Ms Billionaire
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 2,452
- 4,955
Wanaume wanaojiamini hawana mambo ya kipuuzi na wala hawaoni shida kukwambia ukweli. Sasa adanganye kwani ananiogopa? Hata akija akisema sitaki hiki ntamfanya nini? Ni mwanaume mwenye heshima na anajielewa. Nyinyi mnawadanganya mnaowaoa kwasababu hawana akili.hahaha haya umeshinda. ila sijajua mumeo ana akili na msimamo kiasi gani Hadi akaweza kuamua kuishi nawewe Mana sizani Kama anaweza kukudanganya kitu ukakubali bila kumhoji(kwasababu sisi tunapenda kudanganya wanawake) sijajua anaishi nawewe vipi.atakua Hana mambo mengi Kama sisi
Tafuta hata billionaire mmoja alieokota mwanamke asie na shughuli ya kufanya. Ni nyie tu ndo mnavi inferiority vya kijinga. Mkijiamini. Hata Mwanamke awe waziri unamuoa. Uanaume unaanzia kwenye mentality. Kuita watu mafeminist hakukupunguzii ujinga kichwani. Muwe mnaelewa kwamba zama zimebadilika. Saizi tu bibi na babu wanaenda mashambani. Huku mjini majanaume yamefungia wake zao ndani. Ndo maana wanaliwa na madereva bodaboda😂