Sipendi na sitaki ukaribu wala shobo na wanawake wenye vijitabia vya feminism

Sipendi na sitaki ukaribu wala shobo na wanawake wenye vijitabia vya feminism

Kwa mfano, mama yako mzazi au mkeo akiwa na hizo tabia za feminism, unamuwekaje kando?
Kwanini niwe na mke mwenye tabia hizo ?! Nilimuoa nikiwa nimelewa au ndotoni ebo ?! Yani mwanamke mwenye tabia hizo hata hawezi kunisogelea, na sitaki hata japo salamu yake anawezaje kuja kua mke wangu ?
 
Mimi mama yangu wa kambo alipambana sana niwe sawa na watoto wake wa kike kwa kila hali kuanzia utendaji kazi wa kazi za nyumbani kama kufua, kuosha vyombo na mengineyo😁😁...na alijitahidi sana kunifanya mimi nionekane sio lolote na sina msaada wowote kwenye familia zaidi ya watoto wa kike........leo hii watoto wote wa kike wameolewa na mimi ndie nimebaki kuwa msimamizi wa familia ya baba yangu pamoja na familia yangu mwenyewe.......PAMBANA UNAVYOWEZA, PIGA KELELE UTAKAVYO LAKINI MWANAUME ATABAKI KUWA MWANAUME TU MPAKA YESU ANARUDI😂😂😂
Pole kwa yaliyotokea na hongera kwa kusimama kama kiongozi wa familia hatimae
 
You sound like one manipulative pussy bitchass [emoji23]
Anatakiwa amsikilize Candace Owens halafu atajua hii woke feminism ya miaka hii ni kitu gani na Ile genuine feminism ya miaka ya 50,60 na 70 ni kitu gani.
 
Nilichogundua.. Jamii forum ina misogynists wengi sana. (You’ll need to google the term).

Mwanaume ambae anajiamini hatetereshwi na confidence ya mwanamke. Only inferiors feel intimidated by a woman’s confidence.

Yani unataka ukifika mahali kila msichana ainame kama kaingia mfalme? Ama?

Punguzeni inferiority complex automatically mtaacha kuchukia wanawake wanaojitambua. Hivi haki sawa kwani ni kwenye kuosha vyombo? Si ni fursa za kimaendeleo ama?

Wewe kamata kishoia wako wa ku bow down and stop downgrading women. Jiamini bro.!

Yani mada za humu utakuta ni wanaandamwa wanawake as if ni viumbe ambao hawaja wazaa? Like seriously mna shida kubwa kichwani. Mwanaume mwenye pesa na confidence zake haogopi mwanamke challenging. Ila inaeleweka mkikua mtaacha uoga[emoji28]
Wew nae ni mzigo kama mizigo mingine
 
Wanaosema 50/50 ni kwenye fursa., uongozi, kazi bla bla na sio kwenye ndoa ni wavivu sana wa ubongo na nadharia fake.

Yani wanasema hawali nguruwe ila supu watakunywa. HELL MWANAMKE AKISHAJIKITA KATIKA HAKI SAWA 50/50 HUKO MAKAZINI NA MAUONGOZINI HATA KWENYE NDOA NI MWENDO WA 50/50.

Jambo lisilojulina ni kua wanawake ni wanafiki sana sana, watasema ati 50/50 ni kwenye fursa ooh sijui wanawaheshimu waume zao, fuc*ck hell no that is a BIG LIE.
 
50/50 haiwezi kuwa applied ndani ya ndoa au in a relationship.. kila jinsia itasimama ktk majukumu yake. 50/50 ipo katika nyanja zingine katika social development, uongozi, umiliki wa radhi, elimu, fursa za ajira n.k. Pia hii ideology ya 50/50 both sides men and women waelewe inalenga nini na sio kuvutana kuonyeshana nani ni zaidi ya mwingine. Sote tunategemea na hili neno feminism tusumbue akili zetu kutaka kujifunza ina maana gani na mlengo wake ni nini basi hata tu google tusome tuielewe maana yake na sio tujaze vichwa vyetu kwa maana tunazozijua sisi na kucreate hate among men and women
Usawa haupo mahali popote kati ya mwanaume na m'ke, mme ni mungu wa mke, mungu aliyeiumba dunia ni mungu wa mme, Religious text zinaonesha Mungu alimlaani adam kwa kumtupia lawama mke alipokula tunda bustanini, inaonesha wazi men are responsible for everything in the end.

