Mkuu etwege!..wewe ni mtu muhimu sana ktk hili, tumekuwa tukimtafuta mwenyekiti ili tumshugulikie lkn mara zote tumekosa ushahidi kiasi kwamba tunaonekana kuwa tunambambikia kesi, na wengine wanatubeza kwa kutuambia kuwa tunatumwa tu kama yule mbwa maarufu aliyepotea bandarini. Chondechonde, tuletee ushahidi was m/kiti kujihusisha na biashara ya madawa tuweze kumshugulikia ili heshima yetu irudiUmuhimu mnao uona hapo ufipa ni wa biashara ya mwenyekiti wenu tu ( Madawa)
Coco Beach linaenda kutua wapi? Aga Khan linaanzia wapi?Sasa wale wakazi wa maeneo yale wakae mkao wa kupokea tinga tinga litalobomoa makazi yao. Haitawezekana lijengwe daraja kubwa/refu vile halafu tributaries zibaki pale pale.
Mku hongera kwa taarifa lakini nadhani sio tu watu wa masaki kwamba ndo watafaidi bali pia nawengine wengi kwa mfano watu kutoka Tegeta, Mwenge maana wanapata taabu sana wanaweza pindia pale Namanga na kwenda kule barabara ya CCBRT ( Hosipitali ya macho) Msasani kutokezea Cocobeach watawahi sana kufika Town. Au wakifika tu pale njia ya Oysterbay wanakula kushoto kuitafuta Cocobeach. Kusema kweli wengi watafaidi mku si wanene tu kule Masaki hapana.Kwa macho ya kawaida unaweza kufikiri lengo la daraja hili ni kupunguza foleni ya Salender Bridge na kuwaondolea wananchi wa Dar kero ya foleni. La hasha daraja hili linalojengwa kwa gharama kubwa halitapunguza foleni kwa sababu watakaotumia daraja hili ni watu wachache sana, (under utilised bridge).
Ukiangalia kwa jicho la tatu, lengo hasa ni kuwasaidia viongozi, mabalozi na wazungu wachache wanaoishi maeneo ya Osterbay na Masaki ambao hawazidi hata 200, labda wasikae kwenye foleni kwa muda mrefu wakichanganyika na walalahoi wa maeneo ya Mwenge, Kawe, Kunduchi, Tegeta, Boko na Bunju.
USHAURI: Kama lengo ni kupunguza foleni ya Salender Bridge ingefaa zaidi lijengwe daraja kubwa la nchi kavu kutokea maeneo ya Hananasifu au Magomeni hadi Muhimbili au Fire kuvuka bonde la Jangwani linalojaa maji kipindi cha mvua.
Daraja hili la Hananasifu - Muhimbili/Fire, lingehudumia watu wengi hasa wafanyabiashara wa Kariakoo na katikati ya jiji, ambulance, zimamoto na wafanyakazi wa kada za chini ambao ndio walio wengi, tofauti na daraja la Aga Khan - Coco beach ambalo litahudumia 'sana sana' wakazi wa Masaki na pengine kubaki 'idle' kwa kipindi kirefu.
Daraja kubwa la Jangwani si tu lingepunguza adha ya foleni ya Magomeni-Kariakoo/Posta lakini pia lingesaidia kupunguza magari yanayopita Salender Bridge.
Anyways kupanga ni kuchagua, tumechagua daraja la Coco beach kwa wadosi tukawaacha wa Mbagala wahangaike na foleni yao.
Ni ushauri na mawazo huru ya MwanaJF mzoefu Quinine.
Kupiga picha tu labdaNaomba ufafanuzi hilo daraja kama liananzia coco beach linaishia wapi kama ni Aghakhan pale halina msaada sana otherwise weekend watu kwebda kupiga picha wapenzi wao.
Ngoja kwanza liishe hawa jamaa hawakawiagi kugeuza mambo.Naomba kuuliza wakuu.... Hili daraja na lenyewe litakuwa la kulipia?
Da umeonekana we MTU.Nimekumiss kitambo.Kwa macho ya kawaida unaweza kufikiri lengo la daraja hili ni kupunguza foleni ya Salender Bridge na kuwaondolea wananchi wa Dar kero ya foleni. La hasha daraja hili linalojengwa kwa gharama kubwa halitapunguza foleni kwa sababu watakaotumia daraja hili ni watu wachache sana, (under utilised bridge).
Ukiangalia kwa jicho la tatu, lengo hasa ni kuwasaidia viongozi, mabalozi na wazungu wachache wanaoishi maeneo ya Osterbay na Masaki ambao hawazidi hata 200, labda wasikae kwenye foleni kwa muda mrefu wakichanganyika na walalahoi wa maeneo ya Mwenge, Kawe, Kunduchi, Tegeta, Boko na Bunju.
USHAURI: Kama lengo ni kupunguza foleni ya Salender Bridge ingefaa zaidi lijengwe daraja kubwa la nchi kavu kutokea maeneo ya Hananasifu au Magomeni hadi Muhimbili au Fire kuvuka bonde la Jangwani linalojaa maji kipindi cha mvua.
Daraja hili la Hananasifu - Muhimbili/Fire, lingehudumia watu wengi hasa wafanyabiashara wa Kariakoo na katikati ya jiji, ambulance, zimamoto na wafanyakazi wa kada za chini ambao ndio walio wengi, tofauti na daraja la Aga Khan - Coco beach ambalo litahudumia 'sana sana' wakazi wa Masaki na pengine kubaki 'idle' kwa kipindi kirefu.
