Mleta mada jaribu kupunguza kejeli na dharau, hii ni kama unasifia yale mauaji, kumbuka taifa bado halijapona.kwenda kuzuia vurugu za watu wengi sana
Baba yako bora angepiga nyetoAskari wanapopewa ripoti ya uhakika kuwa wafanyavurugu wamevamia vituo vya polisi kuua polisi na kupora silaha na sare za jeshi la polisi unadhani anaepewa ripoti hiyo atatuma kwenye tukio la kuzima vurugu askari waliobeba virungu tu? Hapohapo kumbuka askari wengi walikuwa wamesambazwa kwenye zoezi la kupiga kura. Hivyo unatuma askari wachache kwenda kuzuia vurugu za watu wengi sana waliotawanyika pia sehemu kubwa.
Ratio ya polisi kwa wafanya vurugu ilikuwa ndogo sana (askari: wafanya vurugu), inaweza kuwa 1:100,000. yaani polisi mmoja kwa wafanya vurugu 100,000. uwiano kama huu bila kutumia risasi askari wengi wangeuliwa na mali nyingi sana za umma na watu binafsi zingeharibiwa nyingi sana.
Wewe huna general knowledge, unasubiri akina Mange Kimambi wakwambie nini cha kufanya. Eti anakuaminisha kuwa yeye akiwa Ikulu shida zako zote zitaisha kama ukurutu unavyoisha ukipaka BBE. Hutaki kujua atatumia nn kuzimaliza hizo shida zako. Anakwambia tumtoe samia kwanza kwa kichoma Reli yenu ya umeme na mwendokasi ili mm niende Ikulu. Mazuzu bila kuhoji yanabeba viberiti na kwenda kuchoma. Yakaminywa wakati wanufaika wanadunda mitaani na watoto wao wanakula tonetone.Huyu atakuwa mmoja ya kuruta waliomaliza juzi kwa mujibu wa sheria
Hujasikiwa wakina waliopelekwa magerezani halafu wakaachiwa baada ya kutoa ushirikiano?
Umeuliza swali la kipuuziMbona wewe hawajakuua
Athari kubwa ingewakuta nyinyi majizi na mafisadi. Mngekimbia nchi na kwenda kujificha kwa wajomba zenu wa Oman.Ndio maana mlionywa msifanye vurugu maana madhara yake huwa makubwa na huweza kuwapata watu ambao Wala hawahusiki na hizo vurugu
Na kama serikali isingezuia madhara yangekuwa makubwa zaidi maana inawezekana Hadi hi Leo vurugu bado zingekuwa zinaendelea
Haya niambie kama vurugu zisingezimwa kuanzia Oct 29 Hadi Leo zingekuwa zimeshaathili watu wangapi?
Wajinga ndio waliwao. Wewe siuliambiwa Kapteni Tesha atakuwa bega kwa bega na wewe nenda tu kachome vituo vya polisi ikaishia wapi? Changanya na zake bro!!. Hii serikali ina askari wanaopasua matofali 10 vifuani mwao kwa wakati mmoja walioapa kuilinda Katiba na jamhuri. Kumbushaneni hilo.Huyu atakuwa mmoja ya kuruta waliomaliza juzi kwa mujibu wa sheria
Hivi wewe unajua katika kipindi kile Cha miaka 10 CHADEMA walikusanya bilioni ngapi za ruzuku?Athari kubwa ingewakuta nyinyi majizi na mafisadi. Mngekimbia nchi na kwenda kujificha kwa wajomba zenu wa Oman.
Kwani waliwapasua watu kwa mikono yao au walitumia bunduki?Wajinga ndio waliwao. Wewe siuliambiwa Kapteni Tesha atakuwa bega kwa bega na wewe nenda tu kachome vituo vya polisi ikaishia wapi? Changanya na zake bro!!. Hii serikali ina askari wanaopasua matofali 10 vifuani mwao kwa wakati mmoja walioapa kuilinda Katiba na jamhuri. Kumbushaneni hilo.
