Ms Billionaire
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 2,452
- 4,955
Nailed A what?. Wow👏🏼 How nice of you👏🏼Haa ha ha dude you nailed a bitch
‘Aggressive’ is the term? WowOoh, my bad! the "Supawuman" indeed, She was too aggressive nikajua njemba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nailed A what?. Wow👏🏼 How nice of you👏🏼Haa ha ha dude you nailed a bitch
‘Aggressive’ is the term? WowOoh, my bad! the "Supawuman" indeed, She was too aggressive nikajua njemba.
Hii jamii tuliyopo wanawake mnatakiwa mkae kimya. Hata mtukanwe vipi msinyanyue midomo kuteteana. Ukiongea tayari ni adui. Ila nilichogundua people need to heal, wameumizwa sana na wanawake wa aina flani.Wewe unachukia tu wanawake huoni jema lao wanawake wanafki uliishi nao wapi
Mke wangu alitaka kuleta huo upuuziMasculine women Hao. Kaa nao mbali..... Maana ni zaidi ya nyoka. Muda wote anataka kushindana na Mwanaume
Haya vipi na vipi!!??Haya
Kwa hiyo wewe una support kwamba mtoto wa kiume aende shule ila wa kike abaki?Wanaosema 50/50 ni kwenye fursa., uongozi, kazi bla bla na sio kwenye ndoa ni wavivu sana wa ubongo na nadharia fake.
Yani wanasema hawali nguruwe ila supu watakunywa. HELL MWANAMKE AKISHAJIKITA KATIKA HAKI SAWA 50/50 HUKO MAKAZINI NA MAUONGOZINI HATA KWENYE NDOA NI MWENDO WA 50/50.
Jambo lisilojulina ni kua wanawake ni wanafiki sana sana, watasema ati 50/50 ni kwenye fursa ooh sijui wanawaheshimu waume zao, fuc*ck hell no that is a BIG LIE.
Sure kama kawaida yao feminist wa kibosho always aggressiveOoh, my bad! the "Supawuman" indeed, She was too aggressive nikajua njemba.
Kama haifai ndani ya ndoa nini kinafanya ifae huko kwingine ?Halafu 50/50 haiwezi kuwa applied ndani ya ndoa. Na uanzilishwaji wa hii ililenga vitu vingine, kama kwenye elimu, ajira, umiliki wa ardhi, uongozi kuwe na usawa wa kijinsia
Wanaosemaga "usinibabaishe kama kusoma na mimi nimesoma" au " kama kazi na mimi nina kazi" hua ni akina nani ?Huwa mnashindwa tu kutuelewa mkuu. Yaani mimi siwezi kuamka asubuhi nitake kushindana na mwanaume. Never! Sasa katika ile hali ya kueleweshana ndo tunaonekanaga wajuaji na wenye matusi wanakuja nayo.
We respect you as men na tunatamani mlione hilo. tunachoomba ni nyinyi mtuangalie kwa jicho positive hata kidogo.
Hata tuwe tumesoma vipi msituchukulie kama tunawadharau. Mkiskia tunabishana mjue ni kwenye fursa za kimaendeleoila family wise simameni katika nafasi zenu kwa upendo na amani mbona sisi tutakua submissive hadi mtashangaa.
1. Kama 50/50 haifai ndani ya ndoa ni nini kinafanya 50/50 ifae huko kwingine ?!!50/50 kwenye ndoa ni ya nini mimi? Yaani nianze kuwaza majukumu anayobeba mume wangu niyabebe mimi? Hata kama tunalipa ada sawa. Yani unaskia raha gani unarudi nyumbani unamkuta mumeo anakukunia nazi, amekufulia na anadeki nyumba na wewe unakaa unanyoosha miguu. Eeh hapana jamani. Sa ndo nini
Hamshindani nao ila mnatamani kufanya kazi zao huku watoto wenu mnawatelekeza kwa house girls, what a shame ?! Mnalea kwa kupiga simu "amekunywa maziwa ?"Mimi nilikua natetea na kukemea hali ambayo imetanda humu jf. Yaani wanawake wanachukuliwa kitofauti sana. Kwa ubabe na na dharau hatuwezi kuelewana. Wakaka wanahitaji kueleweshwa kwamba lazima tujitetee na kwamba sisi hatushindani nao. Sijui uoga wanautoa wapi yaani.
Yaani mimi huyu huyu Mtoto wa Mzee Robert nianze kubishana na wewe kwa point ya pili uliyoiandika hapo😂 ntakua naumwa kichaa.1. Kama 50/50 haifai ndani ya ndoa ni nini kinafanya 50/50 ifae huko kwingine ?!!
