WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 8,437
- 8,136
No Reform No ElectionHamjambo Wote!
Sipendi watu wanaolaumu wengine Kwa Makosa Yao. Kulaumu wengine kwa Makosa uliyoyafanya ni kukimbia uwajibikaji.
Kwenye Pambano lolote, huwezi mlaumu adui au timu pinzani kwa kutumia watu wako Wasiowaaminifu.
CHADEMA wanachangamoto ya watu Wasiowaaminifu ambao ni rahisi kutumiwa na Maadui zao.
Fikiria Chadema walikuwa wanalalamika CCM inawanunua Watu wao. Badala ya wao kujilaumu kwa kuwa na wanachama ambao hununulika.
Sio kosa kwa CCM kununua Wanachama wengine upande wa upinzani.
Haya SASA CHADEMA yazuiwa kufanya shughuli zake na Mahakama kutokana na Kesi iliyoanzishwa na Mwanachama mwenzao kutokea Zanzibar.
Hivi hiyo inakuingia Akilini kweli?
Hapa hatuwezi walaumu CCM au Mahakama. Mwenye tatizo hapa ni CHADEMA wenyewe.
Chadema inapitia kipindi kigumu ambacho kitachuja makapi na kubakiza wapinzani halisi. Sasa sijajua watabaki wangapi maana numbers matter.
Watu kama Tundu Lisu wapo Wangapi Chadema? Hilo ndio swali.
Maana hao ndio wataweza mikikimikiki.
Soma Pia: Rasmi, Mahakama yapiga marufuku shughuli zote za CHADEMA
Kuliko hawa ambao wananunulika.
Hii pia inamaanisha Chadema kwenye kuchagua viongozi inatakiwa iwe Macho katika kuchagua mashujaa kwelikweli. Vinginevyo watawakatisha wengi tamaa!
Haya! Sisi tupo! Tunatazama.
Robert Heriel
Taikon Master
Dar es salaam
Wamemtuma kufanya spinning. Uzuri kswakuta wana JF wana akiliNimesoma vema kabisa ila,huna hoja kimsingi.Labda ulazimishe.
Vitu vingi hajui, hii ndio shida ya kutaka kuchangia kila kitu VINGINE angeacha vimpiteWe nawe kama hanaja tu siku hizi. Umekuwa Taicoon wa mchongo.
View attachment 3363414
Mapandikizi kutoka ccmPamoja na hayo. Huoni tatizo kwa mwanachadema kuishataki chadema? Mimi hoja yangu ndio IPO hapo.
.ni sawa na Yule Mchome
Na mwenye huu Uzi nadhani NI PONJOLO WA kizanzibar piaCHADEMA IMEFUNGIWA
Rais Samia ni Mzanzibar
Aliye fungua kesi ni Mzanzibar
Wazanzibar wamefungia Makanisa
Wazanzibar wamefungia CHADEMA Tanganyika
Wazanzibar wameuza bandari za Tanganyika
Wazanzibar wameuza KIA na mbuga za Tanganyika kwa Waarabu.
Wanzanzibar wameuza Mwendokasi.
Wanzanzibar wanazima moto wa Watanganyika kwa kufira, kuuwa na kuteka (Yupo wap Mdude, Yupo wap Soka, Yupo wap Mzee Ally Kibao, Yupo wap Kipanya)
Wanzanzibar wamemuweka LISSU ndani.
Watanganyika tuna safari ndefu sana!
Kinacho fuata ni nini wakuu na juzi Wa mambo ya kisiasawatwambieHamjambo Wote!
Sipendi watu wanaolaumu wengine Kwa Makosa Yao. Kulaumu wengine kwa Makosa uliyoyafanya ni kukimbia uwajibikaji.
Kwenye Pambano lolote, huwezi mlaumu adui au timu pinzani kwa kutumia watu wako Wasiowaaminifu.
CHADEMA wanachangamoto ya watu Wasiowaaminifu ambao ni rahisi kutumiwa na Maadui zao.
