Sipendi kuambiwa "Oya Vepe?" Ni ujumbe gani ukiuona tu, unajua unaye-chat naye hana akili?

Sipendi kuambiwa "Oya Vepe?" Ni ujumbe gani ukiuona tu, unajua unaye-chat naye hana akili?

Oi oi oi oi!

Wanazingua sana
for educational purposes and enjoyment ... Heb tutiririke jumbe ambazo kwako wewe huwa ni za kifala as per your perceptions.

Tukiziona tujirekebishe ili tusionekane mazutwa kwa watu.

Mimi mtu akinisalimia tu "VEPE .. " basi kanikosa ... Simjib text Hadi kesho . Akirudia Tena bas naachana nae.
Az
 
Mtu asiyejua matumizi ya R na L. Na wale wanaondika xaxa balala ya sasa wakae mbali kabisa na mimi
 
Mnacomplicate maisha tu nyie nao.
As long as ni salamu na ujumbe umeuelewa,sioni shida yoyote.
 
Back
Top Bottom