GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #41
Mkuu Wewe unadhani GENTAMYCINE ninavyokuwa Nawadharau Wapumbavu wengi hapa kama huyo uliyemjibu hapo na Wenzake huwa nakosea?Vijana msome katiba, mtu pekee ambae yupo juu ya CDF ni raisi wa nchi ambae ndie amiri jeshi mkuu
Halafu ni Kamebarikiwa IQ na Mungu.Kajamaa kana mbwembwe haka
Sio kweli,mamlaka zote zinatakiwa kuwa chini ya supervision ya raia,Hakuna Kitendo Kimenishangaza na Kimeniuma kama kuona Juzi CDF na Chief of Staff wake wakienda Kiunyonge na Kiuhuruma kwa Waziri wa Ulinzi Kujitambulisha.
Sijawahi kuona popote pale Waziri wa Ulinzi anakuwa Juu ya Jeshi tena Kiprotokali wakati Jeshi ni Serikali Kificho ya Kimedani na inayojitegemea na ambayo ikiamua muda wowote ule ichukue hatamu ya nchi inaweza na huyo ( huyu ) Waziri wa Ulinzi anakuwa si lolote wala si chochote.
Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Mzee Mwinyi, Hayati Mkapa na kidogo Mzee Kikwete waliwaheshimu mno CDF's wa Vipindi vyao na walihakikisha hawalazimishi Jeshi kuwa ni sehemu ya Siasa na Utawala wa Kiserikali.
Hayati Rais Dkt. Magufuli alianza kwa mbaali kutaka Kummiliki CDF (japo alikumbana na Ugumu kidogo) kwakuwa CDF Mstaafu Mabeyo anajitambua na ameiva Kimedani (Kijeshi ) pamoja na Protokali zake zote.
Kama kuna Kitu kimenishangaza na naona HATARI fulani mbeleni huko ni kuona Awamu hii ya Rais Samia huyu Waziri wa Ulinzi Bi. Stegormena Tax akipewa Madaraka makubwa juu ya Jeshi na CDF wake kitu ambacho si Kizuri na siyo cha Kiutaratibu kabisa.
Kwa Kawaida ilitakiwa baada ya CDF Kuteuliwa basi Kiitifaki Waziri wa Ulinzi ndiyo alipaswa kwenda kwa CDF ila siyo CDF na Chief of Staff kwenda kwa Waziri wa Ulinzi huku wakiwa na Nyuso za Huruma kana kwamba Wameamrishwa na Mtu wakati Wao ndiyo wana Mandate ya Kuamrisha.
Namalizia kwa Kuwaasa na Kuwaonya enyi Watawala ( Wanasiasa ) kuwa chezeni na Vitu vyote ila msicheze na Taasisi Nyeti kama ya Jeshi na kutaka nao wawe Wanasiasa kama nyie wakati Kiuhalisia wao ni Wanamedani na wako kwa ajili ya Ulinzi na Usalama Uliotukuka wa Taifa letu hili la Tanzania.
Nichukieni, ila yafanyieni Kazi yote!!!
Hakuna asiye na IQHalafu ni Kamebarikiwa IQ na Mungu.
Ungekuwa nayo usingekuwa Popoma.Hakuna asiye na IQ
Bure kabisaUngekuwa nayo usingekuwa Popoma.
Mnajisumbua tuMkuu you are dead WRONG!
CDF siku zote yupo chini ya Waziri wake wa Ulinzi kiserikali.
Hii ni licha ha ukweli kwamba Waziri wa Ulinzi hana mamlaka wala madaraka ya kumuingilia CDF na jeshi kwa ujumla.
Waziri wa Ulinzi ni kama muwakilishi wa jeshi kiserikali ila hawezi kuliamrisha jeshi kwa aina yoyote.
Kiutendaji CDF yupo chini ya Commander in Chief moja kwa moja.
Waziri Maokola Majogo alijaribu kuliamrisha jeshi wakati fulani, cha moto alikipata, na akaondolewa unceremoniously uwaziri.