Daraja kubwa la Jangwani si tu lingepunguza adha ya foleni ya Magomeni-Kariakoo/Posta lakini pia lingesaidia kupunguza magari yanayopita Salender Bridge.
Anyways kupanga ni kuchagua, tumechagua daraja la Coco beach kwa wadosi tukawaacha wa Mbagala wahangaike na foleni yao.
Ni ushauri na mawazo huru ya MwanaJF mzoefu Quinine.
Kwa macho ya kawaida unaweza kufikiri lengo la daraja hili ni kupunguza foleni ya Salender Bridge na kuwaondolea wananchi wa Dar kero ya foleni. La hasha daraja hili linalojengwa kwa gharama kubwa halitapunguza foleni kwa sababu watakaotumia daraja hili ni watu wachache sana, (under utilised bridge).
Ukiangalia kwa jicho la tatu, lengo hasa ni kuwasaidia viongozi, mabalozi na wazungu wachache wanaoishi maeneo ya Osterbay na Masaki ambao hawazidi hata 200, labda wasikae kwenye foleni kwa muda mrefu wakichanganyika na walalahoi wa maeneo ya Mwenge, Kawe, Kunduchi, Tegeta, Boko na Bunju.
USHAURI: Kama lengo ni kupunguza foleni ya Salender Bridge ingefaa zaidi lijengwe daraja kubwa la nchi kavu kutokea maeneo ya Hananasifu au Magomeni hadi Muhimbili au Fire kuvuka bonde la Jangwani linalojaa maji kipindi cha mvua.
Daraja hili la Hananasifu - Muhimbili/Fire, lingehudumia watu wengi hasa wafanyabiashara wa Kariakoo na katikati ya jiji, ambulance, zimamoto na wafanyakazi wa kada za chini ambao ndio walio wengi, tofauti na daraja la Aga Khan - Coco beach ambalo litahudumia 'sana sana' wakazi wa Masaki na pengine kubaki 'idle' kwa kipindi kirefu.
Daraja kubwa la Jangwani si tu lingepunguza adha ya foleni ya Magomeni-Kariakoo/Posta lakini pia lingesaidia kupunguza magari yanayopita Salender Bridge.
Anyways kupanga ni kuchagua, tumechagua daraja la Coco beach kwa wadosi tukawaacha wa Mbagala wahangaike na foleni yao.
Ni ushauri na mawazo huru ya MwanaJF mzoefu Quinine.[/QU
Mtoa mada unakosea sana! Serikali ya wanyonge haiwezi kufanya hicho kitu kuwapendelea wadosi wachache!Kwa macho ya kawaida unaweza kufikiri lengo la daraja hili ni kupunguza foleni ya Salender Bridge na kuwaondolea wananchi wa Dar kero ya foleni. La hasha daraja hili linalojengwa kwa gharama kubwa halitapunguza foleni kwa sababu watakaotumia daraja hili ni watu wachache sana, (under utilised bridge).
Ukiangalia kwa jicho la tatu, lengo hasa ni kuwasaidia viongozi, mabalozi na wazungu wachache wanaoishi maeneo ya Osterbay na Masaki ambao hawazidi hata 200, labda wasikae kwenye foleni kwa muda mrefu wakichanganyika na walalahoi wa maeneo ya Mwenge, Kawe, Kunduchi, Tegeta, Boko na Bunju.
USHAURI: Kama lengo ni kupunguza foleni ya Salender Bridge ingefaa zaidi lijengwe daraja kubwa la nchi kavu kutokea maeneo ya Hananasifu au Magomeni hadi Muhimbili au Fire kuvuka bonde la Jangwani linalojaa maji kipindi cha mvua.
Daraja hili la Hananasifu - Muhimbili/Fire, lingehudumia watu wengi hasa wafanyabiashara wa Kariakoo na katikati ya jiji, ambulance, zimamoto na wafanyakazi wa kada za chini ambao ndio walio wengi, tofauti na daraja la Aga Khan - Coco beach ambalo litahudumia 'sana sana' wakazi wa Masaki na pengine kubaki 'idle' kwa kipindi kirefu.
Daraja kubwa la Jangwani si tu lingepunguza adha ya foleni ya Magomeni-Kariakoo/Posta lakini pia lingesaidia kupunguza magari yanayopita Salender Bridge.
Anyways kupanga ni kuchagua, tumechagua daraja la Coco beach kwa wadosi tukawaacha wa Mbagala wahangaike na foleni yao.
Ni ushauri na mawazo huru ya MwanaJF mzoefu Quinine.
Kama ilivyo tofauti ya "Kutawala" na "Kuongoza"Wewe unaita wazee wa kupinga sisi tunaita kizazi cha kuhoji.
πππItakuwa hujawahi kutumia barabara za mitaa hiyo hadi kufika kama kuanzia Msasani.. maeneo kuelekea hukoooo
Endelea kutumbua macho.. ila umejaa upupwu sanaaa.. lia tu
Hicho ni kiashiria cha kukosa hoja aka siasa za maji taka!nyinyi simnasemaga " kuwa ",raisi wenu ametokomeza hiyo ", biashara" so imrkuwaje" tena leo unasema " kuwa kuna mtu anaifanya" mbay zaidi " unajua kuwa anaifanya" lakini umeshindwa " kutoa vithibitisho kwa mamlaka husika ili akamatwe"" ACHA ROHO MBAYA " UWONGO HAUFAI
ππhahaaaa " kweli umerogwa ", na wale mateja wa k.koo wamejazwa na. wana lumumba au -''?
naam mkuuHicho ni kiashiria cha kukosa hoja aka siasa za maji taka!