kazi ilikuwa Moja,kuua tu!
Tumeona pia ushuhuda wa waliofika kwenye tume,wakaeleza waliyoeleza wakiwa live!Baada ya kuona mambo hayavumiliki,wakaamua kuweka gizani!
Au tukusikilize wewe,tuwapuuze wahanga waliopata ulemavu wa kudumu na waliofiwa na ndugu!
Au hukufuatilia waliokuwa wanatoa shuhuda mbele tume Kabla ya kuzimwa vyombo vya habari?
 
Hapa unapuyanga kwa story za kuambiwa mkuu.

Uchaguzi ulienda fresh kata ya Kitangiri ambako ni kata ya jirani na hapo kwenye hilo Banda, ila jioni kukawa na ucheleweshaji wa matokeo na wananchi walikuwa wanamtaka diwani wao aliyehama kutoka ccm kwenda act, vurugu zikaanzia hapo na risasi zikaanza kurushwa.

Hapo tu watu walianza kufunga maduka na biashara zao hata wale walokuwa mbali, fujo zikasogea hadi Kona ya bwiru ambako ni karibu sana na hapo kwenye Banda la video. Watu walifunga biashara zao wakaondoka haraka.

Kwamba Tz hii mtu unaweza kusikia risasi zinarindima karibu hapo na ukaendelea kuangalia movie? Ukaendelea kuangalia mpira? Hilo eneo lina biashara nyingine mbona zilikuwa zimefungwa wakabaki wao? Walikuwa wamebaki kwasababu zipi?

Hapa ndipo panashangaza zaidi.
Kuna mama namfahamu kwake ni jirani na mitaa ya hilo banda alisema mambo mawili baada ya kumuuliza maswali kadhaa.

1. Alikutana na waandamanaji mtaani kwake Ile siku ya 2 akitoka soko la milongo kufanya maemezi ( soko liko mjini halikufungwa) kwasababu yeye amekaa hapo mtaani miaka zaidi ya 30 anasema hakumuona kijana hata mmoja wa pale mtaani, zilikuwa ni sura ngeni kabisa.

2. Watu kwenye banda wamepigwa risasi, alitegemea hapo mtaani kuwa na misiba mingi au taarifa za vijana kupotea, ila hakukuwa na misiba mingi na taarifa za vijana wengi kupotea. So it means sehemu kubwa ya lile kundi hawakuwa wakazi wa yale maeneo. Walitoka wapi? Walikuja kufanya nini? Kwamba Tz hii unaweza kutoka kata moja kwenda kata nyingine kuangalia movie alafu hilo kundi lililotoka sehemu nyingine kuja kuangalia movies/ mpira liwe kubwa kuliko wenyeji wa mtaa husika?

Hapa kulikuwa na kamchezo polisi walikashtukia ndomana waliwafata huko kwenye Banda walikojificha.

Mimi nilikuwa Kirumba karibu na Kituo Cha polisi, walikuja madogo kadhaa wakawasha matairi ya pikipiki barabarani, Kila mmoja aliyekuwa pale anasema wale madogo hawajui. Tulichofanya sisi tukaamua kuwatimua wale madogo kwasababu ingesemekana nisisi wakazi wa yale maeneo tumewasha moto.

Kuna matukio kama ulibahatika kuyaona, unaweza kuwa na hisia kuna makundi yaliandaliwa kuattack maeneo fulani.
Uko sahihi, kama waliokufa wangekuwa vijana wa maeneo yetu tungeona maturubai ya misiba kila kona za mitaa na majiji. Niko dar lakini hakuna hata jirani wala ndugu wala rafiki yangu ameniambia nina msiba wa oct29 ili angalau nimwambie pole na kumpa rambirambi.

Jamaa walileta mungiki. Mtanzania wa kawaida hawezi kuchoma mwendokasi kasi wake anaosafiria.
 
Askari wanapopewa ripoti ya uhakika kuwa wafanyavurugu wamevamia vituo vya polisi kuua polisi na kupora silaha na sare za jeshi la polisi unadhani anaepewa ripoti hiyo atatuma askari kwenye tukio la kuzima vurugu waliobeba virungu, filimbi na pingu tu? Hapohapo kumbuka askari wengi walikuwa wamesambazwa kwenye zoezi la kupiga kura. Hivyo unatuma askari wachache kwenda kuzuia vurugu za watu wengi sana waliotawanyika sehemu kubwa ya miji na mikoa.

