Sioni ni kwanini askari wasizime vurugu za Oktoba 29, 2025 kwa risasi. Ningewashangaa

Kuna mtoto yeyote wa Kiongozi wa CHADEMA aliuawa?
Sana watoto wao walikuwa nje ya nchi
 
Sema Uzuri na wewe utakufa Mungu ndo alipanga wafe ivyo Kifo chako kinaweza kua kibaya sana kuzidi hao wa October 29 maisha usidharau watu
Wote tutakufa, lakini tufe bila kuchoma miundombinu ya watoto na wajukuu wetu tutakaowaacha hai. Nyerere, Mkapa, Mwinyi na Magufuli hawakufa pamoja na barabara, viwanja vya mpira na madaraja waliyoyajenga. Sasa wanaojiita wakombozi wanachoma kila kitu eti hayo ndiyo mabadiliko.
 
Mama au baba yako angepigwa risasi usingeandika huu ujinga wako. Kwa sababu kuna ushahidi uliotolewa wa kuonesha wazi siyo watu wote walio uwawa walikuwa ni waandamanaji.
Ndio maana mlionywa msifanye vurugu maana madhara yake huwa makubwa na huweza kuwapata watu ambao Wala hawahusiki na hizo vurugu

Na kama serikali isingezuia madhara yangekuwa makubwa zaidi maana inawezekana Hadi hi Leo vurugu bado zingekuwa zinaendelea

Haya niambie kama vurugu zisingezimwa kuanzia Oct 29 Hadi Leo zingekuwa zimeshaathili watu wangapi?
 
Lawama zao wazipeleke kwa Lissu na chadema walioandaa vurugu zile. Kwenye utetezi wake amesema sio yeye tu bali ni msimamo wa chadema yote. Nchi lazima ilindwe kwa gharama yoyote ile. Nchi ina makomandoo wengi sana kwaajili hiyo tu baasi na wote hao wameapa kuilinda Katiba hiihii hiihii hiihii ya 1977. Wewe huogopi kwenda kuvamia kituo cha polisi? Hata kichaa anaokota mikate jalalani lakini haendi kuchoma kituo cha polisi.
 
Nchi ina wapumbavu wengi sana akiwemo mtoa mada
Mpumbavu ni wewe ambae hukushiriki kwenye vurugu zile ukaacha watoto wa malofa tu wauliwe. Wajanja wote waliuliwa siku ile kwa kuchoma moto mali za umma na watu binafsi. Wewe mpumbavu unaguruma humuhumu jf tu.
 
I insist, a single condom would have prevented us from this idiot.
Hukwenda kushiriki vurugu zile, Hata wale walioshiriki kwenye vurugu wanakuona wewe mwoga na mpumbavu, heri mama yako siku angemeza vidonge vya majira mimba ya mtu muoga kama wewe isingetungwa. kama ungeshiriki sasa hivi na wewe ingekuwa talari!!! coward!!!
 
Yaani kazi yao ilikuwa ni kuua tu siku hiyo. Mbona hawakukamata mtuhumiwa hata mmoja?
Hujasikiwa wakina waliopelekwa magerezani halafu wakaachiwa baada ya kutoa ushirikiano?
 
Mpumbavu ni wewe ambae hukushiriki kwenye vurugu zile ukaacha watoto wa malofa tu wauliwe. Wajanja wote waliuliwa siku ile kwa kuchoma moto mali za umma na watu binafsi. Wewe mpumbavu unaguruma humuhumu jf tu.
Wazazi wako wamepata hasara sana kukusomesha na mwisho wa siku umeishia kuwa chawa, kuna watu hata hawakuandamana, na walikula shaba endelea kubwabwaja Chawa mkubwa wewe
 
Some opinions really do come from a place of privilege or ignorance.

🚮
Kama angekuwa ungefanya nini pale ambapo askari wako wengi (almost wote) wako deployed kwenye uchaguzi wa nchi nzima, halafu unasikia nchi nzima kila mtaa wa kila mkoa unawaka moto na kuna vituo vya polisi vimeporwa silaha na sare. Kwanza lazima unachanganyikiwa, pili utatafuta efficiency ya hao askari wachache uliokuwa nao kila wilaya waweze kukabiliana na kundi kubwa lililotawanyika lililoasi. Bila shaka haoaskari wachache utataka wajilinde ili wasiuliwe na wakatihuohuo wazime uasi. Mimi kama mimi ningechukua wale askari mahili kwenye mapigano na kuwapa silaha bora za kisasa na motisha ya kutosha ili pamoja na uchache wao wafanye kazi ya kuzima uasi kwa muda mfupi possible.
 
