Sipendezwi na jinsi inavyolazimishwa sasa CDF kuwa chini ya Waziri wa Ulinzi 'Kiprotokali' wakati Waziri wa Ulinzi ndiyo anapaswa kuwa chini ya CDF

Hakuna Kitendo Kimenishangaza na Kimeniuma kama kuona Juzi CDF na Chief of Staff wake wakienda Kiunyonge na Kiuhuruma kwa Waziri wa Ulinzi Kujitambulisha.

Sijawahi kuona popote pale Waziri wa Ulinzi anakuwa Juu ya Jeshi tena Kiprotokali wakati Jeshi ni Serikali Kificho ya Kimedani na inayojitegemea na ambayo ikiamua muda wowote ule ichukue hatamu ya nchi inaweza na huyo ( huyu ) Waziri wa Ulinzi anakuwa si lolote wala si chochote.

Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Mzee Mwinyi, Hayati Mkapa na kidogo Mzee Kikwete waliwaheshimu mno CDF's wa Vipindi vyao na walihakikisha hawalazimishi Jeshi kuwa ni sehemu ya Siasa na Utawala wa Kiserikali.

Hayati Rais Dkt. Magufuli alianza kwa mbaali kutaka Kummiliki CDF (japo alikumbana na Ugumu kidogo) kwakuwa CDF Mstaafu Mabeyo anajitambua na ameiva Kimedani (Kijeshi ) pamoja na Protokali zake zote.

Kama kuna Kitu kimenishangaza na naona HATARI fulani mbeleni huko ni kuona Awamu hii ya Rais Samia huyu Waziri wa Ulinzi Bi. Stegormena Tax akipewa Madaraka makubwa juu ya Jeshi na CDF wake kitu ambacho si Kizuri na siyo cha Kiutaratibu kabisa.

Kwa Kawaida ilitakiwa baada ya CDF Kuteuliwa basi Kiitifaki Waziri wa Ulinzi ndiyo alipaswa kwenda kwa CDF ila siyo CDF na Chief of Staff kwenda kwa Waziri wa Ulinzi huku wakiwa na Nyuso za Huruma kana kwamba Wameamrishwa na Mtu wakati Wao ndiyo wana Mandate ya Kuamrisha.

Namalizia kwa Kuwaasa na Kuwaonya enyi Watawala ( Wanasiasa ) kuwa chezeni na Vitu vyote ila msicheze na Taasisi Nyeti kama ya Jeshi na kutaka nao wawe Wanasiasa kama nyie wakati Kiuhalisia wao ni Wanamedani na wako kwa ajili ya Ulinzi na Usalama Uliotukuka wa Taifa letu hili la Tanzania.

Nichukieni, ila yafanyieni Kazi yote!!!
Unaongea we kama nani? Una umuhimu gani labda?
 
Nsongea kama GENTAMYCINE 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer'

Umuhimu wangu Mkuu hapa JamiiForums ni Kuwaelimisheni 'authentic Morons' and 'Uncircumcised Baboons' kama Wewe.
 
Huna akili huna la maana , complacent, ignorant, pseudo-intelligent nincompoop. Huna la kunielimisha we mwenyewe unexposed country, pitiful, slow , low iq, retarded, mr know it all. Dumb bastard.
 
Kiingereza chako ni chepesi sana vipi nawe ni Product ya Ras Simba wa Mwenge au?
 
Hakuwapigia, alikuwa anaitikia salamu

Nafikiri tukipeana somo salute ni nini mjadala utakwisha
yeye ndo alikuwa anaanza kupiga salute wao wakawa kama wanainama kupokeaa... so kuhusu salute ni salamu ya kijeshi lakini ukija kwenye ishu za kijeshi salute ni heshima ambayo mwenye cheo kidogo anamsalimia aliemzidi cheo.. Mfano wateule wote wa rais wanapigiwa salute kama salamu ndo maana jokate alipigiwa na mabeyo yeye anabana mikono kuipokea ishu inakuja Mfano brigedia mbuge alipokuwa mkuu wa mkoa je akikutana na Mabeyo nani atampigia salute mwenzake??
 
