Mtu anaeandika x badala ya s huwa namchukulia ana upungufu wa utimamu:
Xaxa vip kuhuxu ile mixhe niwexubiri xana hauileti xaa ngapi nije maana xina xalio kwenye ximu
Wazee wa vi-shorts sasa:
Mambo ilikuaga mambo ikawa mamb ikapunguzwa ikawa mmb ikawa mb
Poa - pw, Vipi - vp, sawa - xw
Mtu unamuuliza hujambo anajibu xjamb(sijambo) kichwani huwa naisoma kama sijambi
Uchoyo na ubakhiri unakusumbua. LolAhahaha ...
Mimi sipendi kuambiwa vitu pia. 🤣🤣🤣
Honestly mtu kusema "oya Bob..." ,ni kwa sababu kuna haki ya kujieleza(Right of Expression)vinginevyo
This makes me sick every time some one sends this sort of a text kwakweli ... Ila hua namchukulia tu... As bas niliahid kua 'ntambumilia'. 🙏😁🙏
Tukihisi ndio 'ujanda.'
Wengine 'hawajiri' ... That's why ukinisalimia kifala sikujib.
Nakaushaga hata kama ni SRHahaha.
Me nikiona "Mambo" najua ni pisi na sio MWAMBA.
Sasa inafefhehesha kuona mwanaume anatoka Salam ya Mambo.
Dadekii hapo anajiona Brand mwenyewe anyway we don have time to wasteJana nachat na binti mmoja hivi:
Mimi: za shuleni mdogowangu
Yeye: gd2
Mimi: okay pasaka utakuja nyumbani
Yeye: Yh j u
Mimi: sitakuja huko
Yeye: y
Mimi: z
Yeye: aya bhana kama hutaki kuniambia
Mimi: we fala nini me naandika unajibu short
Yeye: bas nisamehe sirudii kaka
Wanaotumia xfor educational purposes and enjoyment ... Heb tutiririke jumbe ambazo kwako wewe huwa ni za kifala as per your perceptions.
Tukiziona tujirekebishe ili tusionekane mazutwa kwa watu.
Mimi mtu akinisalimia tu "VEPE .. " basi kanikosa ... Simjib text Hadi kesho . Akirudia Tena bas naachana nae.
Mi wala simwambii aandike vizuri, nakaa kimya tu sijibu chochoteNi kama sina mtu wa kunitext hivyo, na ikitokea akanitext namchana msg zake sizielewi aandike vizuri
Ni upuuzi wa kiwango cha juu sanaWewe uko kama mimi. ''Naomba msaada tafadhari'', ..''Wee acha tyuu''
Ni waxhenzi mnoVijana wa xaxa😃😀
For sure mkuu.This is quite boring
Hauoni?Kwani hizo emoji zina utofautii???