Sipati picha Nancy Sumari angekuwa na MB Doggy hivi sasa...

Sipati picha Nancy Sumari angekuwa na MB Doggy hivi sasa...

Wema nakusoma kote nje english inapanda ila kiukweli anakichwa fulani kinaitwa zero brain.
Watu hawa huwa hafikiri kabla ya kutenda wanakuwa hawajitambui wanapenda masifa.
Kha jamani wanatiaga huruma nawanapenda kampani ila asilimia kubwa marafiki zao wanatake advantage.
Wanatumiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wema kasoma nje ya wapi?

Amesoma Academic International ya Sinza km sikosei bwanaa!!Malaysia alienda kusoma certificate na hakumaliza!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mume aliyeko naye huyu nancy alikuwa ni mchumba wa dada yake alipokosa ramani ikabidi amseduce mchumba wadadae na ndiye aliyesababisha nakaaya kuhama nchi nakuolewa na mzungu.
Nancy has bad manner i hate her so much kama nini kwenye group lao nafuu faraja sio snitch na bitch kelyn kachukua mume wamtu mengi .
So they are worst people i hate them more than anyone else how could you betrayed your own blood?
How tell me?
How will you feel to live with your sister fianceee shame shame shame on you nancy where your shame on u.

Sent using Jamii Forums mobile app
Heee![emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukimuona wa kawaida kwa sababu yupo natural!

Siku hizi mdada kuwa mzuri mpaka awe kama Uwoya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ofcourse she was natural.Nakumbuka alikua ana nywel fupi tu.She was natural for sure.Na pia sijasema ni m baya ..hapana ni wa kawaida tofauti sana na vile nilivyokua namuona akiwa miss tanzania na kule miss world
 
Mume aliyeko naye huyu nancy alikuwa ni mchumba wa dada yake alipokosa ramani ikabidi amseduce mchumba wadadae na ndiye aliyesababisha nakaaya kuhama nchi nakuolewa na mzungu.
Nancy has bad manner i hate her so much kama nini kwenye group lao nafuu faraja sio snitch na bitch kelyn kachukua mume wamtu mengi .
So they are worst people i hate them more than anyone else how could you betrayed your own blood?
How tell me?
How will you feel to live with your sister fianceee shame shame shame on you nancy where your shame on u.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani mzee machache mkewe wa ujana bado yuko hai?
 
Nakaya kaolewa na mzungu ? Mwaka gani hii ilikuwa ?

Maana namuona akikatiza mitaa na PORTE yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipindi msanii huyu ana-hit na ngoma zake zile Latifa na Mapenzi Kitu Gani alifunguka kwamba anampenda Nancy Sumari na anatamani awe hata mkewe wa ndoa.

Kwa namna jamaa alivyokuwa juu, si rahisi kwa mdada yeyote kuchomoa ofa ya kuwa naye. Warembo walimpapatikia sana na ofkoz alitawala wingu la Bongo Fleva. Historia inakumbuka.

Na enzi hizo Nancy ndio alitoka kunyakua ushindi wa Miss World Africa.

Jamaa akashindwa kujizuia. Kila akihojiwa akawa anasema wazi anamzimikia sana Nancy Sumari. Na ndoto zake zitatimia akifanikiwa kumnasa maana lengo lake halikuwa kumchezea bali kumuoa kabisa.

Kama haitoshi, Doggy Man akarekodi wimbo mahususi kwa ajili ya Nancy akafunguka ya moyoni. Ngoma ilihit sana kwa wanaoikumbuka. Iliitwa "Ina maana".

Sikumbuki kama Nancy alizungumzia chochote.

Leo nimemuona Nancy sehemu nikawaza laiti angemkubalia jamaa wawe couple wangekuwaje leo hii? Kama angemkubalia kwa sababu ya umaarufu, wangedumu kweli?

Shubaamita!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mada yako ni nzuri sana na ina mafunzo mengi. Kuna wengi yamewapata makubwa kwa sababu ya kutokuwa na ubongo wa kuona mbali kama huyo mwana dada unayemzungumzia. Hmna kiti kibaya na cha hovyo kama mwanamke kujirahisisha kwa wanaume just kwa kuangalia umaarufu walio nayo bila kuangalia future yao.
 
Jamani kumbe...mimi nilijua alikuwa ameshafariki kabla hajamuoa Klyn
Kabla hajafa walikua wametengana mda sanaa hata kabla Rodney Mutie hajafa(Mtoto wao) Mzee alishakua Na madame Rita,Jokate wakashindwa tumia fursa akampata Mdada wa mjini Jacky kakituliza anakula mema ya nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I'm not accountable to anybody!

And why you love her?

Something happened?Are you trying to be a prophet?I didnt know you are prophet!
Duh!

Let's just put it to rest boss.

I had clear intentions when I asked though, but I see it turns out to be a prolonged dialogue which I think is above my paycheck.

You are right. Not accountable to anybody.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom