Ms Billionaire
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 2,452
- 4,955
Nikikujibu ntakuvunjia heshima wallah🤣 unipate kwa kipi? Yaani unaanzaje? Unadhani kila mwanamke ni sampuli kama uliyonayo? Hadi wanakubali kuoleana mkewee muongo. kwamapepe ilo nayo utakua umepitiwa nawengi hadi ukampata huyo ulienae. nahata Mimi nikikutaka nakupata
Wa pili ni kwamba hawana pa kwenda. Japo dini inaruhusu. We ongeza hao mabwanyenye wa kuwafuga ndani wazalishe kama kumbikumbi. Hapa wamefeli wenzako wenye hadhi zao. We mwenye
Dhana za kizee nakupeleka wapi mie🤣🤣 usinchekeshe huwa mnatulazimisha tuwajibu alafu mmakuja kutuita majina.
Ka
Ni hivyo
Si
Ningekua nishamaliza wanaume wa jf. Ebo