Ms Billionaire
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 2,452
- 4,955
Huwa mnashindwa tu kutuelewa mkuu. Yaani mimi siwezi kuamka asubuhi nitake kushindana na mwanaume. Never! Sasa katika ile hali ya kueleweshana ndo tunaonekanaga wajuaji na wenye matusi wanakuja nayo.Sauti imesikika vizu Sana madam
Nimekupenda bure kabisa.
We respect you as men na tunatamani mlione hilo. tunachoomba ni nyinyi mtuangalie kwa jicho positive hata kidogo. Hata tuwe tumesoma vipi msituchukulie kama tunawadharau. Mkiskia tunabishana mjue ni kwenye fursa za kimaendeleoila family wise simameni katika nafasi zenu kwa upendo na amani mbona sisi tutakua submissive hadi mtashangaa.