The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 2,113
- 6,251
- Thread starter
- #121
Jibu maswali yangu acha porojo.Kwa baadhi ya wanaume hawa hawa tunaowaona mtaani wanapenda kulelewa? Mwanaume anaamka anapaka poda anaenda misele. So na mama nae ashindane na hiyo sampuli nani atalisha familia? Hivi are you okay? Hee na wanaume wenzio wanakusapoti😂
So mtoto kafikia umri wa kwenda shule mimi bado nipo nyumbani nakusubiri uniletee ele ya pedi. Wewe. 😂 nisije nikaandika maneno hapa jf ikanishangaa😂
Hamshindani nao ila mnatamani kufanya kazi zao huku watoto wenu mnawatelekeza kwa house girls, what a shame ?! Mnalea kwa kupiga simu "amekunywa maziwa ?"