Sioni sababu ya kufia kifuani pa mwanamke

Wanawake wamebaki kidogo sana. Wamejaa wa kike,na ukiona haridhiki,jua hajitambui wala haielewi,hivyo utaishi nae kwa kumhonga.Huyo ukifa watoto anatelekeza anaenda kutafuta pesa za kula chipsi na kulewa hajali watoto wamekula nini.Endeleeni kusaka pesa jamani,kazeni buti
 
Kwani tatizo ni pesa au ni kazi ya hizo pesa?Uliwahi sikia aliyepewa pesa enzi hizo kaenda kutolea mimba ya mwanaume mwingine? Au yupo uliehadithiwa alipewa akaenda kuwakopesha wenzake na kuwapangishia vyumba mabwana zake?
Kila mtu na matumizi yake. Kwani wote wanaopewa wanaenda kutoa mimba? Ni aina ya mwanamke uliye nae. Wengine wana matumizi halali kabisa.
 
Mkuu unammudu kweli dah,.. Very kuntu,
Ha haaaa eti ananimudu!! Yaani nipewe hela nikampangishie nyumba mwanaume mwingine nitakuwa na akili kweli? Sasa niliomba za nini wakati sizihitaji?
 
Kila mtu na matumizi yake. Kwani wote wanaopewa wanaenda kutoa mimba? Ni aina ya mwanamke uliye nae. Wengine wana matumizi halali kabisa.

Basi kama hutoenda kutolea minba utakuwa unampelekea mganga
 
Mimi ndio yule mhenga niliyesema Jogoo la shamba haliwiki mjini. Bora urudi Kolomije boss wangu, hwwa wa mjini sisi ndio tunajua wanahitaji nini.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]

Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
 
Hawa viumbe hawajawahi kumwacha mtu salama katika zama zote, mimi siwaamini hata kidogo isipokuwa mama yangu,tuishi nao kwa akili sana
Mimi huishi nao kama digidigi, leo nipo kichaka hiki, kesho kichaka kile maisha yanaendelea...
 
Kwani tatizo ni pesa au ni kazi ya hizo pesa?Uliwahi sikia aliyepewa pesa enzi hizo kaenda kutolea mimba ya mwanaume mwingine? Au yupo uliehadithiwa alipewa akaenda kuwakopesha wenzake na kuwapangishia vyumba mabwana zake?
Inauma, Acha kabisa
 
Hahaha mi niliuliza viceversa ya huu uzi mkanichamba kumbe wenzangu wapo

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Watu tumetofautiana sana, wapo ambao wanaona kawaida tu,.. Na tukiendelea kuona kawaida hawa viumbe watatuendesha hapo baadae... Wanaume wengi wanatangulia kufa na kuwaacha wanawake,.. Chanzo cha magonjwa mengine yanatokana na jinsi ya Aina hii ya wanawake,.. Tunakimbizwa lakini, tumekua dhaifu wa kutafuta sifa za kijinga kwa watu ambao hawana huruma..
 
Kama ninavyosema mie inaezekana wanaume wenye mapenzi ya dhati wako sayari ya pluto

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Sisi tunawapendeni saana, lakini mnatukausha damu kwakua hamtosheki na wala hamjui mnachokihitaji
 



Mwanamme anayejitambua kamwe hatokubali kupigwa mizinga tu kila kukicha. Wanawake wa mizinga na wasiojitambua si wa kuwapa muda. Piga chini anza mbele, wazuri wamejazana sana hapa Bongo na hata nchi jirani.
 
Sio wanawake wote na kam mwanamke akikupenda sio rais kukupga mizinga kama me naonaga aibu sana kuomb ela maybe anpe mwenyew but kumwomb n ngum sana kwang
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…