Sioni 'utupu' wa Gigy Money, mamlaka zimehuhukumu kwa mihemko na kukurupuka

Sioni 'utupu' wa Gigy Money, mamlaka zimehuhukumu kwa mihemko na kukurupuka

BASATA na TCRA wamezingua sana ,Enzi Giggy anatoka alikuwa anapewa promo sana na EATV FNL alikuwa anavaa hovyo balaaa sijui enzi hizo walikuwepo wapi? Vazi la giggy ni la kawaida sana au hawajaona shilole alivyoonyesha hotel ya mtoto stejini?
Vai la kawaida wakati kachora K (kifanyio) mahali pake na matiti sehemu,just imagine uko na wazee mnaangalia tv mara gigy money huyu hapa halafu anapanua mapaja hivyo,hebu tathimini hali ua taharuki itayotokea mbele ya wazee,acheni kutetea mambo ya ajabu
 
Kabisa mkuu, eti media inapaswa hadi kusimamia "dancing posture" za wanenguaji... tena kwenye LIVE event!!!
Hujiulizi kwa nini TBC inakataa matangazo mbashara! Kuepuka kurusha maudhui kibudu! Media unapoamua kurusha 'live' inabidi ujipange kukata matangazo unayohisi ni kibudu, vinginevyo jiandae kwa makubwa! Kwa audience iliyokuwepo ukumbini 18+ haikuwa shida! Shida ni pale wasafi tv walivyoamua kuturushia live na sisi nyumbani na familia zetu nzima zenye vibinti na vivulana vya chekechea na msingi ghafla bin vuu! Kwa hiyo kosa ni la mrusha matangazo na siyo huyo mlimbwende Gig!
 
Ifike mahala muweke u team pembeni. Kama limewauma poleni ila ukiangalia full video ndo utajua maamuzi ni ya haki.wakome
 
Back
Top Bottom