Hivi yule mtoto was miaka 3 alieuawa mbagala nae aliandamana?
Mtoa mada jiangalie!
 
Wazazi wako wamepata hasara sana kukusomesha na mwisho wa siku umeishia kuwa chawa, kuna watu hata hawakuandamana, na walikula shaba endelea kubwabwaja Chawa mkubwa wewe
Hiyo ni percentage ndogo sana ya 0.00025% ya waliokufa kwenye vurugu. Hiyo kitakwimu inaitwa negligible. Na hao wakifahamika ni rahisi pia hata kuwalipa fidia bila shuruti. Majority >99.95111% walikuwa watoto wa malofa waliohadaiwa na wahuni ambao hawakushiriki kwenye uwanja wa vita na watoto wao. Hivi tunavyosema wao wako hai salama pamoja na familia zao.
 
Hujui mbinu za kivita kaa kimya. Mbinu ndogo sana ya kukabiliana na adui ni kumfanya adui yako aogope aingiwe na hofu akimbie au ajisalimishe: Mbinu hizo ni pamoja na
1. Kutoa elimu/onyo juu ya ubaya wa jambo mnalotaka kufanya
2. Kutoa maneno ya kutisha: Tawanyika la sivyo nitatumia nguvu, nitawaua wote, nitakuchakaza, nk
3. Kupiga risasi juu au kupiga mlango au ukuta wa nyumba yako ili mtawanyike au mbaki ndani kuepuka kuhatarisha maisha yenu.
4. Kutumia mabomu ya moshi na maji yanayowasha mtawanyike
5. Kutumia risasi za mipira kutawanya watu
6. Kumbaka unaempenda ili wengine mkimbie kabisa mahala hapo
7. Kuua hadharani mtu mmoja au watu wachache ili wengine wengi wakimbie/tawanyika na kusalimika.
8. kupigana vita: Hii ni baada ya mbinu zote kushindikana na adui bado anakuja, anakuwinda,
9. Kuvua sare na kukimbia kujisalimisha kama adui ni wengi sana kupitiliza idadi na uwezo wenu askari au kama adui ana ujuzi mkubwa na silaha kubwa kuliko uliyokuwa nayo wewe. Ikifikia hapo maana yake mtalazimika kuita "vitani" aina nyingine ya askari wengi, wenye ujuzi mkubwa, wenye silaha na mbinu bora zaidi kutoka ndani au nje ya eneo (wilaya, mkoa, nchi) kuja kuzima vurugu (uasi).

Ili utumie mbinu ipi kati ya hizi inategemea hali ya askari na hali ya adui.
 
Angepigwa risasi mama yako ungeropoka hivi?.
 
Wazazi wako wamepata hasara sana kukusomesha na mwisho wa siku umeishia kuwa chawa, kuna watu hata hawakuandamana, na walikula shaba endelea kubwabwaja Chawa mkubwa wewe
Uko kwenye kundi la watu waliojivunja kwa kujificha magerezani ili siku ya tukio wapate sababu ya kutokuwepo mstari wa mbele na waje waseme hatukushiriki tulikuwa ndani kama uasi ukifeli.
 
Angepigwa risasi mama yako ungeropoka hivi?.
angepigwa akiwa nyumbani ingekuwa bahati mbaya tu kama vile gari linavyoweza kuacha njia na kuparamia nyumba yenye watu ndani waliokuwa wanakunywa uji sebuleni kwao. Hapo utasema dereva amewaua watu makusudi? utauaje mtu mwema msiofahamiana?
 
Huyu atakuwa mmoja ya kuruta waliomaliza juzi kwa mujibu wa sheria
 
Inashangaza sana jamaa anapambana kuhalalisha mauaji ya raia wenzake.

Ujinga mbaya sana huu.
 
Aina hii ya uzimaji wa maandamano hufanyika sana, nchi za mashariki

Ilitokea hivi hivi Kazakhstan baada ya vikosi vya CST kupewa amri ya shoot to kill.

Kipindi Cha Mao Tse Tsang ilitokea kule Tianmen square kwa wachina milioni tatu kuuwawa.

Kule Myanmar na kusababisha nchi kuingia kwenye civil war.

Ndio maana Russian delegates walikuja haraka Dar es salaam ili kumaneuver chochote kinacho tokea.

Hivyo si sahihi kutaka kusafisha kilichotokea, ni mshtuko ila ndio uelekeo wetu.

Hii sasa ndio new norms, nani yupo salama
 
Wewe hujui chochote...
Ndio maana unashadadia vifo vya watu majumbani mwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…