Sioni ni kwanini askari wasizime vurugu za Oktoba 29, 2025 kwa risasi. Ningewashangaa

Sioni ni kwanini askari wasizime vurugu za Oktoba 29, 2025 kwa risasi. Ningewashangaa

kwenda kuzuia vurugu za watu wengi sana
Mleta mada jaribu kupunguza kejeli na dharau, hii ni kama unasifia yale mauaji, kumbuka taifa bado halijapona.

Viongozi wakuu nyuma ya pazia bado wanalipambania hili tukio lisitokee tena.Au wewe kwa akili yako ndogo ya kuvukia barabara unahisi ni tukio dogo??

Hapa umejificha, kaongee habari hizi live kwa ndugu na jamaa waliopoteza wapendwa wao kwenye zile vurugu.Wewe huoni reaction ya majibu kwamba umepuyanga??

Kwa kifupi huna:

busara

akili au werevu wa kuweza kufikiria na kuamua kutenda jambo linalofaa

Askari wanapopewa ripoti ya uhakika kuwa wafanyavurugu wamevamia vituo vya polisi kuua polisi na kupora silaha na sare za jeshi la polisi unadhani anaepewa ripoti hiyo atatuma kwenye tukio la kuzima vurugu askari waliobeba virungu tu? Hapohapo kumbuka askari wengi walikuwa wamesambazwa kwenye zoezi la kupiga kura. Hivyo unatuma askari wachache kwenda kuzuia vurugu za watu wengi sana waliotawanyika pia sehemu kubwa.

Ratio ya polisi kwa wafanya vurugu ilikuwa ndogo sana (askari: wafanya vurugu), inaweza kuwa 1:100,000. yaani polisi mmoja kwa wafanya vurugu 100,000. uwiano kama huu bila kutumia risasi askari wengi wangeuliwa na mali nyingi sana za umma na watu binafsi zingeharibiwa nyingi sana.
Baba yako bora angepiga nyeto
 
Huyu atakuwa mmoja ya kuruta waliomaliza juzi kwa mujibu wa sheria
Wewe huna general knowledge, unasubiri akina Mange Kimambi wakwambie nini cha kufanya. Eti anakuaminisha kuwa yeye akiwa Ikulu shida zako zote zitaisha kama ukurutu unavyoisha ukipaka BBE. Hutaki kujua atatumia nn kuzimaliza hizo shida zako. Anakwambia tumtoe samia kwanza kwa kichoma Reli yenu ya umeme na mwendokasi ili mm niende Ikulu. Mazuzu bila kuhoji yanabeba viberiti na kwenda kuchoma. Yakaminywa wakati wanufaika wanadunda mitaani na watoto wao wanakula tonetone.
 
Hujasikiwa wakina waliopelekwa magerezani halafu wakaachiwa baada ya kutoa ushirikiano?

Walikamatwa baadaye na siyo siku ya tukio.

Ndiyo sababu nauliza siku ya tukio police walizidiwa nguvu mpaka wakaamua kutumia silaha za moto kuua tu?
 
Stupidity is repeating doing the same thing the same way while approved total failure.....
 
Wewe hujui chochote...
Ndio maana unashadadia vifo vya watu majumbani mwao
Kenya wana Katiba mpya, hakuna shida huko? Sasa wanegundua kumbe shida ni wahamiaji kutoka Burundi sio Katiba.
 
Umeuliza swali la kipuuzi
Mjibu kwa faida ya wasomaji wako. Tupeane mbinu za namna sisi tulivyoepuka kufa kama wale kama kweli wauaji walikuwa wanaingia kila nyumba kuua watu.
 
Ndio maana mlionywa msifanye vurugu maana madhara yake huwa makubwa na huweza kuwapata watu ambao Wala hawahusiki na hizo vurugu

Na kama serikali isingezuia madhara yangekuwa makubwa zaidi maana inawezekana Hadi hi Leo vurugu bado zingekuwa zinaendelea

Haya niambie kama vurugu zisingezimwa kuanzia Oct 29 Hadi Leo zingekuwa zimeshaathili watu wangapi?
Athari kubwa ingewakuta nyinyi majizi na mafisadi. Mngekimbia nchi na kwenda kujificha kwa wajomba zenu wa Oman.
 
Huyu atakuwa mmoja ya kuruta waliomaliza juzi kwa mujibu wa sheria
Wajinga ndio waliwao. Wewe siuliambiwa Kapteni Tesha atakuwa bega kwa bega na wewe nenda tu kachome vituo vya polisi ikaishia wapi? Changanya na zake bro!!. Hii serikali ina askari wanaopasua matofali 10 vifuani mwao kwa wakati mmoja walioapa kuilinda Katiba na jamhuri. Kumbushaneni hilo.
 