Ratio ya polisi kwa wafanya vurugu ilikuwa ndogo sana (askari: wafanya vurugu), inaweza kuwa 1:100,000. yaani polisi mmoja kwa wafanya vurugu 100,000. uwiano kama huu bila kutumia risasi za moto ungeweza kusababisha askari wengi kuuliwa na wafanyavurugu na mali nyingi sana za umma na watu binafsi zingeharibiwa nyingi sana.

Kila mtu angemshangaa aliyepeleka askari wachache kinyonge vitani.
maandamano yajayo wakati wa afcon sio mama yenu tu aliyelaaniwa tutawamaliza watu kama wewe ili kusafisha nchi.
 
Aga na kunyonya kabisa kwa mama yako kabla hujatoka siku hiyo kufanya vurugu.
 
Dunia inapenda football, mtafanya kosa la kiwango cha dunia kama mkifanya vurugu wakati wa afcon. Mtakosa wa kuwatetea dunia nzima na mtaonekana wehu na kila mtu mnaostahili kuminywa.

Naomba mungu mfanye varangati wakati wa afcon tubwede.
 
Hiyo ni story pia kama ambavyo mtu anaweza kuja na story yake!Kama wewe ulikimbia,unajuaje yaliyotokea nyuma ya pazia?Na unatoa story kama wengine,kikubwa watu waliuwawa!Na ilikuwa shoot to kill maana,hawakuhitaji kukamata watu!Kazi ilikuwa Moja,kuua tu!
Tumeona pia ushuhuda wa waliofika kwenye tume,wakaeleza waliyoeleza wakiwa live!Baada ya kuona mambo hayavumiliki,wakaamua kuweka gizani!
Au tukusikilize wewe,tuwapuuze wahanga waliopata ulemavu wa kudumu na waliofiwa na ndugu!
Au hukufuatilia waliokuwa wanatoa shuhuda mbele tume Kabla ya kuzimwa vyombo vya habari?
Kuifanya hadithi nzima iwe fupi ni kwamba mauaji makubwa yalitokea kwasababu kulikuwa na wafanya vurugu kubwa na nyingi wengi. Hivyo ile kanuni ya tatu ya nguvu ya Isac Newton inayosema "Action and Reaction are equal and opposite" ikatokea pale. Yaani nguvu iliyotumika kuharibu mali ilikuwa sawa na nguvu iliyotumika kuzuia uharibifu wa mali. Ngoma droo, Bilabila.

Na sio siku ile tu, bali hata ikitokea yena leo, kesho au siku nyingine kanuni ya tatu ya force ya Isac Newton itatokea tena. Nguvu mtakayowekeza kuharibu itakuwa sawasawa na nguvu itakayowekezwa kuwazuia msiharibu. Maana for every action there is an equal and opposite reaction.

Mwisho kabisa ni "survival of the fittest" who will be fit for the game. Makomandoo na snipers upande huu na wafanya vurugu upande ule kisha tunasubiri milio.
 
Maridhiano ya Nini kama kilichofanyoka ilikuwa halali!Haya unayatamka hapa,huwezi kuyatamka sehemu yoyote hadharani!
Hamuwasaidii mnaohisi mnawatetea bali mnazidi kupandikiza chuki na mgawanyo kwenye taifa!Hamjui nguvu ya mitandao!Kuna wahanga humu ambao wamepotelewa na ndugu zao au waliopata ulemavu wa kudumu!Kuna ndugu,jamaa na marafiki humu wa hao wahanga!
Imagine wanasoma hizi dhihaka mnazowafanyia!
Chuki mnayoipandikiza kwao,kuna siku watapata sehemu ya kuitolea!Bado kilichotokea oct 29 hakijawa funzo!
Tuangalie tusijejifunza kwa namna ngumu zaidi!
Kama ni wa kuelewa utaelewa,ila kama ndio wale wa miwani ya mbao basi,Sina Cha kuongeza!
Jumapili njema!
 
Usichanganye habari. Mimi ni raia tu wa kawaida sina kazi hata ya kwenye utumishi wa umma na wala mm sio kiongozi wa chama wala serikali. Mawazo yangu mimi humu hayakiwakilishi chama chochote wala serikali.

Mimi ni mtu tu mwenye exposure na general knowledge ya kawaida ya mambo ndani na nje ya nchi ambayo naitumia kuiombea nchi yangu amani na utulivu.

