uwezo wako wakufikiri unaonekana mdogo unalinganishaje uhai wa mtu na nguo ambazo zinaweza kushonwaWazazi tuambiane ukweli: Kama wewe mzazi hujui kama mwanao amealikwa kwenye vurugu za kuichoma TRA na mwendokasi unaopanda kwenda feri kuchukua samaki wa kuuza mtaani kwako utakuwa hufanyi kazi yako sawasawa. TRA, vituo vya polisi na bank ni maeneo ambayo yanalindwa na askari wenye bunduki, kama mwanao alikubali kwenda kuchoma moto vituo hivyo unamlaumu nani akirudi hana jicho?
Silaha na sare za jeshi vikiibiwa lazima zipatikane hata ikibidi kwa kuuchoma mtaa mzima unaohisiwa kumficha mwizi wa silaha na sare hizo.
Kwanini hushangai watoto wa viongozi wa chadema wote hakuna aliyeuawa kwenye vurugu?
Tz is not a failure, we are the Geneva of Africa, a number of countries visit us to learn our ways of doing. Equatably distribution of social services accross the country.Stupidity is repeating doing the same thing the same way while approved total failure.....
Tofauti ya CCM na chadema iko hapo.Sasa Kama ni ivo na iko sawa mbona tena mnataka maridhiano?
Nimekuelewa sana, na najua unachokisema hapa. Lakini sisi watanzania lazima tujifunze kuvumiliana na kuambiana ukweli. Hili tukio ni kweli sio dogo, lakini nikwambie pamoja na ukubwa na ubaya tuliouona lakini, kama wafanya vurugu watafanya tena kama vile watakufa tena zaidi kuliko vile kwakuwa tayari tushajua nani anapanga na nani mnufaika.Mleta mada jaribu kupunguza kejeli na dharau, hii ni kama unasifia yale mauaji, kumbuka taifa bado halijapona.
Viongozi wakuu nyuma ya pazia bado wanalipambania hili tukio lisitokee tena.Au wewe kwa akili yako ndogo ya kuvukia barabara unahisi ni tukio dogo??
Hapa umejificha, kaongee habari hizi live kwa ndugu na jamaa waliopoteza wapendwa wao kwenye zile vurugu.Wewe huoni reaction ya majibu kwamba umepuyanga??
Kwa kifupi huna:
busara
akili au werevu wa kuweza kufikiria na kuamua kutenda jambo linalofaa
Ni kweli thamani ya uhai ni kubwa sana kuliko nguo au kitu kingine, sema tu kwa mujibu wa Katiba yetu thamani ya uhai wa mtu mmoja au kikundi ni ndogo kuliko mali ya umma hata iwe ndogo kiasi gani. Yaani uhai wako unaweza kuwa hauna thamani kama ukikutwa unaua tembo katikati ya hifadhi. Uhai wako unaweza kuondolewa na Simba na hakuna fidia kama uliwafuata simba hao kwenye hifadhi yao. Kwa ujumla usicheze na mali ya umma hata kama ni nguo au mkanda wa suruliali tu.uwezo wako wakufikiri unaonekana mdogo unalinganishaje uhai wa mtu na nguo ambazo zinaweza kushonwa
Hapa unapuyanga kwa story za kuambiwa mkuu.Kama wale waliokuwa kibanda umiza wanaangalia movie,wakashindiliwa wote risasi humo humo!
Huyo mtu ananufaika na Nini hasa mpaka umwagaji damu holela wa wa Tanzania wenzake aone ni jambo la haki na walistahili?
Huenda ni mzanzibar ndio maana anaona safi tu!
Wewe pia hapa umeleta hisia,watu walikuwa excuted point blank!Video zipo,picha zipo!Kaangalie hata ile documentary iliyokusanya matukio ya mauaji!Hapa unapuyanga kwa story za kuambiwa mkuu.
Uchaguzi ulienda fresh kata ya Kitangiri ambako ni kata ya jirani na hapo kwenye hilo Banda, ila jioni kukawa na ucheleweshaji wa matokeo na wananchi walikuwa wanamtaka diwani wao aliyehama kutoka ccm kwenda act, vurugu zikaanzia hapo na risasi zikaanza kurushwa.
