Sipendi na sitaki ukaribu wala shobo na wanawake wenye vijitabia vya feminism

Mimi mama yangu wa kambo alipambana sana niwe sawa na watoto wake wa kike kwa kila hali kuanzia utendaji kazi wa kazi za nyumbani kama kufua, kuosha vyombo na mengineyo😁😁...na alijitahidi sana kunifanya mimi nionekane sio lolote na sina msaada wowote kwenye familia zaidi ya watoto wa kike.

Leo hii watoto wote wa kike wameolewa na mimi ndie nimebaki kuwa msimamizi wa familia ya baba yangu pamoja na familia yangu mwenyewe.

PAMBANA UNAVYOWEZA, PIGA KELELE UTAKAVYO LAKINI MWANAUME ATABAKI KUWA MWANAUME TU MPAKA YESU ANARUDI😂😂😂
 
Tutafute pesa ndio dawa
 
You sound like one manipulative pussy bitchass 😂
 
You sound like one manipulative pussy bitchass 😂
You are already intimidated 😂😂😂 wanaume mtapata lini confidence?

Yani mimi kujiamini tayari ni a “manipulative pussy bitchass” tusi lote hilo baki nalo mwenyewe. Just to show you that I’m confident enough not to be shattered by a mere opinion of a loose ass n***a. Surround yourself with self motivated ladies hutokua na tu uoga uoga na other ladies.
Man up🤣
 
Tutafute pesa ndio dawa
Yaani hutoamini😂 hakuna mwanamke utakae muona anakudharau. I once met a guy who was hitting on me, usipo pokea simu lets say uko ofisini kwenye kikao ye anaanza na messages “ sawa, najua sina umuhimu kwasababu sina hela” like wtf bruh. Mi bora hata mtu awe hana hela ila asiwe na vi insecurities vya kijinga nakushusha nyota.

Kwanini msijiamini?
 
Simp
 
Mwanamke hapaswi kuwa sawa na mwanaume na mwanaume hapaswi kuwa sawa na mwana mke. Ila inapaswa kila mtu atimize majukumu yake. Kwani wao nikama hasi na chanya, usiku na mchana huwezi kusema hasi ni bora kuliko chanya au usiku ni bora kuliko mchana, au baridi ni bora kuliko joto kila kimoja kina nafasi na umuhimu wake mambo ya hasi kutaka kuwa chanya sio mambo timamu ni abnormal tu anaweza kulazimisha hivyo.

Kwa maana nyingine mwanamke ni bora kuliko mwanaume na mwanaume ni bora kuliko mwanamke kwa nafasi yake.
 
Inategemea na Mwanamke
Kwa hapa Tz wanawake hizo harakati hawaziwezi hata kidogo
Wengi wanaishi kwa huruma ya Wanaume .


Binafsi NAPENDA Sana Mwanamke anayepambana Ambaye hauzi uchi ili kuishi , That All

Mwanamke mpambanaji Atapendwa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…