Sioni sababu ya kufia kifuani pa mwanamke

Kutuelewa mnatuelewa ila mnajifanya viburi. Tunataka PESA. vibamia na vitambi tutavumiliana.

Mnataka pesa!Hm. Mola aliwajulia mnakua kama sabuni.Unalinga weeeee,baada ya miaka unaenda kuongeza idadi ya wapiga majungu na taarabu tu,maana tamaa ya utotoni ukishazeeka hakuna wa kukuangalia.Hizo starehe zinabaki kumbukumbu.
Mbona mama zenu hizo pesa hawakupewa walishindwa kuwazaa?
 
Muda wa kuringa ni ujanani. Nani alikuambia kuwa wakina mama wa zamani walikuwa hawapewi pesa?
 
Hawa viumbe hawajawahi kumwacha mtu salama katika zama zote, mimi siwaamini hata kidogo isipokuwa mama yangu,tuishi nao kwa akili sana
 
Pesa ndo msingi,mwanzo mwisho! Mbona hata mkizipata hamkai mkatulia?!
Asipotulia ni tabia yake tu. Pesa ni nature yetu kama vile nyie wanaume nature yenu ilivyo ya kutotosheka na mwanamke mmoja. Tuvumiliane tu ndugu!
 
Muda wa kuringa ni ujanani. Nani alikuambia kuwa wakina mama wa zamani walikuwa hawapewi pesa?

Kwani tatizo ni pesa au ni kazi ya hizo pesa?Uliwahi sikia aliyepewa pesa enzi hizo kaenda kutolea mimba ya mwanaume mwingine? Au yupo uliehadithiwa alipewa akaenda kuwakopesha wenzake na kuwapangishia vyumba mabwana zake?
 
Hahaha mi niliuliza viceversa ya huu uzi mkanichamba kumbe wenzangu wapo

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Mimi nazani awa wanawake wote wangepelekwa katika sayari yao na kutafuta uzao mwingine unajielewa na kujitambua!lakini awa wa sayari ya dunia ni pasua kichwa!
Kama ninavyosema mie inaezekana wanaume wenye mapenzi ya dhati wako sayari ya pluto

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Wanaoendeshwa kwa kanuni za dunia ni wachache mnooo, na ni wanaume wenye bahati sana huwapata!

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Wa ivi ndo mnatumika ata mia ampewi,..
Nisipopewa ujue sijataka kupewa na si kila mwanaume ni wa kumwomba hela. Wanaojitambua wanatoa hata kabla hujaomba kwasababu wanaelewa wajibu wao. Pambana na hali yako!
 
Nisipopewa ujue sijataka kupewa na si kila mwanaume ni wa kumwomba hela. Wanaojitambua wanatoa hata kabla hujaomba kwasababu wanaelewa wajibu wao. Pambana na hali yako!

Aseeh una kamoyo kazuri kaupendo wa kweli sijui ulikua wapi siku zoteeeee lohhh!!!
 
Woga wako ndo umasikini wako,... Mwanaume unatakiwa ujiamin,.. Usipojiamin mwanamke atakupelekesha sana

Sent from my SM-G950FD using JamiiForums mobile app
Ni kweli mkuu, na mbaya zaidi akalitambua hilo aisee utazeeka kabila ya wakati wako.
 
hata bible imesema tuishi nao kwa akil coz mzee sir GOd anajua hawa watu ni zeroooooooo

Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…