Hapo tu watu walianza kufunga maduka na biashara zao hata wale walokuwa mbali, fujo zikasogea hadi Kona ya bwiru ambako ni karibu sana na hapo kwenye Banda la video. Watu walifunga biashara zao wakaondoka haraka.
Kwamba Tz hii mtu unaweza kusikia risasi zinarindima karibu hapo na ukaendelea kuangalia movie? Ukaendelea kuangalia mpira? Hilo eneo lina biashara nyingine mbona zilikuwa zimefungwa wakabaki wao? Walikuwa wamebaki kwasababu zipi?
Hapa ndipo panashangaza zaidi.
Kuna mama namfahamu kwake ni jirani na mitaa ya hilo banda alisema mambo mawili baada ya kumuuliza maswali kadhaa.
1. Alikutana na waandamanaji mtaani kwake Ile siku ya 2 akitoka soko la milongo kufanya maemezi ( soko liko mjini halikufungwa) kwasababu yeye amekaa hapo mtaani miaka zaidi ya 30 anasema hakumuona kijana hata mmoja wa pale mtaani, zilikuwa ni sura ngeni kabisa.
2. Watu kwenye banda wamepigwa risasi, alitegemea hapo mtaani kuwa na misiba mingi au taarifa za vijana kupotea, ila hakukuwa na misiba mingi na taarifa za vijana wengi kupotea. So it means sehemu kubwa ya lile kundi hawakuwa wakazi wa yale maeneo. Walitoka wapi? Walikuja kufanya nini? Kwamba Tz hii unaweza kutoka kata moja kwenda kata nyingine kuangalia movie alafu hilo kundi lililotoka sehemu nyingine kuja kuangalia movies/ mpira liwe kubwa kuliko wenyeji wa mtaa husika?
Hapa kulikuwa na kamchezo polisi walikashtukia ndomana waliwafata huko kwenye Banda walikojificha.
Mimi nilikuwa Kirumba karibu na Kituo Cha polisi, walikuja madogo kadhaa wakawasha matairi ya pikipiki barabarani, Kila mmoja aliyekuwa pale anasema wale madogo hawajui. Tulichofanya sisi tukaamua kuwatimua wale madogo kwasababu ingesemekana nisisi wakazi wa yale maeneo tumewasha moto.
Kuna matukio kama ulibahatika kuyaona, unaweza kuwa na hisia kuna makundi yaliandaliwa kuattack maeneo fulani.
Mimi niliekuwepo karibu na eneo la tukio unadhani unaweza kunihadaa na documentary iliyoandaliwa na mtu amekaa Nairobi ofisini?Wewe pia hapa umeleta hisia,watu walikuwa excuted point blank!Video zipo,picha zipo!Kaangalie hata ile documentary iliyokusanya matukio ya mauaji!
Hakuna excuse yeyote kwa kile kilichotokea!
Hiyo ni story pia kama ambavyo mtu anaweza kuja na story yake!Kama wewe ulikimbia,unajuaje yaliyotokea nyuma ya pazia?Na unatoa story kama wengine,kikubwa watu waliuwawa!Na ilikuwa shoot to kill maana,hawakuhitaji kukamata watu!Kazi ilikuwa Moja,kuua tu!Mimi niliekuwepo karibu na eneo la tukio unadhani unaweza kunihadaa na documentary iliyoandaliwa na mtu amekaa Nairobi ofisini?
Risasi zinaanza kurindima mida ya sa1 jioni mimi nilikimbia Villa karibu na Rock city mall kutafuta chipsi baada ya kukagua maeneo ya kirumba polisi hadi mwaloni maduka na migahwa ilikuwa inafungwa kwa speed ya ajabu.
Huko villa pia ilikuwa ni purukushani watu wanafunga biashara, wao huo ujasiri wa kubaki na kuendelea kuangalia movie/ mpira waliutoa wapi? Mbona biashara za maeneo hayo lilipobanda zilifungwa, wao walibaki kufanya nini?