2. Kama tunakubaliana jukumu la kutafuta ni la mwanaume, nyie huko makazini mnatafuta nini ?!
Haujawaelewa wanawake. Hawa ni wanafiki hakuna mfano, YANI KWA MTAZAMO WAKO HUYU SHANGAZI NA UJUAJI WAKE UNAAMINI "ANAMUHESHIMU MUME WAKE" hata kama anae basiNimekuelewa vizur Sana madam
Wanawake wote mkiwa na mtazamo kama wewe naamini ndoa zitadumu Sana na tutawapenda Sana
Hongera Kwa kudefend hoja humu ktk huu Uzi umekataa unyonge kama wenzio
Big up Sana.
Kwa haraka haraka una stress sana, u much know mwingiiiiii, probably sigara na bange unatembeza!Yaani hutoamini[emoji23] hakuna mwanamke utakae muona anakudharau. I once met a guy who was hitting on me, usipo pokea simu lets say uko ofisini kwenye kikao ye anaanza na messages “ sawa, najua sina umuhimu kwasababu sina hela” like wtf bruh. Mi bora hata mtu awe hana hela ila asiwe na vi insecurities vya kijinga nakushusha nyota. Kwanini msijiamini??
Kwa baadhi ya wanaume hawa hawa tunaowaona mtaani wanapenda kulelewa? Mwanaume anaamka anapaka poda anaenda misele. So na mama nae ashindane na hiyo sampuli nani atalisha familia? Hivi are you okay? Hee na wanaume wenzio wanakusapoti😂Hamshindani nao ila mnatamani kufanya kazi zao huku watoto wenu mnawatelekeza kwa house girls, what a shame ?! Mnalea kwa kupiga simu "amekunywa maziwa ?"
Pretender yote uliosema hapa ni porojo tofauti kabisa na uhalisia, nionyeshe mwanamke mwenye kadegree na kajiajira alie tayari kufuata amri za mumewe nami nitakuonyesha mbuzi anaetaga mayai.Na ndo kinachoniuma. Yani kwanini mwanaume ahisi mimi kuwa kwenye nafasi flani basi namdharau? Wakati mimi natamani aelewe mimi kuwa hapa ni juhudi tu na haibadilishi nafasi yake ya kiume.
Yani wote wakiweza kuelewa hilo I swear dunia itabadilika sana. Na wengi wanashindwa kukiri kwamba inferiority complex inajengwa kwa kudhani mwanamke alie na uwezo flani anadharau. Wakati sio kweli.
Yani mi siskii raha kumtawala mwanaume wangu. I will feel shitty mimi kuwa na last say kwenye nyumba. Why should it be. Sasa unakuta ndoa nyingi zinavunjika kwasababu mwanamke unapojaribu kujieleza kwamba “you’re my man and I want you to be that forever, be strong for us and be the leader “ aisee mwanaume ni kama anaziba maskio anachoskia yeye ni kwamba unamdharau. Yani ukifungua tu mdomo kusema neno tayari anaona unajibizana nae😂😂 Yaani sijui hiyo hali tutairekebishaje. Maana naiona hata humu jf kazi ni kubwa.
Kwa haraka haraka una stress sana, u much know mwingiiiiii, probably sigara na bange unatembeza!
Sasa umepata pa kumwaga sumu
Karibuni posta mnywe kahawa wakuu😂😂😂Haujawaelewa wanawake. Hawa ni wanafiki hakuna mfano, YANI KWA MTAZAMO WAKO HUYU SHANGAZI NA UJUAJI WAKE UNAAMINI "ANAMUHESHIMU MUME WAKE" hata kama anae basi
Nakubaliana na weweRadical feminist wanaweza kuua wanaume wote duniani
Unalazimisha wanawake wote wawe wa sampuli za huko kwenu. Wewe uliowaona kwenu ni huko huko. Kama wanawake wanaokuzunguka ni magolikipa then fine.Pretender yote uliosema hapa ni porojo tofauti kabisa na uhalisia, nionyeshe mwanamke mwenye kadegree na kajiajira alie tayari kufuata amri za mumewe nami nitakuonyesha mbuzi anaetaga mayai.
Umesema "kwenye interview za kazi" je jukumu la kufanya kazi na kuhudumia familia ni la mwanamke au mwanaume ?!! Mungu aliagiza vipi ?!! Au maagizo ya Mungu yamepitwa na wakati ?, ila kila siku mnakwenda kwa Mwamposa kuomba MUNGU mpate mume.Kwa hiyo wewe una support kwamba mtoto wa kiume aende shule ila wa kike abaki?
Una support kwamba kwenye interview za kazi waajiriwe wa kiume ila wa kike wabaki bila kazi.
Maana 50/50 nnayoielewa hiyo ndo maana yake sasa unafki hapo uko wapi? Au nyie ndo mnaonyanyasa wanawake mnawakandamiza hamtaki haki sawa kwenye elimu sasa mnataka iweje nieleweshe