Kama alianza kuwapigia hapo ndio maajabu. Mbuge na Mabeyo wakikutana Mbuge ndio anatakiwa ampigie Mabeyo, jeshi linabaki palepale.
 
Kiingereza chako ni chepesi sana vipi nawe ni Product ya Ras Simba wa Mwenge au?
Imekuuma hukijui. Jaribu tena nkulipue. Dull-witted imbecile. Usidhani kila mtu ni as unintelligent as you are.
 
Ras Simba kahusika katika hiki Kiingereza chako Kibovu au?
 
Niwaambie ukweli aliyeleta hii hali ni baba wa Taifa kwa kuliingiza jeshi kwenye siasa.Wakati ule kulikuwa na kitu kinaitwa mkoa wa majeshi.Yote sababu ilikuwa chama kimoja.
Mimi kwa upande wangu Jeshi ni taasisi ya kipekee kabisa.Ukitaka kulijua hilo kuna mihimili mitatu Bunge,Serikali na Mahakama lakini jeshi halikutajwa katika mhimili wowote hapo hii inaonyesha ni jinsi gani ilivyo taasisi nyeti.
Jeshi japo haijaandikwa kikatiba mihimili yote hii mitatu jeshi likidinda hakuna kinachofanyika

Punguza ujinga,kwani police au magereza wametajwa ?.
na kufanikiwa.

Kwa waziri wa ulinzi sina usemi hapo kwa kweli mi ninachojua tu CDF huwa hampigii salute mtu yeyote bali ni Raisi ambaye ni amiri jeshi mkuu,maiti(marehemu yeyote hata kama ni raia) haya basi na waziri wa ulinzi maana kumteua CDF waziri wa ulinzi anaweza husika.
CDF anapiga salute kwa viongozi wote kufanya hivyo hakupunguzi chochote kwamba CDF ni mdogo au kupiga salute ni ishara ya unyonge.
Lakini kitendo cha CDF kumpigia salute mkuu wa wilaya kisa tu ni mwenyekiti wa ulinzi na usalama wa wilaya hii sio sawa kabisa ni mambo ya siasa haya hayana mashiko.Na ukute huyo CDF ana nishani nyingi kiasi kwamba bega lake linataka kuvunjika eti anampigia salute mkuu wa wilaya hata hajawahi kupitia angalau mgambo au JKT.Ukitaka kujua tulikosea ni kwanini ilifika mahali jeshi likatolewa kwenye siasa? ikaonekana kama ukiamua kubaki na nyadhifa za kisiasa ujitoe jeshini ndio wakatoka kina Kinana,Kikwete,Makamba n.k.Miaka ile unaweza kuta askari flani mkubwa ni mkuu wa mkoa

CDF ni mtu wa kipekee sana na mzito maamuzi yake yanaweza leta mtafaruku raisi mwenyewe anamuheshimu sana.Jeshini hakuna vyama vya wafanyakazi,hakuna ilani wao ni amri tu.Mambo yakiharibika hawa jamaa wanaacha familia zao na wake zao wanakwenda uso kwa uso kwenye mvua za risasi kutupambania sisi tukiwa tume starehe na watoto wetu na wake zetu.Sisi tukiwa tumefunga mkanda kwenye suruali zetu wao mikanda kwao ni ule mkanda wa risasi.Kumbukeni Iddi Amini alivyotuvamia kama sio hawa jamaa leo historia ya nchi hii ingekuwa ni ingine kabisa si ajabu ungesikia bandari ya Tanga ni bandari ya Uganda.

Naomba nirekebishwe kama nimekosea na mimi ni binadamu
Unatakiwa ufahamu kwamba Waziri wa Ulinzi ni boss wa CDF,hilo halina mjadala hata kidogo.Majukumu ya CDF na Waziri wa Ulinzi ni tofauti.
 