Achana na documentary, Mwanza sio mbali, funga safari sikumoja pita mtaani pale piga story na bodaboda wa mitaa hiyo ya mji mwema utapata picha nyingine ya hilo tukio
Uko sahihi, kama waliokufa wangekuwa vijana wa maeneo yetu tungeona maturubai ya misiba kila kona za mitaa na majiji. Niko dar lakini hakuna hata jirani wala ndugu wala rafiki yangu ameniambia nina msiba wa oct29 ili angalau nimwambie pole na kumpa rambirambi.Hapa unapuyanga kwa story za kuambiwa mkuu.
Uchaguzi ulienda fresh kata ya Kitangiri ambako ni kata ya jirani na hapo kwenye hilo Banda, ila jioni kukawa na ucheleweshaji wa matokeo na wananchi walikuwa wanamtaka diwani wao aliyehama kutoka ccm kwenda act, vurugu zikaanzia hapo na risasi zikaanza kurushwa.
Hapo tu watu walianza kufunga maduka na biashara zao hata wale walokuwa mbali, fujo zikasogea hadi Kona ya bwiru ambako ni karibu sana na hapo kwenye Banda la video. Watu walifunga biashara zao wakaondoka haraka.
Kwamba Tz hii mtu unaweza kusikia risasi zinarindima karibu hapo na ukaendelea kuangalia movie? Ukaendelea kuangalia mpira? Hilo eneo lina biashara nyingine mbona zilikuwa zimefungwa wakabaki wao? Walikuwa wamebaki kwasababu zipi?
Hapa ndipo panashangaza zaidi.
Kuna mama namfahamu kwake ni jirani na mitaa ya hilo banda alisema mambo mawili baada ya kumuuliza maswali kadhaa.
1. Alikutana na waandamanaji mtaani kwake Ile siku ya 2 akitoka soko la milongo kufanya maemezi ( soko liko mjini halikufungwa) kwasababu yeye amekaa hapo mtaani miaka zaidi ya 30 anasema hakumuona kijana hata mmoja wa pale mtaani, zilikuwa ni sura ngeni kabisa.
2. Watu kwenye banda wamepigwa risasi, alitegemea hapo mtaani kuwa na misiba mingi au taarifa za vijana kupotea, ila hakukuwa na misiba mingi na taarifa za vijana wengi kupotea. So it means sehemu kubwa ya lile kundi hawakuwa wakazi wa yale maeneo. Walitoka wapi? Walikuja kufanya nini? Kwamba Tz hii unaweza kutoka kata moja kwenda kata nyingine kuangalia movie alafu hilo kundi lililotoka sehemu nyingine kuja kuangalia movies/ mpira liwe kubwa kuliko wenyeji wa mtaa husika?
Hapa kulikuwa na kamchezo polisi walikashtukia ndomana waliwafata huko kwenye Banda walikojificha.
Mimi nilikuwa Kirumba karibu na Kituo Cha polisi, walikuja madogo kadhaa wakawasha matairi ya pikipiki barabarani, Kila mmoja aliyekuwa pale anasema wale madogo hawajui. Tulichofanya sisi tukaamua kuwatimua wale madogo kwasababu ingesemekana nisisi wakazi wa yale maeneo tumewasha moto.
Kuna matukio kama ulibahatika kuyaona, unaweza kuwa na hisia kuna makundi yaliandaliwa kuattack maeneo fulani.
maandamano yajayo wakati wa afcon sio mama yenu tu aliyelaaniwa tutawamaliza watu kama wewe ili kusafisha nchi.Askari wanapopewa ripoti ya uhakika kuwa wafanyavurugu wamevamia vituo vya polisi kuua polisi na kupora silaha na sare za jeshi la polisi unadhani anaepewa ripoti hiyo atatuma askari kwenye tukio la kuzima vurugu waliobeba virungu, filimbi na pingu tu? Hapohapo kumbuka askari wengi walikuwa wamesambazwa kwenye zoezi la kupiga kura. Hivyo unatuma askari wachache kwenda kuzuia vurugu za watu wengi sana waliotawanyika sehemu kubwa ya miji na mikoa.
