Sipendi na sitaki ukaribu wala shobo na wanawake wenye vijitabia vya feminism

Wanaume wanaojiamini hawana mambo ya kipuuzi na wala hawaoni shida kukwambia ukweli. Sasa adanganye kwani ananiogopa? Hata akija akisema sitaki hiki ntamfanya nini? Ni mwanaume mwenye heshima na anajielewa. Nyinyi mnawadanganya mnaowaoa kwasababu hawana akili.

Tafuta hata billionaire mmoja alieokota mwanamke asie na shughuli ya kufanya. Ni nyie tu ndo mnavi inferiority vya kijinga. Mkijiamini. Hata Mwanamke awe waziri unamuoa. Uanaume unaanzia kwenye mentality. Kuita watu mafeminist hakukupunguzii ujinga kichwani. Muwe mnaelewa kwamba zama zimebadilika. Saizi tu bibi na babu wanaenda mashambani. Huku mjini majanaume yamefungia wake zao ndani. Ndo maana wanaliwa na madereva bodaboda😂
 
[emoji419]
 
Kula chochote nakuja kulipa
 
Jamii forum inaficha wanaume suruali wanaokuja na matusi ili wajimwambafy. Watu hawana hoja wana kazi ya kutukana tukana tu. Wanateteana ujinga subiri siku ukute unaemtetea kamuua binti yako kwa vipigo. Mna fikra za kizamani maana hata kijijini hawaishi hivyo.

Mmekutana na wanawake ambao hawakubali kuonewa wala kutukanwa. Mkawatukane wake zenu hukooo majumbani mwenu sio sisi.
 
nawewe huko kazini unaangaliwatu? labda unasura Kama yangu lakini Kama asubuhi ukitoka unavaa kimini nawigi nakijipilizia marashi juu ili uvutie watu usije ukatudanganya kwamba hufanywi chochote lazima mabaharia wanaruka nawewe hapohapo kazini
 
Mwanaume siku zote anajione ni mbabae sasa wakikutana na mwanamke ambaye kupelekeshwa no basi inakuwa vita ndio maana wengine wana pewa limbwata
 
Eh nimekupenda bure madam wanadhani wanawake wanaowafungia ndani ndo hawafanyi ujinga. Kama una mke mbovu mi mbovu tu ataliwa hata na ndugu zako. Labda umfiche mbinguni huko.
Wanaume wanaojifanya wanataka wake zao wakae ndani hawajielewi. ni waoga. Full stop
 
nawewe huko kazini unaangaliwatu? labda unasura Kama yangu lakini Kama asubuhi ukitoka unavaa kimini nawigi nakijipilizia marashi juu ili uvutie watu usije ukatudanganya kwamba hufanywi chochote lazima mabaharia wanaruka nawewe hapohapo kazini
Huo ndio mtazamo wako?
 
nawewe huko kazini unaangaliwatu? labda unasura Kama yangu lakini Kama asubuhi ukitoka unavaa kimini nawigi nakijipilizia marashi juu ili uvutie watu usije ukatudanganya kwamba hufanywi chochote lazima mabaharia wanaruka nawewe hapohapo kazini
Sasa unadhani kama wa kwako ulimpata kirahisi basi kila mwanamke ni cheap? Ndo hizo fikra tunazosema. Mbona madarasani kuna wanaume wanakuwa wa mwisho na wanawake wanaongoza. Wanashindwa nini kupata kazi na kufanya kazi kiuweledi bila kulala na watu. Usifananishe wanawake wako na wengine wote. Tuko tofauti.
 
huondio ukweli ukiupinga pingatu. lakini Kama ofisi yako niyamchanganyiko utakua naelewa
Mke wako hapo nyumbani kalala nawanaume wa mtaa mzima? Au unapokua na mke mkubwa na mdogo anakua pembeni? Si kila mtu ana kwake. Labda kama unawapigia ramli ya kuona wanayofanya ila kama siyo basi madereva bodaboda wanakula wanakuachia makombo. Usidhani wanawake wote wanapapatika na cheo. Au kwamba tuna mentality za michepuko. Mume ananiridhisha huko nje nikatafte nini. Nyie ndo msiojua ku control
Hisia zenu hata mtu ana sura ya kunguni unachapa ilimradi kiwe kishimo
 
kitakacho kuepusha usichepuke wewe nisura yakotu. Kama niya baba hutaguswa hata ukifanya kazi miaka mia vinginevyo utadanganya tu.
 
sipulizagi hizo vitu. Mimi sio bishoo mkuu
Bas badilisha mtazamo ukihishi kwa kitazamo ufiki mbali ao wanawek unawasema sisi tunaish nao tena kanizid elimu lakini anajua mipaka yake
 
Alafu unaweza ukakuta unabishana na mtu aliekua anashika mkia darasani ila kwa sababu ni mwanaume na sauti inakwaruza basi anakuja kufoka foka humu na kutukana wanawake😂😂😂 hee wake zao wanashughuli. Unakuta mwanaume ela yote inaishia kwenye ku bet. Anauza hadi tv ili
Aka bet alafu anakwambia usiniambie kitu mimi ni mwanaume. Mnaweza hata mkalala njaa ila mwenzako anaenda kubet. Na hivi wanaamini wanaoa wanawake kama kuwasaidia tu😂 wake zao wana kazi pevu. Watafika mbinguni wanachechemea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…