Hakuna Kitendo Kimenishangaza na Kimeniuma kama kuona Juzi CDF na Chief of Staff wake wakienda Kiunyonge na Kiuhuruma kwa Waziri wa Ulinzi Kujitambulisha.

Sijawahi kuona popote pale Waziri wa Ulinzi anakuwa Juu ya Jeshi tena Kiprotokali wakati Jeshi ni Serikali Kificho ya Kimedani na inayojitegemea na ambayo ikiamua muda wowote ule ichukue hatamu ya nchi inaweza na huyo ( huyu ) Waziri wa Ulinzi anakuwa si lolote wala si chochote.

Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Mzee Mwinyi, Hayati Mkapa na kidogo Mzee Kikwete waliwaheshimu mno CDF's wa Vipindi vyao na walihakikisha hawalazimishi Jeshi kuwa ni sehemu ya Siasa na Utawala wa Kiserikali.

Hayati Rais Dkt. Magufuli alianza kwa mbaali kutaka Kummiliki CDF (japo alikumbana na Ugumu kidogo) kwakuwa CDF Mstaafu Mabeyo anajitambua na ameiva Kimedani (Kijeshi ) pamoja na Protokali zake zote.

Kama kuna Kitu kimenishangaza na naona HATARI fulani mbeleni huko ni kuona Awamu hii ya Rais Samia huyu Waziri wa Ulinzi Bi. Stegormena Tax akipewa Madaraka makubwa juu ya Jeshi na CDF wake kitu ambacho si Kizuri na siyo cha Kiutaratibu kabisa.

Kwa Kawaida ilitakiwa baada ya CDF Kuteuliwa basi Kiitifaki Waziri wa Ulinzi ndiyo alipaswa kwenda kwa CDF ila siyo CDF na Chief of Staff kwenda kwa Waziri wa Ulinzi huku wakiwa na Nyuso za Huruma kana kwamba Wameamrishwa na Mtu wakati Wao ndiyo wana Mandate ya Kuamrisha.

Namalizia kwa Kuwaasa na Kuwaonya enyi Watawala ( Wanasiasa ) kuwa chezeni na Vitu vyote ila msicheze na Taasisi Nyeti kama ya Jeshi na kutaka nao wawe Wanasiasa kama nyie wakati Kiuhalisia wao ni Wanamedani na wako kwa ajili ya Ulinzi na Usalama Uliotukuka wa Taifa letu hili la Tanzania.

Nichukieni, ila yafanyieni Kazi yote!!!
Hii nchi inaongozwa na Serikali ya kiraia
 
Inawekwa hivyo ili kuwapunguza nguvu wanajeshi. Na kuwaelekeza cha kufanya.
Kama ukubwa basi CDF ni mkubwa kumpita hata raisi wa nchi.

Kuna msemo unasema
" Who Guide the Guard"

Mtu chini yake anamiliki mizinga vifaru, makomandoo, ndege za kivita nk. na anajua kuzitumia utamwamrisha vipi wakati hata bastora hujawai kuigusa.
 
Kwenye Ground mambo hayapo ivo, Hizi ni Procol tu za Kipublic FYI, Minister of Defence ni Ceremonial figure linapokuja swala la Kijeshi sikio na CinC lipo zaidi kwa CDF
 
connection 2:11 Na ndipo ikasikika sauti na wasijue inapotokea,ikisema "CFD,je ni nani alieliita jina lako kati ya majina yote,si ni sisi tulikaa na kulipendekeza?basi enenda kwa utii,kwa maana siku na ukomo wa ukubwa wako hujulikana mezani kwa mkuu,ni yeye pekee atuitae kwa jina la muungano" basi CFD kusikia hayo,yalitosha kuweka imani ya utii,nae akatii amri zote zilizoamriwa.
 
Back
Top Bottom