Ms Billionaire
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 2,452
- 4,955
Nikikujibu ntakuvunjia heshima wallah🤣 unipate kwa kipi? Yaani unaanzaje? Unadhani kila mwanamke ni sampuli kama uliyonayo? Hadi wanakubali kuoleana mkewee muongo. kwamapepe ilo nayo utakua umepitiwa nawengi hadi ukampata huyo ulienae. nahata Mimi nikikutaka nakupata
😂😂😂😂 ndio ivyo elimu yake mimi hainihusu jana tu amepiga simu anatak niende morogoro wakati nimetoka juzi tu
vipi lakini mishe zako wife unamshirikisha?😂😂😂😂 ndio ivyo elimu yake mimi hainihusu jana tu amepiga simu anatak niende morogoro wakati nimetoka juzi tu
Mimi napendaga watu wabishi Kama wewe. halafu usijisifie huna hazi yoyote wewe wakawaidatu. nakama unajiamini kwanini unaogopa kuongezewa mke mwenzio? huo nioga sio kujiamini Kama unajiamini mwache aongeze mwingineNikikujibu ntakuvunjia heshima wallah🤣 unipate kwa kipi? Yaani unaanzaje? Unadhani kila mwanamke ni sampuli kama uliyonayo? Hadi wanakubali kuoleana mke
Wa pili ni kwamba hawana pa kwenda. Japo dini inaruhusu. We ongeza hao mabwanyenye wa kuwafuga ndani wazalishe kama kumbikumbi. Hapa wamefeli wenzako wenye hadhi zao. We mwenye
Dhana za kizee nakupeleka wapi mie🤣🤣 usinchekeshe huwa mnatulazimisha tuwajibu alafu mmakuja kutuita majina.
Ka
Ni hivyo
Si
Ningekua nishamaliza wanaume wa jf. Ebo
Yaha na mshilikisha zile ambazo hanapaswa kujuavipi lakini mishe zako wife unamshirikisha?
wewe ndo walewale. Hoja zero unatafuta pa kuhemea. Wapi nlikwambia naogopa mke wa pili. Nlichokujibu ni kwamba dini yetu haina hizo pigo. Na nikakujibu hakuna mwanaume asie na mchepuko. Nikaendelea kusema hata akiwa nao mia miMimi napendaga watu wabishi Kama wewe. halafu usijisifie huna hazi yoyote wewe wakawaidatu. nakama unajiamini kwanini unaogopa kuongezewa mke mwenzio? huo nioga sio kujiamini Kama unajiamini mwache aongeze mwingine
Hakuna anataka msichana ainame,ni mentality ya ushindani mliyonayo wanawake 'mliokombolewa' dhidi ya wanaume,na ndiyo maana ndoa nyingi zinafeli siku hizi,mmeshindwa tu kukojoa wima na kuwa na sauti nzito,tunahitaji mwanamke mlezi wa nyumba,mi kazi yangu kuprovide na kusimika uelekeo wa familia,we lala Chali,panua,kata viuno,Guna kwa sauti nyororo,heshimu mi kuning'iniza korodani,Kuna sababuNilichogundua.. Jamii forums ina misogynists wengi sana. (You’ll need to google the term).
Mwanaume ambae anajiamini hatetereshwi na confidence ya mwanamke. Only inferiors feel intimidated by a woman’s confidence.
Yani unataka ukifika mahali kila msichana ainame kama kaingia mfalme? Ama?
Punguzeni inferiority complex automatically mtaacha kuchukia wanawake wanaojitambua. Hivi haki sawa kwani ni kwenye kuosha vyombo? Si ni fursa za kimaendeleo ama?
Wewe kamata kishoia wako wa ku bow down and stop downgrading women. Jiamini bro.!
Yani mada za humu utakuta ni wanaandamwa wanawake as if ni viumbe ambao hawaja wazaa? Like seriously mna shida kubwa kichwani. Mwanaume mwenye pesa na confidence zake haogopi mwanamke challenging. Ila inaeleweka mkikua mtaacha uoga😅
Hayo ndoa yameshindwa,wanawake hawapaswi kuyasikilizaWanaua sana ndoa za wenzao. Hapo tu ndio huwa siwaelewi kabisa.
Wapi wewe,kitu kimekula milage za kutosha Hadi shavu zimekua nyeusi,utelezi hakina Tena,kitu battle hardenedSasa nikikwambia mwanaume wangu alienioa ndo wa kwanza na wa mwisho kwa uweza wa M/Mungu si utabishana hadi unyauke. Yani nakuwa turned on na yeye tu. Ungeelewa hisia za mwanamke zinavyofanya kazi basi tusingefika huku na maelezo haya. The first thing that turns me on is my man being smart. Pili awe wangu. Sasa mwanaume wa mtu namvulia nguo alafu anaenda kwa mkewe. Seriously nakua nimejidhalilisha. We uliowala hawakutoshi? Mi hata uje na kichwa chini miguu juu kama kuna ulichomzidi mume wangu kwa care na huu upendo aisee basi utashinda. Ila ndo hivyo it will never happen.
Alafu, mimi sio hao wake za watu unaowala huko ofisini. Kwanini unalazimisha kwamba nnakigawa?🤣unanichekesha. You think you know all women kumbe you only know your women. How sad
Unaongelea ya mkeo sio?Wapi wewe,kitu kimekula milage za kutosha Hadi shavu zimekua nyeusi,utelezi hakina Tena,kitu battle hardened
Ni maogaa balaa yanajificha kwenye mwamvuli wa wanaume. Na yote yaliyokuja kutetetana humu ni maoga menzie. Hawajiamini hata kidogoUna matatizo ya akili wewe, seek a doctor ASAP
Inferiority complex inakutafuna, pole sana
Pamoja na arguments zetu sio sahihi kumuongelea mwanamke kwa namna hiyo mkuu.Wapi wewe,kitu kimekula milage za kutosha Hadi shavu zimekua nyeusi,utelezi hakina Tena,kitu battle hardened
Na ndo maana unaona hii thread imefika huku. Sisi tungesemaPamoja na arguments zetu sio sahihi kumuongelea mwanamke kwa namna hiyo mkuu.
Umenikosha sana.Sasa wewe ndo umeongea kistaarabu wenzako wanakuja na matusi.
Hapa tutaenda sawa, personally siamini katika 50/50 ndani ya nyumba. Kwanini mwanaume arudi kutoka kazini ajifanyie kazi zake? Kwanini apike au afue wakati mkewe nipo? Kwanini nisimtengee chakula. Yaani vyote hivyo ni mwanamke ndo napaswa kufanya.
Tatizo linakuja pale ambapo mwanamke analazimisha haki sawa anazoskia kwenye tv kuzileta nyumbani. That’s not right. Nadhani haki sawa wanazosema ni kwenye elimu na fursa kwenye jamii na sio wajibu wa mwanamke kwa mume wake.
Kwanza mimi siwezi kuolewa au kuishi na mwanaume ambae hana say kwangu, siwezi kuishi na mwanaume ambae mimi ndo nafanya maamuzi seriously tutashindwana.
I like a decision making man tena mwenye utashi aisee hapo ntakua submissive vizuri tu. Kinachonishinda ni inferiority complex. Wanaume wengi wana wanawaangalia wanawake with a negative mentality na kuanza kuwadharau ndo maana mtu anajitetea. Being submissive is sexy bwana.
Huyu bidada umemuonea tu.Nyie ndiyo kizazi dhaifu kuwahi tokea duniani msiojitambua , nyie ndiyo mnapenyesha sumu na mambo ya kipuzi kwenye jamii na kuleta vitu vya hovyo kwenye jamii, jamii imepoteza wanawake wenge wenye heshima kwa wanaume zao kwasababu yenu, wanawake wenye kudekea penzi/ndoa yao na kujiheshimisha mbele ya mume wake, mmewajaza sumu wanawake muda wote wanakua kama askari kwasababu ya ujinga wa watu wa sampuli yako mnao kubaliana kueneza ushindani ndani ya familia ya kuwa sasa wote ni wanaume 50-50 na hatuwezi watenganisha nani ni baba na nani ni mama, ukubali usikubali kwenye familia baba ni mmoja tu, kichwa cha familia ni kimoja tu na ndiyo baba na mwanaume ni mmoja, mwenye korodani ni mmoja tu tu haijalisha anayopitia ,
Hata mimi wamenishangaza sana waliokua wanashambuliaHuyu bidada umemuonea tu.
Ungesoma comments zake zinazo fuata ungemuelewa sana, binafsi nimempata vizuri kabisa ...natamani iwafikie jamii nzima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwaiyo kuwa wa 1 darasani ndo nn Kuna wanawake walikuwa wanaongoza darasani lakini haitakaa itoke mwanamke akawa na ushawishi mkubwa au akawa tajiri duniani hapa fuatilia watu maarufu wote ni wanaume wenye hela na wafumbuzi tutaendelea kuwatala tu hata Kama mruke ruke Kama kuku sio (kisiasa,kidini,kibiashara,kitechnologia) mjue Hilo nyie ni ubavu wetu tu hata Mungu anajua Hilo we endelea kumbwata tu sio mbaya message deliveredSasa unadhani kama wa kwako ulimpata kirahisi basi kila mwanamke ni cheap? Ndo hizo fikra tunazosema. Mbona madarasani kuna wanaume wanakuwa wa mwisho na wanawake wanaongoza. Wanashindwa nini kupata kazi na kufanya kazi kiuweledi bila kulala na watu. Usifananishe wanawake wako na wengine wote. Tuko tofauti.
Mimi nakiri nilikuwa mkia advance si hoja na nilichekwa Sana na wanawake kutokana na uduwanzi wangu lakini kwenye maisha Mungu amenibariki Sana kiuchumi nimetusua Sana kulinganisha na wanawake waliokuwa wananipita sasaivi na uwezo wa kuwagonga hata hao wanaofaulu mitihani hio wa 1st year na wale niliosoma nao na kunicheka kutokana na uduwanzi wangu nimewaweka chini wote ni muendo wa mitoso tu kwaiyo my dear kufaulu darasani sio ishu mtaani ni [emoji383] mzee hata ww na akili zako tunaweza tukakutana nikakugonga nikakutupa huko uendele na hizo akili zako za darasani tuone Kama zitalisha watotoAlafu unaweza ukakuta unabishana na mtu aliekua anashika mkia darasani ila kwa sababu ni mwanaume na sauti inakwaruza basi anakuja kufoka foka humu na kutukana wanawake[emoji23][emoji23][emoji23] hee wake zao wanashughuli. Unakuta mwanaume ela yote inaishia kwenye ku bet. Anauza hadi tv ili
Aka bet alafu anakwambia usiniambie kitu mimi ni mwanaume. Mnaweza hata mkalala njaa ila mwenzako anaenda kubet. Na hivi wanaamini wanaoa wanawake kama kuwasaidia tu[emoji23] wake zao wana kazi pevu. Watafika mbinguni wanachechemea
exactly!😂😂😂You sound like one manipulative pussy bitchass 😂