Athari kubwa ingewakuta nyinyi majizi na mafisadi. Mngekimbia nchi na kwenda kujificha kwa wajomba zenu wa Oman.
Hivi wewe unajua katika kipindi kile Cha miaka 10 CHADEMA walikusanya bilioni ngapi za ruzuku?
Au unadhani Mbowe na Lisu walikuwa wanaishi Marekani Kwa pesa zipo?
Kama haujui majizi yapo CHADEMA
Mbowe, Lisu, Lema , Heche hayo yote ni majizi

Hadi nafasi ya kiti Cha uraisi walimuuzia Lowasa kiufisadi

Nyinyi wajinga wajinga mtakufa sana Kwa ujinga wenu
 
Wajinga ndio waliwao. Wewe siuliambiwa Kapteni Tesha atakuwa bega kwa bega na wewe nenda tu kachome vituo vya polisi ikaishia wapi? Changanya na zake bro!!. Hii serikali ina askari wanaopasua matofali 10 vifuani mwao kwa wakati mmoja walioapa kuilinda Katiba na jamhuri. Kumbushaneni hilo.
Kwani waliwapasua watu kwa mikono yao au walitumia bunduki?

Akili kumkichwa halafu akili zenyewe huna 😀😀😀😀😀.

It was unnecessary excessive unresponsible killing.
 
Askari wanapopewa ripoti ya uhakika kuwa wafanyavurugu wamevamia vituo vya polisi kuua polisi na kupora silaha na sare za jeshi la polisi unadhani anaepewa ripoti hiyo atatuma kwenye tukio la kuzima vurugu askari waliobeba virungu tu? Hapohapo kumbuka askari wengi walikuwa wamesambazwa kwenye zoezi la kupiga kura. Hivyo unatuma askari wachache kwenda kuzuia vurugu za watu wengi sana waliotawanyika pia sehemu kubwa.

Ratio ya polisi kwa wafanya vurugu ilikuwa ndogo sana (askari: wafanya vurugu), inaweza kuwa 1:100,000. yaani polisi mmoja kwa wafanya vurugu 100,000. uwiano kama huu bila kutumia risasi askari wengi wangeuliwa na mali nyingi sana za umma na watu binafsi zingeharibiwa nyingi sana.
b239524e-c83d-4de4-8cfd-5720c7bede9a.jpeg
 
Hivi wewe unajua katika kipindi kile Cha miaka 10 CHADEMA walikusanya bilioni ngapi za ruzuku?
Au unadhani Mbowe na Lisu walikuwa wanaishi Marekani Kwa pesa zipo?
Kama haujui majizi yapo CHADEMA
Mbowe, Lisu, Lema , Heche hayo yote ni majizi

Hadi nafasi ya kiti Cha uraisi walimuuzia Lowasa kiufisadi

Nyinyi wajinga wajinga mtakufa sana Kwa ujinga wenu
Ni mazuzu na wala hayashituki. Yalianzia kulee kwa Mrema yakamwagwa kule NCCR, Marando na Mrema yakagombana mazuzu yakahama na Mrema kwenda TLP. Kule TLP Mrema akayamwaga akawa nusu CCM. Mazuzu yakahamia chadema baada ya kumwagwa na Mrema. Kule chadema yanahangaishwa mara Slaa, mara Lowassa mara Lissu wajanja akina Mkumbo, Zitto, Mdee, Bulaya, Sugu, Msigwa, Nasari, Lema wanapiga yenyewe yanaimbishwa piiiiiipoooozi huku yanapiga miao wajanja akina Heche wananunua ndinga mpya wao wanaoshia kufa

Heche ananunua magari na mali nyingine kama njia ya kutakatisha fedha anazovomoa kutoka vyanzo vya nje na ndani ya nchi asikutwe nazo kwenye accounts zake
 
Wanalalamikia walikoangukia badala ya walikojikwaa. Kaka ndio maana hata ICC hawaji kwa tukio hili la kipuuzi. Pesa za kugharamia mpango huu nyingine zilitoka kwa mwanachama wa EU mmojawapo. Na huyo ndiye anaefanya lobbing EU kuhusu Tz ikose hiki na kile kutoka EU.
Mkuu nafuatilia mada yako kwa umakini sana ni mada ngumu ila suala la ICC utaratibu wao hauwaruhusu kufuatilia suala ambalo linafuatiliwa na tume za ndani. Kwahiyo hao huwa na utaratibu wa kusubiri kwanza maamuzi yote ya ndani mpaka yafike mwisho ndo wachambue kama kuna umuhimu wa kufuatilia au lah! , Tuendelee na mada moto suala la ICC naomba nikurekebishe hivyo.
 
Aaa kaka hizo ni porojo kama zile nyingine tu, mbona EU na wengine ni hapohapo tu, mbona kule Gaza na Ukraine kwa Putin na Netanyahu ilikuwa fastafasta. Yaani ICC watakuwa wapuuzi kama watamuacha Putin, Netanyahu, kule Sudan na DRC waje Tz, kwa lipi kubwa mno!!. Hili mtasubiri hadi mpate kutu, hawaji bhana hamna kutishiana kama watoto.
 
Back
Top Bottom