Ratio ya polisi kwa wafanya vurugu ilikuwa ndogo sana (askari: wafanya vurugu), inaweza kuwa 1:100,000. yaani polisi mmoja kwa wafanya vurugu 100,000. uwiano kama huu bila kutumia risasi za moto ungeweza kusababisha askari wengi kuuliwa na wafanyavurugu na mali nyingi sana za umma na watu binafsi zingeharibiwa nyingi sana.
Kila mtu angemshangaa aliyepeleka askari wachache kinyonge vitani.
maandamano yajayo wakati wa afcon sio mama yenu tu aliyelaaniwa tutawamaliza watu kama wewe ili kusafisha nchi.
Dunia inapenda football, mtafanya kosa la kiwango cha dunia kama mkifanya vurugu wakati wa afcon. Mtakosa wa kuwatetea dunia nzima na mtaonekana wehu na kila mtu mnaostahili kuminywa.maandamano yajayo wakati wa afcon sio mama yenu tu aliyelaaniwa tutawamaliza watu kama wewe ili kusafisha nchi.
Kuifanya hadithi nzima iwe fupi ni kwamba mauaji makubwa yalitokea kwasababu kulikuwa na wafanya vurugu kubwa na nyingi wengi. Hivyo ile kanuni ya tatu ya nguvu ya Isac Newton inayosema "Action and Reaction are equal and opposite" ikatokea pale. Yaani nguvu iliyotumika kuharibu mali ilikuwa sawa na nguvu iliyotumika kuzuia uharibifu wa mali. Ngoma droo, Bilabila.Hiyo ni story pia kama ambavyo mtu anaweza kuja na story yake!Kama wewe ulikimbia,unajuaje yaliyotokea nyuma ya pazia?Na unatoa story kama wengine,kikubwa watu waliuwawa!Na ilikuwa shoot to kill maana,hawakuhitaji kukamata watu!Kazi ilikuwa Moja,kuua tu!
Tumeona pia ushuhuda wa waliofika kwenye tume,wakaeleza waliyoeleza wakiwa live!Baada ya kuona mambo hayavumiliki,wakaamua kuweka gizani!
Au tukusikilize wewe,tuwapuuze wahanga waliopata ulemavu wa kudumu na waliofiwa na ndugu!
Au hukufuatilia waliokuwa wanatoa shuhuda mbele tume Kabla ya kuzimwa vyombo vya habari?
Maridhiano ya Nini kama kilichofanyoka ilikuwa halali!Haya unayatamka hapa,huwezi kuyatamka sehemu yoyote hadharani!Kuifanya hadithi nzima iwe fupi ni kwamba mauaji makubwa yalitokea kwasababu kulikuwa na wafanya vurugu kubwa na nyingi wengi. Hivyo ile kanuni ya tatu ya nguvu ya Isac Newton inayosema "Action and Reaction are equal and opposite" ikatokea pale. Yaani nguvu iliyotumika kuharibu mali ilikuwa sawa na nguvu iliyotumika kuzuia uharibifu wa mali. Ngoma droo, Bilabila.
Na sio siku ile tu, bali hata ikitokea yena leo, kesho au siku nyingine kanuni ya tatu ya force ya Isac Newton itatokea tena. Nguvu mtakayowekeza kuharibu itakuwa sawasawa na nguvu itakayowekezwa kuwazuia msiharibu. Maana for every action there is an equal and opposite reaction.
Mwisho kabisa ni "survival of the fittest" who will be fit for the game. Makomandoo na snipers upande huu na wafanya vurugu upande ule kisha tunasubiri milio.
Usichanganye habari. Mimi ni raia tu wa kawaida sina kazi hata ya kwenye utumishi wa umma na wala mm sio kiongozi wa chama wala serikali. Mawazo yangu mimi humu hayakiwakilishi chama chochote wala serikali.Maridhiano ya Nini kama kilichofanyoka ilikuwa halali!Haya unayatamka hapa,huwezi kuyatamka sehemu yoyote hadharani!
