Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Wema kasoma nje ya wapi?Wema nakusoma kote nje english inapanda ila kiukweli anakichwa fulani kinaitwa zero brain.
Watu hawa huwa hafikiri kabla ya kutenda wanakuwa hawajitambui wanapenda masifa.
Kha jamani wanatiaga huruma nawanapenda kampani ila asilimia kubwa marafiki zao wanatake advantage.
Wanatumiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Amesoma Academic International ya Sinza km sikosei bwanaa!!Malaysia alienda kusoma certificate na hakumaliza!!!
Sent using Jamii Forums mobile app