Feminism inakuja baada ya wanawake kuwa empowered kuliko wanaume, ni ngumu kuwa kiongozi wakati unayemuongoza anakuzidi akili, men should empower themselves kuregain traditional roles kwenye mahusiano. Ni ngumu kwanamke kusubmit km kuna usawa kwenye elimu, fedha na ishu zingine
 
Wanaosema 50/50 ni kwenye fursa., uongozi, kazi bla bla na sio kwenye ndoa ni wavivu sana wa ubongo na nadharia fake.

Yani wanasema hawali nguruwe ila supu watakunywa. HELL MWANAMKE AKISHAJIKITA KATIKA HAKI SAWA 50/50 HUKO MAKAZINI NA MAUONGOZINI HATA KWENYE NDOA NI MWENDO WA 50/50.

Jambo lisilojulina ni kua wanawake ni wanafiki sana sana, watasema ati 50/50 ni kwenye fursa ooh sijui wanawaheshimu waume zao, fuc*ck hell no that is a BIG LIE.
Nakubali, this is logically inconsistent, usawa kwenye elimu lakini tunapofanya maamuzi ya familia hakuna usawa, crazy how![emoji16]
 
Mtu yeyote anaeunga mkono feminist aje atuletee ushuuda na ndoa yeyote ya feminist aliyeolewa na mwanaume anayejielewa na ikawa imebalance mizania fresh tu n a ww mwanaume mwenzangu ukioa feminist umenunua mateso na kuamua kuyamiliki kisheria na kitamaduni Hawa huwa tunapita na kuuwacha na ukichaa wao tena tunauzidisha
 
Same to me mkuu.

Naheshimu sana wanawake, ila wanawake mwenye pigo za kifeminist huwa nawadharau sana na huwa nawakwepa
Yule binti wa Kizanzibari sijui Karume nini simkubali kabisa.
Tuliwahi kusafiri pamoja yaani makelele matupu anataka asikilizwe yeye tu.

Yaani anafujo ndege nzima watu wanamshangaa kwa kujifanya mjuaji wa kila kitu mwanzo mwisho
 
Ila wanaume wengi sijui kwanini mnachukia wanawake wanaojitetea. Matusi yanawasaidia nini mfano ikatokea wanawake nao waanze kuwatukana, jf itakua salama kweli?

Mama zenu na dada zenu mnawaheshimu kweli?
 
Wanaosema 50/50 ni kwenye fursa., uongozi, kazi bla bla na sio kwenye ndoa ni wavivu sana wa ubongo na nadharia fake.

Yani wanasema hawali nguruwe ila supu watakunywa. HELL MWANAMKE AKISHAJIKITA KATIKA HAKI SAWA 50/50 HUKO MAKAZINI NA MAUONGOZINI HATA KWENYE NDOA NI MWENDO WA 50/50.

Jambo lisilojulina ni kua wanawake ni wanafiki sana sana, watasema ati 50/50 ni kwenye fursa ooh sijui wanawaheshimu waume zao, fuc*ck hell no that is a BIG LIE.
Wewe unachukia tu wanawake huoni jema lao wanawake wanafki uliishi nao wapi
 
Sasa wewe ndo umeongea kistaarabu wenzako wanakuja na matusi.

Hapa tutaenda sawa, personally siamini katika 50/50 ndani ya nyumba. Kwanini mwanaume arudi kutoka kazini ajifanyie kazi zake? Kwanini apike au afue wakati mkewe nipo? Kwanini nisimtengee chakula. Yaani vyote hivyo ni mwanamke ndo napaswa kufanya.

Tatizo linakuja pale ambapo mwanamke analazimisha haki sawa anazoskia kwenye tv kuzileta nyumbani. That’s not right. Nadhani haki sawa wanazosema ni kwenye elimu na fursa kwenye jamii na sio wajibu wa mwanamke kwa mume wake.

Kwanza mimi siwezi kuolewa au kuishi na mwanaume ambae hana say kwangu, siwezi kuishi na mwanaume ambae mimi ndo nafanya maamuzi seriously tutashindwana.
I like a decision making man tena mwenye utashi aisee hapo ntakua submissive vizuri tu. Kinachonishinda ni inferiority complex. Wanaume wengi wana wanawaangalia wanawake with a negative mentality na kuanza kuwadharau ndo maana mtu anajitetea. Being submissive is sexy bwana.

Kuna rafiki yangu ofisini akikuskia unasema unapenda kuwa submissive anakushangaa eti. Sijui wanaona ni weakness ila unaweza kuwa msomi na majukumu ya mume ukafanya pia
 
Back
Top Bottom