Hamuwasaidii mnaohisi mnawatetea bali mnazidi kupandikiza chuki na mgawanyo kwenye taifa!Hamjui nguvu ya mitandao!Kuna wahanga humu ambao wamepotelewa na ndugu zao au waliopata ulemavu wa kudumu!Kuna ndugu,jamaa na marafiki humu wa hao wahanga!
Imagine wanasoma hizi dhihaka mnazowafanyia!
Chuki mnayoipandikiza kwao,kuna siku watapata sehemu ya kuitolea!Bado kilichotokea oct 29 hakijawa funzo!
Tuangalie tusijejifunza kwa namna ngumu zaidi!
Kama ni wa kuelewa utaelewa,ila kama ndio wale wa miwani ya mbao basi,Sina Cha kuongeza!
Jumapili njema!
na nyie jiandaeni kabisa kwa sababu viongozi Wauaji na machawa wake wanaishia kunyongwa kama wengine kina sadam,gadafi na wengine.Aga na kunyonya kabisa kwa mama yako kabla hujatoka siku hiyo kufanya vurugu.
watu walishiriki kwa utashi wao na sasa hivi kama mambo hayajarekebishwa watashiriki mara2 yake kwa sababu ya motivation ya kurevange ndugu zao na sasa hivi viongozi wauaji na madikteta wataishia vibaya kwa sababu huwa mwisho wao wengi ni kunyongwa au kukimbia nchi.alafu baada ya hapo tutadeal na vibaraka hamuwezi kuharibu nchi mkaachwa.Usichanganye habari. Mimi ni raia tu wa kawaida sina kazi hata ya kwenye utumishi wa umma na wala mm sio kiongozi wa chama wala serikali. Mawazo yangu mimi humu hayakiwakilishi chama chochote wala serikali.
Mimi ni mtu tu mwenye exposure na general knowledge ya kawaida ya mambo ndani na nje ya nchi ambayo naitumia kuiombea nchi yangu amani na utulivu.
Mimi nina uhakika wa 97% kuwa vijana wengi walioshiriki kwenye vurugu zile hawakufanya vile kwa utashi wao. Kuna nguvu ya ushawishi ilitumika kuwafanya vijana wale washiriki vurugu zile. Miongoni mwa nguvu hizo zinaweza kuwa hizi:
1. Heshima Lissu kwa vijana.
2. Heshima ya wanachema kwa chadema
3. Heshima ya waumini kwa viongozi wao wa kiroho
4. Walipewa fedha tasilimu
5. Walipewa ahadi zinazowapendeza
6. Ulaghai: Waliambiwa hata wanajeshi watashiriki wako upande wao
7. Waliaminishwa kuwa mageuzi lazima yatafanikiwa tu.
8. Waliambiwa hata viongozi wao wakuu watakuwa nao bega kwa bega.
9. Peer pressure (mkumbo)
Tuwaambie vijana kuwa kuivimbia serikali ni hatari kubwa sana kuliko kumchezea simba na nyoka. Hata Yesu na mitume ya Mungu walipata tabu nyingi kwa kupinga dola, sembuse wewe Masumbuko.
Mazunguzo pekee (dialogue) ndiyo njia salama unapotaka kushindana na dola. Njia nyingine zote ni za kubahatisha tu na hatari.
Ndoto ya Alinacha!! Yaani nchi inaharibika kama ukisambaza umeme, shule, hospitali, maji, barabara na pembejeo nchi nzima bila kujali chama wala kabila? Au hujui namna nchi inavyoweza kuhariwa nikujulishe?watu walishiriki kwa utashi wao na sasa hivi kama mambo hayajarekebishwa watashiriki mara2 yake kwa sababu ya motivation ya kurevange ndugu zao na sasa hivi viongozi wauaji na madikteta wataishia vibaya kwa sababu huwa mwisho wao wengi ni kunyongwa au kukimbia nchi.alafu baada ya hapo tutadeal na vibaraka hamuwezi kuharibu nchi mkaachwa.