Sioni 'utupu' wa Gigy Money, mamlaka zimehuhukumu kwa mihemko na kukurupuka

Kwani harmonize anavyotuonyesha likifua lake limetuna anakuwa na nia gani? Unaelewa tunapata shida kiasi gani?
Vazi la giggy ni matata sana alipendeza.
Akina Harmonize huwa hawachori ubooh wala pumbuu na kuzinesha zaidi ya kuweka jiwe pale mbele kwenye surali,hii ya Mzee Stanford ni balaa
 
VERY NORMAL CASUAL IN MUSICS ISSUE WAMEONEWA WACHUKUE TU CHOCHOTE KIDOGO WAFUNGULIWE BHANA
 
Akina Harmonize huwa hawachori ubooh wala pumbuu na kuzinesha zaidi ya kuweka jiwe pale mbele kwenye surali,hii ya Mzee Stanford ni balaa
Kifua kifua..kimeumbika kinatusisimua..tukimuona tunasisimkwa!
 
Jamii inayotukuza wanaume na kuwadhibiti wanawake!
Hivi unadhani wakisema wanawake watembee uchi kuna mwanaume atapinga,na unadhani anaekasirishwa na matukio ya wanawake kuwa watupu ni mwanaume?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Unapolaumu wanaume usichanganye tabia za baba yako na maisha ya wanaume.

Naona hapa unataka kusema wanaume wananyanyasa wanawake, haya hebu tufafanulie na utaje majina ya nani na nani wanaofanya hayo manyanyaso....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata sisi machuchu ,paja na mabega mnatuachia wazi tunavumilia ila hii ya kuchora K na zivu live Ni noooma
[emoji3][emoji3]. Tuseme tu ukweli ila mwafrika akiongelea uchi basi ujue ni wa mwanamke. Kuna show moja diamond kashusha suruali katuonyesha matako na boxer , na afande sele alishafanya hivyo. Nikumbushe kama kuna adhabu walipewa
 
Nimekuambia ninaona kinachoonekana.

Nikatoa mfano, huwezi kuona chupi ukasema umeona bikini.

Hapo nimeona k na matiti.

Iweje wewe uone nguo?

Kwanini huoni kinachoonekana?

Umeona kile unachotaka kuona, unaambiwa hiyo papuchi na chuchu unazosema umeona ni michoro tu juu ya nguo.

Kalagabaho!
 
Kama hujaelewa ujue imekuzidi! Ipotezee. Sio mtihani huu kusema ukielewa ndio umefaulu maisha!
Sasa kama unajua vitu unavyoandika vinazidi uwezo wa unaowaandikia then why the hell would u bother kutuandikia ile hali ni wazi wajua tukisoma hatutaelewa....?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…