Askari wanapopewa ripoti ya uhakika kuwa wafanyavurugu wamevamia vituo vya polisi kuua polisi na kupora silaha na sare za jeshi la polisi unadhani anaepewa ripoti hiyo atatuma kwenye tukio la kuzima vurugu askari waliobeba virungu tu? Hapohapo kumbuka askari wengi walikuwa wamesambazwa kwenye zoezi la kupiga kura. Hivyo unatuma askari wachache kwenda kuzuia vurugu za watu wengi sana waliotawanyika pia sehemu kubwa.
Ratio ya polisi kwa wafanya vurugu ilikuwa ndogo sana (askari: wafanya vurugu), inaweza kuwa 1:100,000. yaani polisi mmoja kwa wafanya vurugu 100,000. uwiano kama huu bila kutumia risasi askari wengi wangeuliwa na mali nyingi sana za umma na watu binafsi zingeharibiwa nyingi sana.
Si polisi walikuwa wanaingia kila nyumba na kuuwa watu, mbona wewe hawajakuua?Umeuliza swali la kipuuzi
Ni mazuzu na wala hayashituki. Yalianzia kulee kwa Mrema yakamwagwa kule NCCR, Marando na Mrema yakagombana mazuzu yakahama na Mrema kwenda TLP. Kule TLP Mrema akayamwaga akawa nusu CCM. Mazuzu yakahamia chadema baada ya kumwagwa na Mrema. Kule chadema yanahangaishwa mara Slaa, mara Lowassa mara Lissu wajanja akina Mkumbo, Zitto, Mdee, Bulaya, Sugu, Msigwa, Nasari, Lema wanapiga yenyewe yanaimbishwa piiiiiipoooozi huku yanapiga miao wajanja akina Heche wananunua ndinga mpya wao wanaoshia kufaHivi wewe unajua katika kipindi kile Cha miaka 10 CHADEMA walikusanya bilioni ngapi za ruzuku?
Au unadhani Mbowe na Lisu walikuwa wanaishi Marekani Kwa pesa zipo?
Kama haujui majizi yapo CHADEMA
Mbowe, Lisu, Lema , Heche hayo yote ni majizi
Hadi nafasi ya kiti Cha uraisi walimuuzia Lowasa kiufisadi
Nyinyi wajinga wajinga mtakufa sana Kwa ujinga wenu
Mkuu nafuatilia mada yako kwa umakini sana ni mada ngumu ila suala la ICC utaratibu wao hauwaruhusu kufuatilia suala ambalo linafuatiliwa na tume za ndani. Kwahiyo hao huwa na utaratibu wa kusubiri kwanza maamuzi yote ya ndani mpaka yafike mwisho ndo wachambue kama kuna umuhimu wa kufuatilia au lah! , Tuendelee na mada moto suala la ICC naomba nikurekebishe hivyo.Wanalalamikia walikoangukia badala ya walikojikwaa. Kaka ndio maana hata ICC hawaji kwa tukio hili la kipuuzi. Pesa za kugharamia mpango huu nyingine zilitoka kwa mwanachama wa EU mmojawapo. Na huyo ndiye anaefanya lobbing EU kuhusu Tz ikose hiki na kile kutoka EU.
Aaa kaka hizo ni porojo kama zile nyingine tu, mbona EU na wengine ni hapohapo tu, mbona kule Gaza na Ukraine kwa Putin na Netanyahu ilikuwa fastafasta. Yaani ICC watakuwa wapuuzi kama watamuacha Putin, Netanyahu, kule Sudan na DRC waje Tz, kwa lipi kubwa mno!!. Hili mtasubiri hadi mpate kutu, hawaji bhana hamna kutishiana kama watoto.Mkuu nafuatilia mada yako kwa umakini sana ni mada ngumu ila suala la ICC utaratibu wao hauwaruhusu kufuatilia suala ambalo linafuatiliwa na tume za ndani. Kwahiyo hao huwa na utaratibu wa kusubiri kwanza maamuzi yote ya ndani mpaka yafike mwisho ndo wachambue kama kuna umuhimu wa kufuatilia au lah! , Tuendelee na mada moto suala la ICC naomba nikurekebishe hivyo.
Wapi nimesema polisi walikuwa wanaingia kila nyumba na kuuwa watu?Si polisi walikuwa wanaingia kila nyumba na kuuwa watu, mbona wewe hawajakuua?