True, hata kwanja sina!Mnajisumbua tu
Kwamba CDF ni mkuu wa majeshi yote ambayo ni Magereza,Polisi,Uhamiaji,Zimamoto,TISS au?Sijawahi kuona IGP akimpigia salute CDF au DGI akimpgia saluti CDF,hapo kuna mkanganyiko.Hii taasisi ya Jeshi ni ya kipekee inayotakiwa kuheshimiwa.
Jeshini kuna kila taaluma iliyoko uraiani kasoro taaluma ya Magereza japo wana jela zao. wana mahakama zao zinaitwa court martial kule hakimu ni mkuu wa kikosi na hakuna kujitetea wala wakili
Jeshinia wapo ma prof na ma dr wa phD.Ukitaka kujua jeshini kuna kila taalama kuna siku ma dr Muhimbili waligoma wanajeshi wakaenda kuchukua hatamu kusaidia maisha ya watu.Kuna siku waoongoza ndege waligoma wataalamu wa jeshi wakaenda uwanjana kukamata hatamu.
Jeshini kuna madaktari wa kutibu,wahasibu,walimu,ma injinia uwa umeme,majengo mechanical,chemicla nk wataalamu wa IT.Iddi Amini alivobomoa daraja la Kagera ma injinia wa Jeshi walijenga la muda kwa mda wa chini ya wiki moja kazi ikaendelea ingekuwa ma injia wa uraiani wa 10% lingechukua muda mrefu na Iddi Amini angeikalia Kagera vizuri zaidi.
Nchi ya Marekani na Urusi pia mambo makubwa ya kiutafiti yanafanywa na wanajeshi.Hata waliokuwa wanakwenda anga za mbali hadi mwezini walikuwa na wanajeshi kila Neil Armstrong huyu alikuwa ni profesa na mwanajeshi na alikuwa ndio mission commander ya kwenda mwezini.
Nimeona niongezee haya kuonyesha msisitizo taasisi hii ilivyo muhima sio taasisi ya kuchukuliwa ki spot spot kwa waziri ulinzi kupigiwa salute hapo sina objection ninachokataa mkuu wa wilaya eti CDF anampigia salute kisa tu eti ni mkuu wa ulinzi na usalama kwenye wilaya yake wakati CDF ni mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama kwa maana changa vikorokoro vingine polisi,magereza,uhamiani, vyote yaya ndio mkuu.
Hili halijakaa sawa mkuu wa wilaya kupigiwa salute na CDF
Ni kwa sababu hujawahi kuona lakini utaratibu ndio uko hivyo kiprotokali majeshi yote yanamsalute CDF, Vivyo hivyo magereza na wengine wanamsalute IGPKwamba CDF ni mkuu wa majeshi yote ambayo ni Magereza,Polisi,Uhamiaji,Zimamoto,TISS au?Sijawahi kuona IGP akimpigia salute CDF au DGI akimpgia saluti CDF,hapo kuna mkanganyiko.
Kwanini unapoteza muda na Nitwits?Ni kwa sababu hujawahi kuona lakini utaratibu ndio uko hivyo kiprotokali majeshi yote yanamsalute CDF, Vivyo hivyo magereza na wengine wanamsalute IGP
Na ni sahihi kwamba CDF ni mkuu wa majeshi yote uliyoyataja kutia ndani bregade zake zote , ndio sababu anaitwa mkuu wa majeshi sio mkuu wa jeshi
Kwahiyo kwa kusema hivyo,CDF anaweza akatoa amri kwa IGP na akatii,wakati majukumu yao yako tofauti?Ni kwa sababu hujawahi kuona lakini utaratibu ndio uko hivyo kiprotokali majeshi yote yanamsalute CDF, Vivyo hivyo magereza na wengine wanamsalute IGP
Na ni sahihi kwamba CDF ni mkuu wa majeshi yote uliyoyataja kutia ndani bregade zake zote , ndio sababu anaitwa mkuu wa majeshi sio mkuu wa jeshi
Tofautisha jina Mkuu wa majeshi na mkuu wa jeshi la polisi.Natamani JKT irudi humu tunabishana na watu ambao hata ukimuambia apangilie vyeo vya JWTZ kuanzia private hadi General na mabegani anavaaa nini hawezi kukuambia kitu.Kwahiyo kwa kusema hivyo,CDF anaweza akatoa amri kwa IGP na akatii,wakati majukumu yao yako tofauti?