Mimi nina uhakika wa 97% kuwa vijana wengi walioshiriki kwenye vurugu zile hawakufanya vile kwa utashi wao. Kuna nguvu ya ushawishi ilitumika kuwafanya vijana wale washiriki vurugu zile. Miongoni mwa nguvu hizo zinaweza kuwa hizi:

1. Heshima Lissu kwa vijana.
2. Heshima ya wanachema kwa chadema
3. Heshima ya waumini kwa viongozi wao wa kiroho
4. Walipewa fedha tasilimu
5. Walipewa ahadi zinazowapendeza
6. Ulaghai: Waliambiwa hata wanajeshi watashiriki wako upande wao
7. Waliaminishwa kuwa mageuzi lazima yatafanikiwa tu.
8. Waliambiwa hata viongozi wao wakuu watakuwa nao bega kwa bega.
9. Peer pressure (mkumbo)

Tuwaambie vijana kuwa kuivimbia serikali ni hatari kubwa sana kuliko kumchezea simba na nyoka. Hata Yesu na mitume ya Mungu walipata tabu nyingi kwa kupinga dola, sembuse wewe Masumbuko.

Mazunguzo pekee (dialogue) ndiyo njia salama unapotaka kushindana na dola. Njia nyingine zote ni za kubahatisha tu na hatari.
 
Aga na kunyonya kabisa kwa mama yako kabla hujatoka siku hiyo kufanya vurugu.
na nyie jiandaeni kabisa kwa sababu viongozi Wauaji na machawa wake wanaishia kunyongwa kama wengine kina sadam,gadafi na wengine.
 
Usichanganye habari. Mimi ni raia tu wa kawaida sina kazi hata ya kwenye utumishi wa umma na wala mm sio kiongozi wa chama wala serikali. Mawazo yangu mimi humu hayakiwakilishi chama chochote wala serikali.

Mimi ni mtu tu mwenye exposure na general knowledge ya kawaida ya mambo ndani na nje ya nchi ambayo naitumia kuiombea nchi yangu amani na utulivu.

Mimi nina uhakika wa 97% kuwa vijana wengi walioshiriki kwenye vurugu zile hawakufanya vile kwa utashi wao. Kuna nguvu ya ushawishi ilitumika kuwafanya vijana wale washiriki vurugu zile. Miongoni mwa nguvu hizo zinaweza kuwa hizi:

1. Heshima Lissu kwa vijana.
2. Heshima ya wanachema kwa chadema
3. Heshima ya waumini kwa viongozi wao wa kiroho
4. Walipewa fedha tasilimu
5. Walipewa ahadi zinazowapendeza
6. Ulaghai: Waliambiwa hata wanajeshi watashiriki wako upande wao
7. Waliaminishwa kuwa mageuzi lazima yatafanikiwa tu.
8. Waliambiwa hata viongozi wao wakuu watakuwa nao bega kwa bega.
9. Peer pressure (mkumbo)

Tuwaambie vijana kuwa kuivimbia serikali ni hatari kubwa sana kuliko kumchezea simba na nyoka. Hata Yesu na mitume ya Mungu walipata tabu nyingi kwa kupinga dola, sembuse wewe Masumbuko.

Mazunguzo pekee (dialogue) ndiyo njia salama unapotaka kushindana na dola. Njia nyingine zote ni za kubahatisha tu na hatari.
watu walishiriki kwa utashi wao na sasa hivi kama mambo hayajarekebishwa watashiriki mara2 yake kwa sababu ya motivation ya kurevange ndugu zao na sasa hivi viongozi wauaji na madikteta wataishia vibaya kwa sababu huwa mwisho wao wengi ni kunyongwa au kukimbia nchi.alafu baada ya hapo tutadeal na vibaraka hamuwezi kuharibu nchi mkaachwa.
 
Ndoto ya Alinacha!! Yaani nchi inaharibika kama ukisambaza umeme, shule, hospitali, maji, barabara na pembejeo nchi nzima bila kujali chama wala kabila? Au hujui namna nchi inavyoweza kuhariwa nikujulishe?

Kuipiga CCM lazima ujiandae pia kuvipiga vyama tawala vya EAC na SADC, hawa ni kulwa na doto, na kulwa wao ni CCM. Kazi mnayo.
 
Back
Top Bottom