Fikiria Chadema walikuwa wanalalamika CCM inawanunua Watu wao. Badala ya wao kujilaumu kwa kuwa na wanachama ambao hununulika.
Sio kosa kwa CCM kununua Wanachama wengine upande wa upinzani.
Haya SASA CHADEMA yazuiwa kufanya shughuli zake na Mahakama kutokana na Kesi iliyoanzishwa na Mwanachama mwenzao kutokea Zanzibar.
Hivi hiyo inakuingia Akilini kweli?
Hapa hatuwezi walaumu CCM au Mahakama. Mwenye tatizo hapa ni CHADEMA wenyewe.
Chadema inapitia kipindi kigumu ambacho kitachuja makapi na kubakiza wapinzani halisi. Sasa sijajua watabaki wangapi maana numbers matter.
Watu kama Tundu Lisu wapo Wangapi Chadema? Hilo ndio swali.
Maana hao ndio wataweza mikikimikiki.
Soma Pia: Rasmi, Mahakama yapiga marufuku shughuli zote za CHADEMA
Kuliko hawa ambao wananunulika.
Hii pia inamaanisha Chadema kwenye kuchagua viongozi inatakiwa iwe Macho katika kuchagua mashujaa kwelikweli. Vinginevyo watawakatisha wengi tamaa!
Haya! Sisi tupo! Tunatazama.
Robert Heriel
Taikon Master
Dar es salaam
Sisi Watanganyika ni MafalaCHADEMA IMEFUNGIWA
Rais Samia ni Mzanzibar
Aliye fungua kesi ni Mzanzibar
Wazanzibar wamefungia Makanisa
Wazanzibar wamefungia CHADEMA Tanganyika
Wazanzibar wameuza bandari za Tanganyika
Wazanzibar wameuza KIA na mbuga za Tanganyika kwa Waarabu.
Wanzanzibar wameuza Mwendokasi.
Wanzanzibar wanazima moto wa Watanganyika kwa kufira, kuuwa na kuteka (Yupo wap Mdude, Yupo wap Soka, Yupo wap Mzee Ally Kibao, Yupo wap Kipanya)
Wanzanzibar wamemuweka LISSU ndani.
Watanganyika tuna safari ndefu sana!
Mtibeli, una hakika kuwa Salumu Mwalimu ni Chadema? Au yule amvaye yuko Chaumma wamefanana tu majina?Hamjambo Wote!
Sipendi watu wanaolaumu wengine Kwa Makosa Yao. Kulaumu wengine kwa Makosa uliyoyafanya ni kukimbia uwajibikaji.
Kwenye Pambano lolote, huwezi mlaumu adui au timu pinzani kwa kutumia watu wako Wasiowaaminifu.
CHADEMA wanachangamoto ya watu Wasiowaaminifu ambao ni rahisi kutumiwa na Maadui zao.
Fikiria Chadema walikuwa wanalalamika CCM inawanunua Watu wao. Badala ya wao kujilaumu kwa kuwa na wanachama ambao hununulika.
Sio kosa kwa CCM kununua Wanachama wengine upande wa upinzani.
Haya SASA CHADEMA yazuiwa kufanya shughuli zake na Mahakama kutokana na Kesi iliyoanzishwa na Mwanachama mwenzao kutokea Zanzibar.
Hivi hiyo inakuingia Akilini kweli?
Hapa hatuwezi walaumu CCM au Mahakama. Mwenye tatizo hapa ni CHADEMA wenyewe.
Chadema inapitia kipindi kigumu ambacho kitachuja makapi na kubakiza wapinzani halisi. Sasa sijajua watabaki wangapi maana numbers matter.
Watu kama Tundu Lisu wapo Wangapi Chadema? Hilo ndio swali.
Maana hao ndio wataweza mikikimikiki.
Soma Pia: Rasmi, Mahakama yapiga marufuku shughuli zote za CHADEMA
Kuliko hawa ambao wananunulika.
