secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Mkuu mimi nikitumimiwa SMS za ajabu huwa natapika.Mara ya kwanza kwenda Arusha, kuna mtu alinisalimia ( ni gani chalii angu) nilihisi roho kutoka aisee tulizichapa sana.
Na kuna zile salamu badala mtu akuite jina anatanguliza tusi utasikia we maku vp?
Kama hujazoea unaeza pigana na kila mtu