Huoni!!! Mtu akipenda chongo huita kengeza, miye naona hapo njia za haja ndogo na kubwa na matiti na makalio
Wcb wanahusikaje sasa elimu elimu elimuHiyo adhabu iliyotolewa na TCRA ni ndogo mnooh.
Ilibidi 2 years Ban kwa WCB, na Giggy kuozea jela msieeeew.
Umeona kile unachotaka kuona, unaambiwa hiyo papuchi na chuchu unazosema umeona ni michoro tu juu ya nguo.
Kalagabaho!
Aww thank youCool down babe, uhuru wako is guaranteed!
Amekudhalilishaje, na wewe unao uchi kama huo?mimi nimeona kitu kama nywele za uke, na makalio huku mwanaume akimchezea makalio,
Hii haikubaliki ametudhalilisha sana,
Hat km nikipiga miayo, wamefungiwa tyuuh ndo habari ya mjini kwa sasaAdhabu itaisha, na wakirudi watapiga hela huku wewe ukipiga miayo tu!
Eti wakati wowote ule, sijui hadi chumbani... kwahiyo baba’ko ndo kipimo cha maadili?
Jee Baba yako anaingia kwenye chumba cha dada yako??? Wacha kutukanisha wazazi. Kama unaweza mruhusu mkeo avae hivyo halafu mwende night club.Eti wakati wowote ule, sijui hadi chumbani... kwahiyo baba’ko ndo kipimo cha maadili?
Mtazamo wa baba yako sio mtazamo wa wababa woteJee Baba yako anaweza kuridhia dada yako akivaa nguo hii kwa wakati wowote ule?
Mnajifanya wazungu na uzungu hamuuwezi.
Jee Baba yako anaingia kwenye chumba cha dada yako??? Wacha kutukanisha wazazi. Kama unaweza mruhusu mkeo avae hivyo halafu mwende night club.
Utamaduni wa Kitanzania ni upi hasa? Nguo! Picha!
Chumba cha dada kina nini cha ajabu hadi baba asiingie. Ikibidi aingie ataingia kwa utaratibuJee Baba yako anaingia kwenye chumba cha dada yako??? Wacha kutukanisha wazazi. Kama unaweza mruhusu mkeo avae hivyo halafu mwende night club.
Ooooh sorry ni Wasafi.Wcb wanahusikaje sasa elimu elimu elimu