Hii pia inamaanisha Chadema kwenye kuchagua viongozi inatakiwa iwe Macho katika kuchagua mashujaa kwelikweli. Vinginevyo watawakatisha wengi tamaa!
Haya! Sisi tupo! Tunatazama.
Robert Heriel
Taikon Master
Dar es salaam
Sio kila jambo la kulilipukia kufungua nyuziHamjambo Wote!

Tumia akili sio kuropoka upuuzi rundoHamjambo Wote!

Kwani unadhani Kuna ugumu kwa mke wako kupagawishwa na jamaa jingine na mwisho wa siku kukukana kuwa wewe si mume wake hata kama mmefunga naye ndoa..?Pamoja na hayo. Huoni tatizo kwa mwanachadema kuishataki chadema? Mimi hoja yangu ndio IPO hapo.
.ni sawa na Yule Mchome
Tatizo ni viongozi wa CHADEMAHamjambo Wote!
Sipendi watu wanaolaumu wengine Kwa Makosa Yao. Kulaumu wengine kwa Makosa uliyoyafanya ni kukimbia uwajibikaji.
Kwenye Pambano lolote, huwezi mlaumu adui au timu pinzani kwa kutumia watu wako Wasiowaaminifu.
CHADEMA wanachangamoto ya watu Wasiowaaminifu ambao ni rahisi kutumiwa na Maadui zao.
Fikiria Chadema walikuwa wanalalamika CCM inawanunua Watu wao. Badala ya wao kujilaumu kwa kuwa na wanachama ambao hununulika.
Sio kosa kwa CCM kununua Wanachama wengine upande wa upinzani.
Haya SASA CHADEMA yazuiwa kufanya shughuli zake na Mahakama kutokana na Kesi iliyoanzishwa na Mwanachama mwenzao kutokea Zanzibar.
Hivi hiyo inakuingia Akilini kweli?
Hapa hatuwezi walaumu CCM au Mahakama. Mwenye tatizo hapa ni CHADEMA wenyewe.
Chadema inapitia kipindi kigumu ambacho kitachuja makapi na kubakiza wapinzani halisi. Sasa sijajua watabaki wangapi maana numbers matter.
Watu kama Tundu Lisu wapo Wangapi Chadema? Hilo ndio swali.
Maana hao ndio wataweza mikikimikiki.
Soma Pia: Rasmi, Mahakama yapiga marufuku shughuli zote za CHADEMA
Kuliko hawa ambao wananunulika.
Hii pia inamaanisha Chadema kwenye kuchagua viongozi inatakiwa iwe Macho katika kuchagua mashujaa kwelikweli. Vinginevyo watawakatisha wengi tamaa!
Haya! Sisi tupo! Tunatazama.
Robert Heriel
Taikon Master
Dar es salaam
Hongera zakeWe nawe kama hanaja tu siku hizi. Umekuwa Taicoon wa mchongo.
View attachment 3363414
Hayo mambo aliyoyashitaki yameeanza baada ya Lissu kuchukua uwenyekiti?Tatizo ni viongozi wa CHADEMA
Tatizo ni viongozi wa CHADEMA
Mkuu jambo gani ambalo haulielewi hapo, kwani wakati Prof lipumba anajivua uenyekiti wa CUF wakati ule, ajikuwa anafanya kwa utashi wake au alikuwa amenunuliwa?.
Jambo la msingi ni kwamba hata tukijitoa ufahamu vipi, huduna za afya zikiwa mbaya, mfumuko mkubwa wa bei ya bidhaa na ugumu wa maisha vitatushenyenta wote, yaani chawa, waimba ngonjera na wanachama wa chainizi wote.
Ulioana naye akiwa na tabia nzuri sana. Ulifanya hiyo unaita vetting ulijiridhisha kila kitu. Kabadilika kaku cheat. Hapo bado ni kosa lako?