Sioni sababu ya kuilaumu CCM na Mahakama Wakati aliyefungua Kesi ni Mwanachadema

Ishu sio kufungwa. Ishu ni usaliti.
Unatumia generalization kwenye mambo ambayo unapaswa kuwa na specification.

Rudi sasa kwenye issue ya ugomvi wa chadema achana na ugomvi wa watu CCM.

Je wao CCM Wangeanza kuilaumu CHADEMA juu ya kukosa maadili kwa GWAJIMA ingekuwa fair ??

Sasa be specific speak on the issue of CHADEMA and provide your critical arguments.
 
XX anataka kumuoa mkeo, halafu hakimu wa mahakama ni swahiba wa XX na wewe unajua. Halafu wewe mwenye mke unajua kabisa XX analombana na mkeo. Halafu kesi inafika mahakamani mkeo anadai akaishi kwa XX kwani ananyanyasika kwako. Wewe unaomba kesi iahirishwe ili ujipange kuleta utetezi mke aendelee kuwepo chini ya uangalizi wa mahakama. Hakimu anakataa na kuamuru aende kwa XX😂😂🤣

Hapo kwanini usiilalamikie mahakama?
 

Pamoja na hivyo.
Kosa la Kwanza ni la Mimi kuwa na mke kicheche. Sasa anakitoa huko na amenigeuka na kuungana na mchepuko ambaye ni jaji/hakimu.

Kisha lawama zingine ndio nitampa Huyo mchepuko.

Ndio maana kuna vetting
 
If you are real rational being, You must understand beyond the vissible context, think big acha kujitoa ufahamu 🤔🤔🤔
 
Elewa kitu kimoja aliefungua kesi ni mjumbe tuu.
Waliomtuma ndio wanalaumiwa.

No reform No election.
 
Pamoja na hivyo.
Kosa la Kwanza ni la Mimi kuwa na mke kicheche. Sasa anakitoa huko na amenigeuka na kuungana na mchepuko ambaye ni jaji/hakimu.

Kisha lawama zingine ndio nitampa Huyo mchepuko.

Ndio maana kuna vetting
Kwani Vetting inamzuia mtu kubadilika.?
 
Uko vizuri Taikon.
 
Kwa aina ya akili za watanzania usitegemee kueleweka zaidi yakuitwa mlamba asali na msaliti.

Wapinzani wa nchi hii tunategemea CCM ituwekee mazingira mazuri kwaajili yetu ili tuweze kuiondoa (hiyo CCM) madarakani!!! Kwani wenyewe hawajui consequences za kufanya hivyo?

Mkuu Heriel, wa kwanza hapo kulaumiwa ni CDM kwa kuwapa nafasi watu ambao sio waadilifu,
Wa pili ni hao watu walioaminiwa ila wakakengeuka.
Serikali na mahakama zinakuja mwisho kama kuna mahali wamecheza rafu. ( Kitu ambacho ni very predictable)
 
Hakuna kitu kibaya ktk maisha kama binadamu kukana kasoro alizonazo. Nina mfano mzuri wa maisha ya kawaida kabisa. Yupo mama aliye ktk ndoa yake lakini hajaaliwi kupata watoto. Anajua kabisa ana tatizo la afya ya uzazi lakini kila mara anamuaminisha mumewe tatizo ni nyumba wanazopanga kuwa wenye nyumba ni wachawi. Matokeo yake badala ya kushughilikia tatizo halisi wao ni kushinda kwa waganga kumtafuta mchawi, kuhama nyumba kila mwaka na kwa maana hiyo kupoteza muelekeo wa ndugu na jamaa zao. Hivi ndivyo siasa za upinzani zilivyo. Matatizo ya Chaguzi ndani ya vyama vyao wanawaaminisha wafuasi wao tatizo ni CCM, Mabadiliko ya sera za vyama vyao tatizo ni CCM, Wakipelekana mahakamani tatizo ni wivu wa CCM N.K. Wanawaaminisha hivyo wanachama wao huku usiku wanajificha wanafanya Maamuzi tofauti na walivyowaaminisha jana wanachama wao. Ati "Msajiri hawezi kutupangia" kesho yake mnatii maagizo yake. Mnayumbisha imani za wapenzi na wafuasi wenu. Panapo kasoro zinazolalamikiwa na wanachama/viongozi dawa ni kuchukuwa hatua za kutatua tatizo. Mbinu za ulaghai wa kisiasa zina faida ya muda mfupi. Madhara yake yanakuja kionekana baadaye.
 
Kuna kubadilika katikati ya safari mtibeli.
 
Sisiem inahusika 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…