Hakuna Kitendo Kimenishangaza na Kimeniuma kama kuona Juzi CDF na Chief of Staff wake wakienda Kiunyonge na Kiuhuruma kwa Waziri wa Ulinzi Kujitambulisha.
Siyo kweli, USA, INDIA na URUSI nimetaja kwa uchache Wizara za Ulinzi ziko juu ya jeshi, kwa maana Jeshi hupokea maelekezo toka wizarani.Sijawahi kuona popote pale Waziri wa Ulinzi anakuwa Juu ya Jeshi tena Kiprotokali wakati Jeshi ni Serikali Kificho ya Kimedani na inayojitegemea na ambayo ikiamua muda wowote ule ichukue hatamu ya nchi inaweza na huyo ( huyu ) Waziri wa Ulinzi anakuwa si lolote wala si chochote.
Siyo kweli, kwa Tanzania Jeshi limekuwa ni sehemu ya siasa na Utawala kwa kipindi cha Mwalimu, na Jeshi limeendelea kuwa sehemu ya Utawala kwa marais wote waliofuata.Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Mzee Mwinyi, Hayati Mkapa na kidogo Mzee Kikwete waliwaheshimu mno CDF's wa Vipindi vyao na walihakikisha hawalazimishi Jeshi kuwa ni sehemu ya Siasa na Utawala wa Kiserikali.
Kama kuna Kitu kimenishangaza na naona HATARI fulani mbeleni huko ni kuona Awamu hii ya Rais Samia huyu Waziri wa Ulinzi Bi. Stegormena Tax akipewa Madaraka makubwa juu ya Jeshi na CDF wake kitu ambacho si Kizuri na siyo cha Kiutaratibu kabisa.
Kwa Kawaida ilitakiwa baada ya CDF Kuteuliwa basi Kiitifaki Waziri wa Ulinzi ndiyo alipaswa kwenda kwa CDF ila siyo CDF na Chief of Staff kwenda kwa Waziri wa Ulinzi huku wakiwa na Nyuso za Huruma kana kwamba Wameamrishwa na Mtu wakati Wao ndiyo wana Mandate ya Kuamrisha.
Amiri jeshi mkuu anapopokea taarifa ile asubuhi,je huwa yupo CDF tu,akimpa taarifa za vyombo vya ulinzi na usalama au huwa yupo IGP,CDF na DGI?Sikubishii,ninataka kujua ili nijue na mafunzo yao kama yanakua chini ya CDF au IGPTofautisha jina Mkuu wa majeshi na mkuu wa jeshi la polisi.Natamani JKT irudi humu tunabishana na watu ambao hata ukimuambia apangilie vyeo vya JWTZ kuanzia private hadi General na mabegani anavaaa nini hawezi kukuambia kitu.
Anatii, nitakupa mfano, nyakati ngumu kama ishu za magaidi wanaotuvamiaga mchongo ukiwa mgumu basi CDF huwa incharge kusimamia show nzima, na katika zoezi zima yapo ambayo jw hawayafahamu bali polisi na polisi yapo ambayo hawayamudu ila jw kwahiyo wakiwa katika mapambano wanashirikiana na kushauriana ila mchongo mzima unakuwa chini ya CDF, hata yeye juzi hapa alipoenda kuaga katika kipindi cha dakika 45 itv alipoulizwa nyakati ambazo zilikuwa ngumu alitolea mfano magaidi wa kibiti na kwingineko ndio ujiulize alitoa mfano yeye kama nani ikiwa ishu ilikuwa ya kipolisi zaidi.Kwahiyo kwa kusema hivyo,CDF anaweza akatoa amri kwa IGP na akatii,wakati majukumu yao yako tofauti?